Yes.
Dalili zinaonyesha Tundu Lissu anashinda uchaguzi mkuu wa 2020.
Mapendekezo yangu kama Mwananchi nisie na chama. Lazaro Nyalandu arudi kwenye Ubunge, then aje kuwa Waziri Mkuu wa JMT 2020-2025. Anafaa sana kwenye hiyo nafasi!!!!
..Waziri Lukuvi hana shahada lakini anafanya vizuri kuliko wenye "mashahada."
..baraza la mawaziri linatakiwa liwe na mchanganyiko wa watu level mbalimbali za usomi na uzoefu.
Yes.
Dalili zinaonyesha Tundu Lissu anashinda uchaguzi mkuu wa 2020.
Mapendekezo yangu kama Mwananchi nisie na chama. Lazaro Nyalandu arudi kwenye Ubunge, then aje kuwa Waziri Mkuu wa JMT 2020-2025. Anafaa sana kwenye hiyo nafasi!!!!
Mtoe Prof. LIPUMBA-VU hapo!Nashauri wapinzani mgombee ubunge ili Lisu aunde serikali ya umoja wa kitaifa. Napendekeza Zitto afikiriwe uwaziri mkuu. Membe waziri wa mambo ya nje, Lipumba uchumi na biashara, Mbatia Elimu, nk
Nchi ya kufikirika hii..tz yetu msahauBaraza ka Mawaziri la nchi gani?
Kabisa Chadema wanatisha sasa ccm wanatafuta mbinu chafu za kuharibu tuwe makini.Mimi sina shaka kabsa kuhusiana na ushindi mkubwa anaoenda kuupata mpakwa mafuta wa MUNGU ndugu Tundu Lisu.
Na huu ndo utabiri wangu wa muundo wa baraza la mawaziri utakavyokuwa...
Mkuu kwanza shukuru Mungu mlifanikiwa kuzuia mchakato wa ile rasimu ya Jaji Wariba, bila hivyo wapinzani saizi tungekuwa tunaenda second term!Ukweli ni mchungu
Kwa sasa vyama vya upinzani kuchukua dola wasahau.
Mpaka tufe wote tuliopo.
Wewe fujo huzipendi?Lema huwa siku zote anajiona anatosha kuwa waziri wa mambo ya ndani kisa tu ni mtu wa fujo fujo anajuwa ndo sifa pekee
Mbona husemi kasomea fani gani we zero?Aliingia mature entry na alisoma first degree kwanza.
Mnajipa natumaini sana,huyu hawezi na hatakuwa rais wa nchi hii
Yaani watu wanajipa matumaini kwenye hamnaAkiwa Rais nabadili jinsia haki
Yaani watu wanajipa matumaini kwenye hamna