Hili linaweza kuwa tatizo la kisaikolojia?

Hili linaweza kuwa tatizo la kisaikolojia?

Vimbaumbau hawanivutii kabisa, kuna wengine kama wanaume tu
Wengine wana hadi 6 packs ukiwaangalia vizuri.

Jamani zile nyamanyama ni nzuri sana.
Uchafu ni asili ya mtu,kama mchafu ni mchafu tu hata uwe mwembamba.
kumbe
 
Ni bahati mbaya sana inatokea, nikikutana na mwanamke/binti mnene hata barabarani tukatazamana tu, nahisi kutapika kabisa.

Hivi hili laweza kuwa ni tatizo tu la kisaikolojia au nini wataalamu?
Afya ya akili
 
Kwahiyo umeconclude wadada wanene wote wanatoka uchafu mweupe sehemu za siri?? Na umekua mkubwa bado hujataka kujua kwamba kutokwa uchafu mweupe ni ugonjwa iwe kwa mtu mnene au hata mwembamba ili mradi ni mwanamke??

Try to change ur mind bro!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sista umepanick[emoji23][emoji23][emoji23]. Hiyo ni psychological effect tu wala hajamtuhumu mtu na yupo hapa kutatuliwa tatizo lake. [emoji23][emoji23][emoji23] yaani wanawake kila kitu wanafikiri wanawindwa wao, mtu anaweza kukufia mikononi mwako kwa psychological ideas ulizozicement kchwani mwako hivihivi kama unavyomtuhumu mtoa mada.
 
Ni bahati mbaya sana inatokea, nikikutana na mwanamke/binti mnene hata barabarani tukatazamana tu, nahisi kutapika kabisa.

Hivi hili laweza kuwa ni tatizo tu la kisaikolojia au nini wataalamu?
Duu aisee
 
nikikutana na mwanamke/binti mnene hata barabarani tukatazamana tu, nahisi kutapika kabisa.
Ipo hivi mkuu unakutana na besela (msichana mrembo mwenye kichuguu nyuma) limefunga mzigo wa maana na limejichomekea kwenye jeans moja matata kabisa, umeiona kwa nyuma tu haujaona sura unajipa matumaini kua huu msosi ndio wenyewe unaisogelea uione sura, aiseee inageuka sura duuuuuh unahisi kujitapikia sura haiendani na mwili, hicho ndio chanzo cha wewe kuhisi kujitapikia maana umekutana na sinia limefunikwa na kawa ukajua ndani kuna msosi wa maana unafunua kawa unachokikuta unatamani utapike tu buuuuwaaaaaaaaa
 
Kwa first trisemister huwa ni kawaida kabisa, vumilia baada ya miezi mitatu hali hiyo itaisha utakaa sawa hata ukipishana na mnene hutajisikia chochote. Huwa inatokea

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji2960]
 
Balaa la mutu munene kwenye suala la harufu sio poa.
Mita 100 kutoka usawa alipo ...smell inakuambia flani yupo hapa.
#even wembamba nao.
 
Back
Top Bottom