Tirilika zaidi Mkuu naisubiri hii elimuHitler alitaka kubinua mipango ya Ames rothschild, ukizingatia alikua na usongo nao
Una documentary
Europa:the last battle (war),imefutwa na wazayuni youtube,anaejua inapopatikana anistue, nasikia ukiitazama basi mtazamo wako dhidi ya hitler na WWII utabadilika
Kumbuka hakuna wayahudi 6m waliouawa bali ni laki mbili na sabini tu
Ndani ya Battle of Kharkov,Mussolini delayed Hitler's Soviet operation for almost a month. Hitler wanter to invade on May, but had to go in Greece and save Mussolini's army that was clobbered by Greeks and Brits.
The came June, and operation that was supposed to last for 3 weeks turned into four years nightmare, with Germans being manhandled by Soviet numerical advantage and frost-bites.
Actually, it's the Soviet Union that defeated Germany. A turning point was Stalingrad, not Normandy.
Huyu mwamba alikuwa the bestNdani ya Battle of Kharkov,
Warussian hawatamsahau huyu mwamba Field Marshal Erich Von Mastein
Alijipatia sifa kedekede mpaka kutoka kwa West na Russians wenyewe
Alikuwa na mbinu za kivita zilizobobea kama "backhand blow,"
Ambapo anaondoa majeshi yake kama kuashiria anarudi nyuma yaani ku retreat, inayowafanya adui kufikiri wanashinda mpambano na kusonga mbele, hapo ndio anawazunguka kwa kutengeneza mduara na kuwaweka katikati na kuwafyekelea mbali.
Huyu baada ya vita badala West allies wamfunge jela, walimpa kazi kama NATO Battle Tactician .....
View attachment 3418795
Ni kweli mkuu ndiomana ukiwa ndani ya Germany ukipingana na iyo dhana unafungwa yani wanatumia nguvu kudanganya Watu.Hitler alitaka kubinua mipango ya Ames rothschild, ukizingatia alikua na usongo nao
Una documentary
Europa:the last battle (war),imefutwa na wazayuni youtube,anaejua inapopatikana anistue, nasikia ukiitazama basi mtazamo wako dhidi ya hitler na WWII utabadilika
Kumbuka hakuna wayahudi 6m waliouawa bali ni laki mbili na sabini tu
ila story haihusiani na nchi ya MalawiHuyu bwana alianzisha vita ambayo hawezi kuimudu. Kupigana two frontlines kwa wakati mmoja ilikuwa ni kosa moja kubwa la kiufundi lililomgharimu. Atleast angepigana moja kwanza iishe.
Yaani upande wake wa magharibi hajamalizana na mbritish+mfaransa , akagawa vikosi vya jeshi lake vikapigane na Red army ya mrusi(OPERATION BARBAROSA) .hapa alifanya makosa makubwa sana.
Kilichotokea ni Ujerumani kuwekwa mtu kati. Akapigwa na mrusi akitokea upande wa mashariki akipitia poland huku magharibi yupo mfaransa na shosti yake mbritain wakiwa na backup ya mu U.S.A . Mjerumani Akawa amewekwa mtu kati kilichotokea ni History .View attachment 3418609
Laiti Hitler angekuwa anashaurika na kuwasikiliza washauri wake Ungekuta ulaya yote iko chini ya third reich.
Hitler alikuwa na makamanda bora na wazoefu kabisa na walikuwa wanaperform vyema kwenye field . Hapa nawazungumzia akina Johannes Blaskowitz na Alfred schlemm n.k. ila boss wao aliwa let down kwa kutoshaurika. Ilikuwa kosa kubwa sana.
Anyway natamani kupata Hardcopy ya hiki kitabu hapa.
View attachment 3418611
Ni wazi kwamba Umoja wa Kisovyeti (Urusi ya wakati huo) ndiye aliyekuwa na mchango wa kipekee katika kuhitimisha Vita ya Pili ya Dunia. Mataifa mengine kama Uingereza, Marekani na Ufaransa walijiunga katika hatua za mwisho kabisa za vita, wakati ambapo Jeshi la Kisovyeti lilikuwa tayari limemshinda Mjerumani na lilikuwa linaelekea moja kwa moja hadi Berlin.
Kwa hakika, ujio wa mataifa hayo ya Magharibi haukuwa tu kusaidia vita, bali kwa sehemu kubwa ulikuwa ni juhudi ya kukabiliana na kasi ya Jeshi la Kisovyeti ili kuzuia Ulaya yote kuingia mikononi mwao, kama ambavyo Hitler alijaribu kufanya.
Kwa hivyo, hoja kwamba mataifa ya Magharibi ndio washindi wakuu wa vita hiyo ni sehemu ya propaganda za kidiplomasia na kihistoria zinazopendelea Magharibi. Ukweli ni kwamba, tayari Jeshi la Kisovyeti lilikuwa limeupiga msumari wa mwisho katika jeneza la Nazi, hadi ndani ya chumba cha Hitler mwenyewe.
Nakubaliana nawe kuwa Uingereza na Ufaransa walitangaza vita dhidi ya Ujerumani mwanzoni mwa Vita ya Pili ya Dunia, lakini kwa kweli kiwango na uzito wa mchango wao vilikuwa vidogo sana, na kwa kiasi kikubwa vimekuwa vikipewa uzito wa kupindukia (overrated). Kwa mfano, Ufaransa ilishindwa vibaya ndani ya kipindi cha wiki sita tu.Ukilinganisha hali hiyo na vita vya upande wa Mashariki (Eastern Front) kati ya Wanazi na Wasovieti, ambavyo vilidumu kwa takribani miaka minne, tofauti ni kubwa sana. Vita hivi vya Mashariki ndivyo vilikuwa sehemu ya umwagaji damu mkubwa zaidi wa vita hiyo (deadliest theatre of war), ambako zaidi ya Wasovieti milioni 25 walipoteza maisha. Wanazi walipoteza takribani wanajeshi milioni 8, huku Wachina wakiwa na vifo vya takribani milioni 20.Kwa mantiki hiyo, tunaweza kusema zaidi ya asilimia 75 ya gharama ya vita, kiuhai na kijeshi, ilijikita katika ukanda huo wa vita Mashariki na Asia. Wengine waliobaki, licha ya mchango wao , ni sehemu ya simulizi zilizojaa propaganda za Magharibi ambazo hazilingani na uhalisia wa historia ya vita yenyewe.Mkuu kasome vizuri historia uliyosoma. Uingereza na Ufaransa walitangaza vita dhidi ya Ujerumani Septemba 3, 1939 siku mbili baada ya Ujerumani kuivamia Poland.
Ujerumani aliivamia Ufaransa mwezi Mei, 1940 na Ufaransa ika surrender ndani ya wiki sita kisha akaanza kuishughulikia Uingereza kwa mashambulizi ya anga baada ya majeshi ya Uingereza yaliyokuwepo Ufaransa (BEF) kushindwa vibaya, hiyo air campaign ya wajerumani ilikuwa na lengo la ku achieve air superiority over Uingereza na kusafisha njia kwa ajili ya uvamizi wa Ujerumani dhidi ya Uingereza (Operation Sea Lion) na kuilazimisha Uingereza kuingia kwenye meza ya mazungumzo na kukubali kufanya amani na wajerumani ili wajitoe kwenye vita na Ujerumani isiwe na tishio kwa upande wa west.
Lakini Air Campaign ya Wajerumani dhidi ya Uingereza ikasababisha Battle of Britain kwa sababu Waingereza walikaza.
Italy nae kuona rafiki yake Germany alipokuwa anaibonda Ufaransa vibaya vibaya na Ufaransa inaelekea kushindwa akatangaza vita na Uingereza na Ufaransa na vita ikasambaa Afrika Kaskazini na ukanda wa Mediterania. Italy alipokuwa anaelemewa rafiki yake Mjerumani akam support
Hawajamalizana huko West mara Hitler anaivamia USSR Julai 1941. Akapigana fronts mbili na nyengine ya Afrika Kaskazini akiwa anaji involve nayo. Na kumbuka pia katika kuivamia USSR alitumia resources nyingi sana na majeshi mengi sana.
Desemba 7, 1941 Japan naye akaishambulia Pearl Harbor kwenye territory ya Marekani kesho yake Marekani akatangaza vita na Japan. Siku chache zilizofuata Ujerumani ikatangaza vita na Marekani na Marekani ikajibu mapigo kwa kutangaza vita na Ujerumani.
Hivyo japo USSR ,ambaye alipata madhara makubwa mno katika ile vita, alikuwa na mchango mkubwa katika kuibonda Ujerumani, ila sio kweli kwamba Marekani, Uingereza na Ufaransa walijiunga mwishoni kabisa mwa vita.
Uingereza na Ufaransa walitangaza vita na Ujerumani mwanzoni kabisa mwa vita Septemba mwaka 1939 wakati ambao Stalin alikuwa na Non-Aggression Pact na Ujerumani na akishirikiana na Hitler kuibonda Poland ile Septemba 1939. Ila Hitler akaja kumgeuka na kumvamia takriban miaka miwili baadae (Operation Barbarossa 1941).
na inasemekana alifeli kwenye shule ya uchorajiNiliwahi kusoma mahali Hitler alikuwa mwanaharakati wa haki za Wafanyakazi. Alionekana kuungwa mkono na wajerumani wengi na majirani zake. Alikuwa. A ushawishi Mkubwa.
Hata hivyo tamaa ikamjaa akasababisha Majanga Dunia nzima
Cha ajabu Western propaganda wanadai eti turning point ya "WW2 ilikuwa ni Normandy" waongo wakubwa hawa lengo lao nikutaka kupindisha historia ya kweli ya WW2 ndani ya Continental Europe, ukweli utabaki pale pale kwamba Russian "Red Army" ndiyo ili vunja uti wa mgomgo WA jeshi LA Hitler - watasema mengi na kutaka kupindisha historia ya WW2 lakini wakumbuke kwamba ukweli utabaki pale pale kwamba Red Army under Field Marshal Zhukov lilikuwa "forminable"Mussolini delayed Hitler's Soviet operation for almost a month. Hitler wanter to invade on May, but had to go in Greece and save Mussolini's army that was clobbered by Greeks and Brits.
The came June, and operation that was supposed to last for 3 weeks turned into four years nightmare, with Germans being manhandled by Soviet numerical advantage and frost-bites.
Actually, it's the Soviet Union that defeated Germany. A turning point was Stalingrad, not Normandy.
Ndio maana Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iko makini sana na watu aina hiyo wasije wakayasogelea mamlaka!Niliwahi kusoma mahali Hitler alikuwa mwanaharakati wa haki za Wafanyakazi. Alionekana kuungwa mkono na wajerumani wengi na majirani zake. Alikuwa. A ushawishi Mkubwa.
Hata hivyo tamaa ikamjaa akasababisha Majanga Dunia nzima
Bahati Mbaya sana hawana tofauti kwa sasaNdio maana Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iko makini sana na watu aina hiyo wasije wakayasogelea mamlaka!
Hitimisho lako ni nini au ni codes kuwahusu mboga mboga.Huyu bwana alianzisha vita ambayo hawezi kuimudu. Kupigana two frontlines kwa wakati mmoja ilikuwa ni kosa moja kubwa la kiufundi lililomgharimu. Atleast angepigana moja kwanza iishe.
Yaani upande wake wa magharibi hajamalizana na mbritish+mfaransa , akagawa vikosi vya jeshi lake vikapigane na Red army ya mrusi(OPERATION BARBAROSA) .hapa alifanya makosa makubwa sana.
Kilichotokea ni Ujerumani kuwekwa mtu kati. Akapigwa na mrusi akitokea upande wa mashariki akipitia poland huku magharibi yupo mfaransa na shosti yake mbritain wakiwa na backup ya mu U.S.A . Mjerumani Akawa amewekwa mtu kati kilichotokea ni History .View attachment 3418609
Laiti Hitler angekuwa anashaurika na kuwasikiliza washauri wake Ungekuta ulaya yote iko chini ya third reich.
Hitler alikuwa na makamanda bora na wazoefu kabisa na walikuwa wanaperform vyema kwenye field . Hapa nawazungumzia akina Johannes Blaskowitz na Alfred schlemm n.k. ila boss wao aliwa let down kwa kutoshaurika. Ilikuwa kosa kubwa sana.
Anyway natamani kupata Hardcopy ya hiki kitabu hapa.
View attachment 3418611
Hii dhana ya kwamba wayahudi waliuliwa mil6 nilikuwa napingana nayo lakini niliposoma hicho kitabu nimeweka picha yake hapo cha the rise and fall of Third reich , mwandishi kuna mahali ameelezea kwamba hata kama mjerumani alikuwa na origin yoyote ya kiyahudi hata kwa mbali, bado alikuwa akihesabika ni myahudi.. hata kama babu wa babu wa babu yako alikufa zamani lakini kama aligusa tu myahudi tayari the whole generation mnahesabika nyie sio Aryan bali ni myahudi. Na hiyo idadi ya wayahudi hadi wakafika 6 milion haikuwa ni Ujerumani peke yake bali wayahudi wote waliokuwa maeneo ambayo mjerumani alikita kambi . Kuanzia poland ,czech,kaskazini mwa italia ,Russia finland n.k. ndio maana hiyo idadi ilifikia hapoNi kweli mkuu ndiomana ukiwa ndani ya Germany ukipingana na iyo dhana unafungwa yani wanatumia nguvu kudanganya Watu.
Lengo la uwongo wote ni kuigawanya Palestine
sasa wanaitaka Ardhi yote y Palestine.
History inawakataa wenyewe Wengi wameshangaa Vipi miaka Ile jamii ya kiyahudi iwe imefika million 6.
Wana History wapya walipochachamaa kupinga iyo namba na sasa wanaoji na kupinga kuwepo kabisa tukio lote la mauaji yenyewe..
GERMANY wakakimbilia kupitisha Sheria rasmi kuwa kuoji tu kama ilikuwa kweli au sio kweli wanakufunga., walichobugi zaid idadi yani number kuweka 6m.
Huo ndio ukweli, pale Europe France alipigwa hadi akawa koloni, ukija kwa Britain ndio hivyo hakuwa na matumaini ya kuiweza Germany.. kwa sababu hadi mara ya mwisho Britain wanataka kuingia vitani walijitathimini wakagundua hawatoweza kuishinda Germany.... EU wababe wote walikalishwa na Nazi Germany...
Hadi hapo Germany alikuwa ameimaliza EU.. alipojichimbia kaburi Hitler ni kwenda kuanzisha vita na USSR..
Lakini tukumbuke USSR aliwaambia west na EU mwanzoni kabisa kwamba wajiunge wajenge nguvu dhidi ya Germany... wakakaidi kwa sababu walimuona USSR ni mjamaa.. lakini USSR walikuwa na intelligence nzuri waliona mbali...
Baada ya west kumkataa USSR, USSR anakwenda kujiunga na Germany kwenye makubaliano waliita Molotov-Ribbentrop Pact.. mwaka 1939... wanakubaliana kutoshambuliana bali kuivamia Poland na kugawana...
Baadae Nazi Germany ilivunja Mkataba wa Molotov-Ribbentrop kwa kuvamia USSR kwa ghafla na ikawa mwanzo wa anguko la Germany....
Ile nguvu liyoitumia kupambana na USSR angepambana na Britain angeichukua pia kama France, kwa maana hata pale Dunkirk askari wa Britain na France walizingirwa na Nazi Germany...
Sio kweli mkuu. Wayahudi kivyovyote number y 6million ni ndoto kwa miaka Ile. Unajua Leo iyo Israel baada ya kukusanyana kila kona na kuongeza 0 bado wapo wangapi???Hii dhana ya kwamba wayahudi waliuliwa mil6 nilikuwa napingana nayo lakini niliposoma hicho kitabu nimeweka picha yake hapo cha the rise and fall of Third reich , mwandishi kuna mahali ameelezea kwamba hata kama mjerumani alikuwa na origin yoyote ya kiyahudi hata kwa mbali, bado alikuwa akihesabika ni myahudi.. hata kama babu wa babu wa babu yako alikufa zamani lakini kama aligusa tu myahudi tayari the whole generation mnahesabika nyie sio Aryan bali ni myahudi. Na hiyo idadi ya wayahudi hadi wakafika 6 milion haikuwa ni Ujerumani peke yake bali wayahudi wote waliokuwa maeneo ambayo mjerumani alikita kambi . Kuanzia poland ,czech,kaskazini mwa italia ,Russia finland n.k. ndio maana hiyo idadi ilifikia hapo
Ni kweli....Hitler aliwaambia waingereza kuwa yeye hana shida na wao.
Kama angeamua serious kuwanyoosha waingereza angeweza.
Nguvu ya Uingereza na Ufaransa ilisaidiwa sana na Marekani kujiunga na hivyo vita.
Votu vyangu hivi. Thanks for sharing.. nitavitafuta niongeze kwenye maktaba yanguView attachment 3418666
View attachment 3418667
View attachment 3418668
Another excellent material on Operation Barbarossa, by Prof Stephen Kotkin.