mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,894
- 22,679
Huyu bwana alianzisha vita ambayo hawezi kuimudu. Kupigana two frontlines kwa wakati mmoja ilikuwa ni kosa moja kubwa la kiufundi lililomgharimu. Atleast angepigana moja kwanza iishe.
Yaani upande wake wa magharibi hajamalizana na mbritish+mfaransa , akagawa vikosi vya jeshi lake vikapigane na Red army ya mrusi(OPERATION BARBAROSA) .hapa alifanya makosa makubwa sana.
Kilichotokea ni Ujerumani kuwekwa mtu kati. Akapigwa na mrusi akitokea upande wa mashariki akipitia poland huku magharibi yupo mfaransa na shosti yake mbritain wakiwa na backup ya mu U.S.A . Mjerumani Akawa amewekwa mtu kati kilichotokea ni History .
Laiti Hitler angekuwa anashaurika na kuwasikiliza washauri wake Ungekuta ulaya yote iko chini ya third reich.
Hitler alikuwa na makamanda bora na wazoefu kabisa na walikuwa wanaperform vyema kwenye field . Hapa nawazungumzia akina Johannes Blaskowitz na Alfred schlemm n.k. ila boss wao aliwa let down kwa kutoshaurika. Ilikuwa kosa kubwa sana.
Anyway natamani kupata Hardcopy ya hiki kitabu hapa.