Kumwona mwanasaikolojia ili akuongoze kwenye kutambua msingi wa tatizo na jinsi ya kuondoa kinachohusika.Suluhisho lake linaweza kuwa nini mkuu?
Hahahahaaaa, umetisha sana.Na wewe utakuwa mnene,,,usinijibu maana hali itakuwa tofauti.
Mimi kumgonga demu kibonge ni ishu asee.. yaani akivua nguo kitambi, mapaja na matako yana mabonde mabonde na ile minyama nyama inavyoning'inia huwa nasikia kichefu chefu alafu wengi wao kwa ndani wakivua nguo wanakuaga na harufu mbaya jasho sio jasho kinyesi sio kinyesi mpaka ikanilazimu niachane na mademu vibonge sasa hivi ni mwendo wa vipotabo tuNi bahati mbaya sana inatokea. Nikikutana na mwanamke/binti mnene hata barabarani tukatazamana tu, nahisi kutapika kabisa. Hivi hili laweza kuwa ni tatizo tu la kisaikolojia au nini wataalamu?
Yaani hata fikira za kumtongoza mwanamke mnene huwa sina kabisa. Yaani nakwepa hata kukaribiana nao. Full kichefuchefu!Mimi kumgonga demu kibonge ni ishu asee.. yaani akivua nguo kitambi, mapaja na matako yana mabonde mabonde na ile minyama nyama inavyoning'inia huwa nasikia kichefu chefu mpaka ikanilazimu niachane na mademu vibonge sasa hivi ni mwendo wa vipotabo tu
Eti mabonde mabonde..Mimi kumgonga demu kibonge ni ishu asee.. yaani akivua nguo kitambi, mapaja na matako yana mabonde mabonde na ile minyama nyama inavyoning'inia huwa nasikia kichefu chefu mpaka ikanilazimu niachane na mademu vibonge sasa hivi ni mwendo wa vipotabo tu
Hahahaha.. wewe umenizidi mkuuYaani hata fikira za kumtongoza mwanamke mnene huwa sina kabisa. Yaani nakwepa hata kukaribiana nao. Full kichefuchefu!
Hahahaa!! 😂😂😂😂 eti atazoea dah! clearmind ameshika mimba hahahaa!!!Kwa first trisemister huwa ni kawaida kabisa, vumilia baada ya miezi mitatu hali hiyo itaisha utakaa sawa hata ukipishana na mnene hutajisikia chochote. Huwa inatokea
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahitaji isiendelee maana inanipa wakati mgumu sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu hii mpya ya kufungulia mwaka
Mkuu, unaweza kumbeba kweli au ndo ile tangulia nakuja 😀Ukikutana na dem wangu utatapika na kuharisha mara stinambili kwa wiki
Aamna shida kutambua jinsia ya mtu ni tatizo, Sasa unakuta mtu anahisi tofauti na hoja iliyozungumziwa!!Hatari sana. Watu wana matusi kweli rafiki yangu 😀
Hapana. Sijawahi hata kufikiria.Aamna shida kutambua jinsia ya mtu ni tatizo, Sasa unakuta mtu anahisi tofauti na hoja iliyozungumziwa!!
Kwa once ulikua na mahusiano na binti mwenye mwili mnene?
Hii hali imekuanza muda gani? Kabla ya balehe? Baada ya balehe?Maumbo tu ya kawaida wala si wanene. Mimi mwili wangu ni wastani tu si mnene wala mwembamba kimbao.
Tangu nianze kupevuka mtaalam. Si napata tu hisia za harufu mbaya kabisa.Hii hali imekuanza muda gani? Kabla ya balehe? Baada ya balehe?
Unakuwa na mawazo gani kichwani ukiwaona?
Ulishafanya mapenzi na mwanamke mnene ukapata experience mbaya, ? Kama vile uchafu, harufu mbaya..?Tangu nianze kupevuka mtaalam. Si napata tu hisia za harufu mbaya kabisa.