Hili linaweza kuwa tatizo la kisaikolojia?

Kama ni kweli basi pole.
Binafsi sipendi dada au mama aliyeweka kipini cha pua, yaani nahisi kichefuchefu hata hivi nnavyoandika.
Kama anauza kitu siwezi nunua hata kama ni kizuri na ninakuhitaji.
Sitamani hata kumtazama😏
Ni uhalisia,,,ila nafikiria pa kuanzia ili kupata suluhisho nashindwa. Nianze na daktari au mshauri wa saikolojia
 
Ni bahati mbaya sana inatokea. Nikikutana na mwanamke/binti mnene hata barabarani tukatazamana tu, nahisi kutapika kabisa. Hivi hili laweza kuwa ni tatizo tu la kisaikolojia au nini wataalamu?
Wewe ni jinsia gani? Kama vipi inawezekana una ujauzito mchanga
 
Ni bahati mbaya sana inatokea. Nikikutana na mwanamke/binti mnene hata barabarani tukatazamana tu, nahisi kutapika kabisa. Hivi hili laweza kuwa ni tatizo tu la kisaikolojia au nini wataalamu?
matipwa tipwa naona washaanza kuku shambulia.by the way mwanamke bonge asili yake nimchafu.kamabata tuu
 
Ni bahati mbaya sana inatokea. Nikikutana na mwanamke/binti mnene hata barabarani tukatazamana tu, nahisi kutapika kabisa. Hivi hili laweza kuwa ni tatizo tu la kisaikolojia au nini wataalamu?
Kwa first trisemister huwa ni kawaida kabisa, vumilia baada ya miezi mitatu hali hiyo itaisha utakaa sawa hata ukipishana na mnene hutajisikia chochote. Huwa inatokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi kuna watu wa ovyo hadi wanaume wanapewa mimba tu, haya maisha haya🤔
Ningefurahi kama ungeamua kujikita kwenye mada. Tabia ya kuandika mambo ambayo hayana msaada kwenye hoja ni bora ubaki kimya. Why do you write so cheap ideas? Toa ushauri kama upo au la!
 
Ni bahati mbaya sana inatokea. Nikikutana na mwanamke/binti mnene hata barabarani tukatazamana tu, nahisi kutapika kabisa. Hivi hili laweza kuwa ni tatizo tu la kisaikolojia au nini wataalamu?
Habari,

Ni suala la kufatiliwa, kwani linaweza kuwa ni tatizo lenyewe binafsi na jinsi lilivyounganishwa kwenye ubongo wako au kuna mengine pia ambayo huyajui binafsi. Hii inaweza kuwa inatokana na:
1: experience/imani yako kuhusiana na unene
2: experience au imani yako kuhusiana na watu wanene

Ni vyema kumwona saikologist ili akuongoze kwenye hili.
 
Habari,

Ni suala la kufatiliwa, kwani linaweza kuwa ni tatizo lenyewe binafsi na jinsi lilivyounganishwa kwenye ubongo wako au kuna mengine pia ambayo huyajui binafsi. Hii inaweza kuwa inatokana na:
1: experience/imani yako kuhusiana na unene
2: experience au imani yako kuhusiana na watu wanene
Suluhisho lake linaweza kuwa nini mkuu?
 
Hizo ni dalili za kuwa shoga na hapo ukikutana na mwanaume mnene unavutiwa nae
 
Ningefurahi kama ungeamua kujikita kwenye mada. Tabia ya kuandika mambo ambayo hayana msaada kwenye hoja ni bora ubaki kimya. Why do you write so cheap ideas? Toa ushauri kama upo au la!
Ushauri ni kwamba vumilia second trimester utakua okay
 
Back
Top Bottom