Hili lina ukweli kuhusu waliopata 49-45 written interview ya TRA?

Hili lina ukweli kuhusu waliopata 49-45 written interview ya TRA?

Jamaaa anashangaa hiyo ratio?Nilishawahi kuitwa oral interview wasailiwa 50 wanaotakiwa 22 pekeee

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ujue me naona hzi kada zetu za social sciences tunashangaa watu kufeli angalien matokeo ya TRA IT system analyst Kama sikosei walioenda oral ukizidisha Mara tatu bado hawajaz nafasi zilizotakiwa.

Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mdau juzi kati alifanya written interview utumishi kada ya Tax management officer ii mwajiri akiwa TRA, kwa maelezo yake anasema aliscore 45.5 kwenye huo mtihani, sasa anasema kuna mtu kamjulisha kuwa kuna habari inaendelea huko utumishi kuwa kuna uwezekano wa watu walioscore kuanzia 49 mpaka 45 kuitwa kufanya oral interview sababu ni kwamba kuna idadi ya watu ambayo haijatimia na walioitwa awali kwenye oral ni wachache sana.

Binafsi nijuavyo utumishi hawana huo utaratibu na sijawahi kuusikia ila jamaa kakomaa na hizo habari.

So naomba kuuliza ,lina ukweli hilo suala au ndugu yangu anajifariji bure tu?
Huwa imatokea wanaongeza Majina.
Majina ya nyongeza kwenye usaili wa...
Kada ya .....
 
Yaani mkeka unatakiwa usikae sana ukikaa km hivi ujue kuna vitu vinasukwa huko maana sio kwa kimya hiki alafu tushaskia Staff hamna wakutosha wsnahitajika haraka sasa kimya chote hichi ujue kuna Jambo
 
matokeo ya walioajiliwa wanayatoa lini mwenye details wakuu ya tra
Wiki yatatu ndo hii walisema yangetoka ndan ya huo mda ikipita hii week hapo nikusubiri mpaka watakapopenda wao maana hamna namna
 
Back
Top Bottom