Lukonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,469
- 2,086
Kumwona mwanasaikolojia ili akuongoze kwenye kutambua msingi wa tatizo na jinsi ya kuondoa kinachohusika.Suluhisho lake linaweza kuwa nini mkuu?
Kwani hicho unachoamini ndo huupa ubongo habari hasi na kufatiwa ubongo kutoa vichocheo vinavyosisimua kituo cha kichefuchefu/kutapika kweye ubongo.