Hili lina ukweli kuhusu waliopata 49-45 written interview ya TRA?

Jamaaa anashangaa hiyo ratio?Nilishawahi kuitwa oral interview wasailiwa 50 wanaotakiwa 22 pekeee

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ujue me naona hzi kada zetu za social sciences tunashangaa watu kufeli angalien matokeo ya TRA IT system analyst Kama sikosei walioenda oral ukizidisha Mara tatu bado hawajaz nafasi zilizotakiwa.

Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
 
Huwa imatokea wanaongeza Majina.
Majina ya nyongeza kwenye usaili wa...
Kada ya .....
 
Yaani mkeka unatakiwa usikae sana ukikaa km hivi ujue kuna vitu vinasukwa huko maana sio kwa kimya hiki alafu tushaskia Staff hamna wakutosha wsnahitajika haraka sasa kimya chote hichi ujue kuna Jambo
 
matokeo ya walioajiliwa wanayatoa lini mwenye details wakuu ya tra
Wiki yatatu ndo hii walisema yangetoka ndan ya huo mda ikipita hii week hapo nikusubiri mpaka watakapopenda wao maana hamna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…