Black nyeti
JF-Expert Member
- Jun 30, 2025
- 692
- 1,131
Votu vyangu hivi. Thanks for sharing.. nitavitafuta niongeze kwenye maktaba yanguView attachment 3419729
ofcoz.
hata hivo jamaa katuachia somo kubwa sana kwenye maisha ya kawaida na biashara.
Mistake aloifanya hitler wanaifanya watu wengi sana kila siku iwe kwenye biashara au kwenye maisha ya kawaida.
Huyu bwana alianzisha vita ambayo hawezi kuimudu. Kupigana two frontlines kwa wakati mmoja ilikuwa ni kosa moja kubwa la kiufundi lililomgharimu. Atleast angepigana moja kwanza iishe.
Yaani upande wake wa magharibi hajamalizana na mbritish+mfaransa , akagawa vikosi vya jeshi lake vikapigane na Red army ya mrusi(OPERATION BARBAROSA) .hapa alifanya makosa makubwa sana.
Kilichotokea ni Ujerumani kuwekwa mtu kati. Akapigwa na mrusi akitokea upande wa mashariki akipitia poland huku magharibi yupo mfaransa na shosti yake mbritain wakiwa na backup ya mu U.S.A . Mjerumani Akawa amewekwa mtu kati kilichotokea ni History .View attachment 3418609
Laiti Hitler angekuwa anashaurika na kuwasikiliza washauri wake Ungekuta ulaya yote iko chini ya third reich.
Hitler alikuwa na makamanda bora na wazoefu kabisa na walikuwa wanaperform vyema kwenye field . Hapa nawazungumzia akina Johannes Blaskowitz na Alfred schlemm n.k. ila boss wao aliwa let down kwa kutoshaurika. Ilikuwa kosa kubwa sana.
Anyway natamani kupata Hardcopy ya hiki kitabu hapa.
naukubaliana na wewe lakin in addition one of major set back for germany during ww2 is inigma secret code kuwa bypassed ilikuwa cracked. inigma ilikuwa encription code ambayo ndio ulikuwa mfumo wa code za kimawasiliano. point no 2 ni uungwaji mkono waliofanya germany kwa japan kama germany isingeunga mkono japan, USA asingetoa msaada kwa allies kitu ambacho kiliwaongezea nguvu sana russia, and england japan. point no 3 hitler asingeingilia stratergic tactical decision za jeshi. to me nilipenda perfomance ya majenerali kadhaa ya wanazi 1.Hans guderian( the father of blitz) 2. erwin rommel ( desert fox) 3.paulis ( six army in stalin gradeHuyu bwana alianzisha vita ambayo hawezi kuimudu. Kupigana two frontlines kwa wakati mmoja ilikuwa ni kosa moja kubwa la kiufundi lililomgharimu. Atleast angepigana moja kwanza iishe.
Yaani upande wake wa magharibi hajamalizana na mbritish+mfaransa , akagawa vikosi vya jeshi lake vikapigane na Red army ya mrusi(OPERATION BARBAROSA) .hapa alifanya makosa makubwa sana.
Kilichotokea ni Ujerumani kuwekwa mtu kati. Akapigwa na mrusi akitokea upande wa mashariki akipitia poland huku magharibi yupo mfaransa na shosti yake mbritain wakiwa na backup ya mu U.S.A . Mjerumani Akawa amewekwa mtu kati kilichotokea ni History .View attachment 3418609
Laiti Hitler angekuwa anashaurika na kuwasikiliza washauri wake Ungekuta ulaya yote iko chini ya third reich.
Hitler alikuwa na makamanda bora na wazoefu kabisa na walikuwa wanaperform vyema kwenye field . Hapa nawazungumzia akina Johannes Blaskowitz na Alfred schlemm n.k. ila boss wao aliwa let down kwa kutoshaurika. Ilikuwa kosa kubwa sana.
Anyway natamani kupata Hardcopy ya hiki kitabu hapa.
View attachment 3418611
Umesema vyema kabisa . Imagine uingereza na ufaransa alikuwa ameshazikalisha ilibaki tu kidogo , yeye akaona ngoja agawe vikosi vyake vingine viende eastern frontline kumpiga mrusi.. ofcourse mrusi alipigwa hadi kwenye mji wa Stalingrad huko Russia ila sasa hali ya hewa ya barafu ya Russia ikawa inamkataa mjerumani . Imagine unapeleka magari na vifaru kwenye ardhi ambapo barafu yake ukitembea inakufika magotini.. hii ikasaidia mrusi kuji organise upya.. mwisho wa siku mjerumani alipigwa mpaka Berl
but much respect to japan they fought more determined yaani ni kiume si kiume kiume hasa that was spirit okinawa and iwo jima was deadly battleTuseme ukweli tu mchungu, aliyepambana zaidi na kusababisha Germany ika collapse ni USSR...
US alipambana zaidi na Japan kwa sababu alitaka ku control kil kitu kwenye Pacific Ocean...
Votu vyangu hivi. Thanks for sharing.. nitavitafuta niongeze kwenye maktaba yanguView attachment 3419729
Sio kweli mkuu. Wayahudi kivyovyote number y 6million ni ndoto kwa miaka Ile. Unajua Leo iyo Israel baada ya kukusanyana kila kona na kuongeza 0 bado wapo wangapi???
Kihistoria, Wajerumani hawakuwa wamezoea vita vya muda mrefu. Mikakati yao kuu ya kijeshi ilikuwa Blitzkrieg (Vita vya Radi), ambayo ilikuwa ni kushambulia adui kwa nguvu kubwa kwa kutumia vikosi vingi vya pamoja (Anga na Ardhi).Historically Germans were not bled for a long war. Their prime military strategy was Blitzkrieg (Lightning War), of overwhelming an enemy with enormous forces using combined arms (Air and Land).
This strategy worked in France, which was defeated for just one month and ten days. It never worked in Russia, a vast country with formidable industrial power.
One of the main reasons for the invasion of the Soviet Union, was to capture oil fields in the Caucasuses and other resources like Steel and Rubber which Germany till this day is dependent on Russia.
At the time of the invasion, Soviet Union had already evacuated almost 1500 heavy industries from Ukraine, Leningrad and Stalingrad into Siberia where the Germans could not reach them.
So the Soviets forced the Germans to fight a brutal war of attrition, in an area that had little significance. Germans had 10 Panzer divisions whose tanks failed to operate well in the Russian winter. Germans soldiers were starved to death, and even incidents of cannibalism were reported.
What I have come to learn about war is this, Superior Technology is critical in war, but Industrial Potential is decisive. Germans had superior technology, but Soviets had a fully functioning industrial potential which enabled them to out-produce the Nazis and replenish the Red Army during critical moments.
Sawa Mmarekani mweusiWe we ndio unafanya inakuwa propaganda kwa ushabiki tu.
Kilichomferisha Hitler ni hali ya hewa na USA kuingilia lakini alikuwa ashawamudu woteHuyu bwana alianzisha vita ambayo hawezi kuimudu. Kupigana two frontlines kwa wakati mmoja ilikuwa ni kosa moja kubwa la kiufundi lililomgharimu. Atleast angepigana moja kwanza iishe.
Yaani upande wake wa magharibi hajamalizana na mbritish+mfaransa , akagawa vikosi vya jeshi lake vikapigane na Red army ya mrusi(OPERATION BARBAROSA) .hapa alifanya makosa makubwa sana.
Kilichotokea ni Ujerumani kuwekwa mtu kati. Akapigwa na mrusi akitokea upande wa mashariki akipitia poland huku magharibi yupo mfaransa na shosti yake mbritain wakiwa na backup ya mu U.S.A . Mjerumani Akawa amewekwa mtu kati kilichotokea ni History .View attachment 3418609
Laiti Hitler angekuwa anashaurika na kuwasikiliza washauri wake Ungekuta ulaya yote iko chini ya third reich.
Hitler alikuwa na makamanda bora na wazoefu kabisa na walikuwa wanaperform vyema kwenye field . Hapa nawazungumzia akina Johannes Blaskowitz na Alfred schlemm n.k. ila boss wao aliwa let down kwa kutoshaurika. Ilikuwa kosa kubwa sana.
Anyway natamani kupata Hardcopy ya hiki kitabu hapa.
View attachment 3418611
Hivi mkuu kama US asingekuw front, je mjapani angemsaidia mjeruman dhidi ya mrusi?.Reader digest kitabu kilielezea vizuri.ina matukio na tarehe kwa picha.ni kweli vita ilikuwa kati ya mrusi na germany nakumbuka pia usa na japan naye ilikuwa mechi kali sana.
Eva alimpenda sana Hitler kias kwamba aljaharibu kujiua mara mbili baada ya kuona jamaa hamzingatii.Kivipi mdau
Yeah .. nilisahau na hiii . Nadhani iliitwa operation Torch kama sikosei.. na ilikuwa inasimamiwa na Erwin Rommel.
Rommel ("The Desert Fox") alipelekwa North Africa kumsaidia Italy, swahiba wa Germany, ambaye alikuwa anaelemewa. Alipelekwa mwaka 1941.Yeah .. nilisahau na hiii . Nadhani iliitwa operation Torch kama sikosei.. na ilikuwa inasimamiwa na Erwin Rommel.