Ndio ukweli mtupu !Tuseme ukweli tu mchungu, aliyepambana zaidi na kusababisha Germany ika collapse ni USSR...
US alipambana zaidi na Japan kwa sababu alitaka ku control kil kitu kwenye Pacific Ocean...

Huyu bwana alianzisha vita ambayo hawezi kuimudu. Kupigana two frontlines kwa wakati mmoja ilikuwa ni kosa moja kubwa la kiufundi lililomgharimu. Atleast angepigana moja kwanza iishe.
Yaani upande wake wa magharibi hajamalizana na mbritish+mfaransa , akagawa vikosi vya jeshi lake vikapigane na Red army ya mrusi(OPERATION BARBAROSA) .hapa alifanya makosa makubwa sana.
Kilichotokea ni Ujerumani kuwekwa mtu kati. Akapigwa na mrusi akitokea upande wa mashariki akipitia poland huku magharibi yupo mfaransa na shosti yake mbritain wakiwa na backup ya mu U.S.A . Mjerumani Akawa amewekwa mtu kati kilichotokea ni History .View attachment 3418609
Laiti Hitler angekuwa anashaurika na kuwasikiliza washauri wake Ungekuta ulaya yote iko chini ya third reich.
Hitler alikuwa na makamanda bora na wazoefu kabisa na walikuwa wanaperform vyema kwenye field . Hapa nawazungumzia akina Johannes Blaskowitz na Alfred schlemm n.k. ila boss wao aliwa let down kwa kutoshaurika. Ilikuwa kosa kubwa sana.
Anyway natamani kupata Hardcopy ya hiki kitabu hapa.
View attachment 3418611
Dunia ilianza kuona kivuli cha anguko la utawala wa Hitler baada ya comeback ya kihistoria ya Umoja wa Kisovyeti katika Vita ya Stalingrad kati ya mwaka 1942 hadi 1943. Katika mapambano hayo makali, zaidi ya wanajeshi 300,000 wa Muungano wa Nazi walikamatwa na kuuawa ndani ya kipindi kifupi, baadhi yao kwa usiku mmoja pekee. Vita ya Stalingrad ndiyo iliyowazuia Wanazi kuiteka Moscow, wakati huo wakiwa tayari wamefika getini, wakigonga hodi kwa mabomu na vifaru, huku Wasoviet wakiwa wanasikia sauti za ving’ora vya majeshi ya Kinazi zikiwa umbali wa mita chache kutoka jiji la Moscow.Huo ndio ukweli, pale Europe France alipigwa hadi akawa koloni, ukija kwa Britain ndio hivyo hakuwa na matumaini ya kuiweza Germany.. kwa sababu hadi mara ya mwisho Britain wanataka kuingia vitani walijitathimini wakagundua hawatoweza kuishinda Germany.... EU wababe wote walikalishwa na Nazi Germany...
Hadi hapo Germany alikuwa ameimaliza EU.. alipojichimbia kaburi Hitler ni kwenda kuanzisha vita na USSR..
Lakini tukumbuke USSR aliwaambia west na EU mwanzoni kabisa kwamba wajiunge wajenge nguvu dhidi ya Germany... wakakaidi kwa sababu walimuona USSR ni mjamaa.. lakini USSR walikuwa na intelligence nzuri waliona mbali...
Baada ya west kumkataa USSR, USSR anakwenda kujiunga na Germany kwenye makubaliano waliita Molotov-Ribbentrop Pact.. mwaka 1939... wanakubaliana kutoshambuliana bali kuivamia Poland na kugawana...
Baadae Nazi Germany ilivunja Mkataba wa Molotov-Ribbentrop kwa kuvamia USSR kwa ghafla na ikawa mwanzo wa anguko la Germany....
Ile nguvu liyoitumia kupambana na USSR angepambana na Britain angeichukua pia kama France, kwa maana hata pale Dunkirk askari wa Britain na France walizingirwa na Nazi Germany...
Kimsingi kwa 80% WW2 Mjeruman alipigana na Mrusi ao wengine wala hawakuwa katika vita kuu yenyewe ila wanatajwa kwasababu za kisiasa.Kilichotokea ni Ujerumani kuwekwa mtu kati. Akapigwa na mrusi akitokea upande wa mashariki akipitia poland huku magharibi yupo mfaransa na shosti yake mbritain wakiwa na backup ya mu U.S.A . Mjerumani Akawa amewekwa mtu kati kilichotokea ni History .
Hilo ndiyo kosa pekee kubwa ambalo Hitler alilifanyaHuyu bwana alianzisha vita ambayo hawezi kuimudu. Kupigana two frontlines kwa wakati mmoja ilikuwa ni kosa moja kubwa la kiufundi lililomgharimu. Atleast angepigana moja kwanza iishe.
Yaani upande wake wa magharibi hajamalizana na mbritish+mfaransa , akagawa vikosi vya jeshi lake vikapigane na Red army ya mrusi(OPERATION BARBAROSA) .hapa alifanya makosa makubwa sana.
Kilichotokea ni Ujerumani kuwekwa mtu kati. Akapigwa na mrusi akitokea upande wa mashariki akipitia poland huku magharibi yupo mfaransa na shosti yake mbritain wakiwa na backup ya mu U.S.A . Mjerumani Akawa amewekwa mtu kati kilichotokea ni History .View attachment 3418609
Laiti Hitler angekuwa anashaurika na kuwasikiliza washauri wake Ungekuta ulaya yote iko chini ya third reich.
Hitler alikuwa na makamanda bora na wazoefu kabisa na walikuwa wanaperform vyema kwenye field . Hapa nawazungumzia akina Johannes Blaskowitz na Alfred schlemm n.k. ila boss wao aliwa let down kwa kutoshaurika. Ilikuwa kosa kubwa sana.
Anyway natamani kupata Hardcopy ya hiki kitabu hapa.
View attachment 3418611
Kati ya kila askari 20 walio kufq wa ujerumani 17 waliuliwa na jeshi la mrusi Red army na askari 3 ndiyo waliuliwa na USA na washirika wake British Ufaransa nkKimsingi kwa 80% WW2 Mjeruman alipigana na Mrusi ao wengine wala hawakuwa katika vita kuu yenyewe ila wanatajwa kwasababu za kisiasa.
Wajuzi wa mambo wanasema sikuzote mtu anaeshinda vita ndiye anaeandika historia ya vita, Nchi za Magharibi zilitumia mwanya wa vita baridi na anguko la USSR kwa kutuletea historia ikiyotuambia kuwa WW2 ilipiganwa kati Ujeruman na washirika wake vs Uingereza na Washirika wake! Na Uingereza na Washirika wake walishinda vita! Why atajwe Uingereza wakati USSR aliigia vitani zaidi mara maada ya German kuanzia kuingia maeneo ya Ukraine na kuanza kuikalibia Moscow? USSR ilifikaje Berlin?
Huo ndio ukweli wenyewe..Dunia ilianza kuona kivuli cha anguko la utawala wa Hitler baada ya comeback ya kihistoria ya Umoja wa Kisovyeti katika Vita ya Stalingrad kati ya mwaka 1942 hadi 1943. Katika mapambano hayo makali, zaidi ya wanajeshi 300,000 wa Muungano wa Nazi walikamatwa na kuuawa ndani ya kipindi kifupi, baadhi yao kwa usiku mmoja pekee. Vita ya Stalingrad ndiyo iliyowazuia Wanazi kuiteka Moscow, wakati huo wakiwa tayari wamefika getini, wakigonga hodi kwa mabomu na vifaru, huku Wasoviet wakiwa wanasikia sauti za ving’ora vya majeshi ya Kinazi zikiwa umbali wa mita chache kutoka jiji la Moscow.
Kushindwa kwa Wanazi katika vita hii inatafsiriwa kama mwanzo rasmi wa kuanguka kwa Hitler. Kuanzia hapo, Jeshi la Kisovyeti liliendelea kuwacharaza wanazi mfululizo likiwatoa katika kila eneo walilokuwa wameliteka, kama Kyiv nk. hadi walipofika moja kwa moja Berlin, walikohitimisha vita kwa kusambaratisha kabisa utawala wa Nazi.
Sasa Uingereza alikalishwaje na ni Kisiwa kipo mbali kule?Umesema vyema kabisa . Imagine uingereza na ufaransa alikuwa ameshazikalisha ilibaki tu kidogo , yeye akaona ngoja agawe vikosi vyake vingine viende eastern frontline kumpiga mrusi.. ofcourse mrusi alipigwa hadi kwenye mji wa Stalingrad huko Russia ila sasa hali ya hewa ya barafu ya Russia ikawa inamkataa mjerumani . Imagine unapeleka magari na vifaru kwenye ardhi ambapo barafu yake ukitembea inakufika magotini.. hii ikasaidia mrusi kuji organise upya.. mwisho wa siku mjerumani alipigwa mpaka Berlin
Nchi za EU na US ni kama huwa wapo mbele kujisifu lakini ukweli ni kwamba pasipo USSR hio vita ilikuwa habari nyingine...Huo ndio ukweli wenyewe..
Hata Berlin walioingia wa kwanza ni USSR.....
USSR walikuwa na eneo kubwa ambapo wangeweza kuliacha kwa kurudi nyuma na wakajipanga wakarudi kulichukua, jamaa walipambana kufa na kupona...
Nchi za EU na US ni kama huwa wapo mbele kujisifu lakini ukweli ni kwamba pasipo USSR hio vita ilikuwa habari nyingine...
Mkuu eneo la vita ya Germany lilikuwa Mashariki mwa Ulaya cos Germany alikuwa anaitaka ardhi USSR hasa ardhi ya Urusi ya leo!Kati ya kila askari 20 walio kufq wa ujerumani 17 waliuliwa na jeshi la mrusi Red army na askari 3 ndiyo waliuliwa na USA na washirika wake British Ufaransa nk
BLITZ CAMPAIGN. isome vizuri na ile battle of Dunkirk.. Ujerumani angekaza kidogo uingereza ilikuwa inaenda kuwa chini ya Hitler.. amshukuru mu USA ku join battle dakika za 88Sasa Uingereza alikalishwaje na ni Kisiwa kipo mbali kule? Uingereza alikuwa na advantage ya location maana ni Kisiwa, ingekuwa ni nchi ya mwisho kuwa mateka wa Hitler, also given nasaba ya Uingereza na Marekani
Kosa kubwa ni operation barbarossa, kuivamia soviet wakati walikua na mkataba wa kutoshambuliana,mafanikio dhidi ya poland, belgium,france yalimpa kibitiHuyu bwana alianzisha vita ambayo hawezi kuimudu. Kupigana two frontlines kwa wakati mmoja ilikuwa ni kosa moja kubwa la kiufundi lililomgharimu. Atleast angepigana moja kwanza iishe.
Yaani upande wake wa magharibi hajamalizana na mbritish+mfaransa , akagawa vikosi vya jeshi lake vikapigane na Red army ya mrusi(OPERATION BARBAROSA) .hapa alifanya makosa makubwa sana.
Kilichotokea ni Ujerumani kuwekwa mtu kati. Akapigwa na mrusi akitokea upande wa mashariki akipitia poland huku magharibi yupo mfaransa na shosti yake mbritain wakiwa na backup ya mu U.S.A . Mjerumani Akawa amewekwa mtu kati kilichotokea ni History .View attachment 3418609
Laiti Hitler angekuwa anashaurika na kuwasikiliza washauri wake Ungekuta ulaya yote iko chini ya third reich.
Hitler alikuwa na makamanda bora na wazoefu kabisa na walikuwa wanaperform vyema kwenye field . Hapa nawazungumzia akina Johannes Blaskowitz na Alfred schlemm n.k. ila boss wao aliwa let down kwa kutoshaurika. Ilikuwa kosa kubwa sana.
Anyway natamani kupata Hardcopy ya hiki kitabu hapa.
View attachment 3418611
Hitler alitaka kubinua mipango ya Ames rothschild, ukizingatia alikua na usongo naoKwenye history za wababe wa kivita wa zamani walikua wanajijenga kiuchumi na kijeshi.
Alafu wanaanza kusambaza kipigo,hakukua na vikwazo ni kutembeza mkono tu mpaka utubu.