Yeah .. nilisahau na hiii . Nadhani iliitwa operation Torch kama sikosei.. na ilikuwa inasimamiwa na Erwin Rommel.Na bado alipofungua front ya pili kwa kuivamia USSR, pia alilazimika kupigana front nyengine kwenye ukanda wa Afrika Kaskazini kumsaidia rafiki yake Italy ambaye hali yake ilikuwa mbaya huko
Yeap.. hitler personally hakuwa na shida yoyote na uingereza. Kosa la uingereza mpaka akapigwa na hitler ni kumpa back up mfaransa kwa kutuma vikosi vyake vya BEF(British expeditiary Force) ili visaidiane na vikosi vya ufaransa.. Na nchi ya uingereza kati ya miji iliyopokea kichapo kitakatifu kutoka kwen vikosi vya Hitler ni jiji la Liverpool uliopo pwani ya magharibi ya uingereza.Hitler aliwaambia waingereza kuwa yeye hana shida na wao.
Kama angeamua serious kuwanyoosha waingereza angeweza.
Nguvu ya Uingereza na Ufaransa ilisaidiwa sana na Marekani kujiunga na hivyo vita.
Jamaa balaa walifika mpaka ndani ya urusi mamaeeeeMussolini delayed Hitler's Soviet operation for almost a month. Hitler wanter to invade on May, but had to go in Greece and save Mussolini's army that was clobbered by Greeks and Brits.
The came June, and operation that was supposed to last for 3 weeks turned into four years nightmare, with Germans being manhandled by Soviet numerical advantage and frost-bites.
Actually, it's the Soviet Union that defeated Germany. A turning point was Stalingrad, not Normandy.
Yeap jamaa alisumbua sana pale ulayaKwa wakati ule ni sawa maana German walikuwa tishio. Sema tu strategies zilifeli. Lakini ilileta madhala makubwa sana ulaya na Asia nzima. Japo Germany alishindwa lakini ulaya na Asia hawatasahau hasala walizopata. Hata hivyo Germany alikua kundi moja na Italy na Japan, Hungary, Bulgaria, Romania. Hakupigana peke yake
Mwanzoni kabisa mwa vita USSR alikuwa kitu kimoja na Hitler, Hitler akamgeuka baada ya kumuona kama hamuhitaji tena, hapo alishapigana na France, Poland, yupo na BritainKimsingi kwa 80% WW2 Mjeruman alipigana na Mrusi ao wengine wala hawakuwa katika vita kuu yenyewe ila wanatajwa kwasababu za kisiasa.
Wajuzi wa mambo wanasema sikuzote mtu anaeshinda vita ndiye anaeandika historia ya vita, Nchi za Magharibi zilitumia mwanya wa vita baridi na anguko la USSR kwa kutuletea historia ikiyotuambia kuwa WW2 ilipiganwa kati Ujeruman na washirika wake vs Uingereza na Washirika wake! Na Uingereza na Washirika wake walishinda vita! Why atajwe Uingereza wakati USSR aliigia vitani zaidi mara maada ya German kuanzia kuingia maeneo ya Ukraine na kuanza kuikalibia Moscow? USSR ilifikaje Berlin?
German alikuwa hatari snaaJamaa balaa walifika mpaka ndani ya urusi mamaeeee
Hii ni mpaka leo mdauNi kweli....
Kwa kifupi Germany kwa Europe ukimtoa USSR ambae tayari alikuwa na mkataba nae wa amani hakuna yeyote alikuwa na uwezo wa kusimama na Germany.....
Hapa umeelezea vizuri, sio kama jamaa wanakuja na story za kuokoteza au kuweka ushabiki tu kwa ajili ya drama.Mkuu kasome vizuri historia uliyosoma. Uingereza na Ufaransa walitangaza vita dhidi ya Ujerumani Septemba 3, 1939 siku mbili baada ya Ujerumani kuivamia Poland.
Ujerumani aliivamia Ufaransa mwezi Mei, 1940 na Ufaransa ika surrender ndani ya wiki sita kisha akaanza kuishughulikia Uingereza kwa mashambulizi ya anga baada ya majeshi ya Uingereza yaliyokuwepo Ufaransa (BEF) kushindwa vibaya, hiyo air campaign ya wajerumani ilikuwa na lengo la ku achieve air superiority over Uingereza na kusafisha njia kwa ajili ya uvamizi wa Ujerumani dhidi ya Uingereza (Operation Sea Lion) na kuilazimisha Uingereza kuingia kwenye meza ya mazungumzo na kukubali kufanya amani na wajerumani ili wajitoe kwenye vita na Ujerumani isiwe na tishio kwa upande wa west.
Lakini Air Campaign ya Wajerumani dhidi ya Uingereza ikasababisha Battle of Britain kwa sababu Waingereza walikaza.
Italy nae kuona rafiki yake Germany alipokuwa anaibonda Ufaransa vibaya vibaya na Ufaransa inaelekea kushindwa akatangaza vita na Uingereza na Ufaransa na vita ikasambaa Afrika Kaskazini na ukanda wa Mediterania. Italy alipokuwa anaelemewa rafiki yake Mjerumani akam support
Hawajamalizana huko West mara Hitler anaivamia USSR Julai 1941. Akapigana fronts mbili na nyengine ya Afrika Kaskazini akiwa anaji involve nayo. Na kumbuka pia katika kuivamia USSR alitumia resources nyingi sana na majeshi mengi sana.
Desemba 7, 1941 Japan naye akaishambulia Pearl Harbor kwenye territory ya Marekani kesho yake Marekani akatangaza vita na Japan. Siku chache zilizofuata Ujerumani ikatangaza vita na Marekani na Marekani ikajibu mapigo kwa kutangaza vita na Ujerumani.
Hivyo japo USSR ,ambaye alipata madhara makubwa mno katika ile vita, alikuwa na mchango mkubwa katika kuibonda Ujerumani, ila sio kweli kwamba Marekani, Uingereza na Ufaransa walijiunga mwishoni kabisa mwa vita.
Uingereza na Ufaransa walitangaza vita na Ujerumani mwanzoni kabisa mwa vita Septemba mwaka 1939 wakati ambao Stalin alikuwa na Non-Aggression Pact na Ujerumani na akishirikiana na Hitler kuibonda Poland ile Septemba 1939. Ila Hitler akaja kumgeuka na kumvamia takriban miaka miwili baadae (Operation Barbarossa 1941).
We we ndio unafanya inakuwa propaganda kwa ushabiki tu.Nakubaliana nawe kuwa Uingereza na Ufaransa walitangaza vita dhidi ya Ujerumani mwanzoni mwa Vita ya Pili ya Dunia, lakini kwa kweli kiwango na uzito wa mchango wao vilikuwa vidogo sana, na kwa kiasi kikubwa vimekuwa vikipewa uzito wa kupindukia (overrated). Kwa mfano, Ufaransa ilishindwa vibaya ndani ya kipindi cha wiki sita tu.Ukilinganisha hali hiyo na vita vya upande wa Mashariki (Eastern Front) kati ya Wanazi na Wasovieti, ambavyo vilidumu kwa takribani miaka minne, tofauti ni kubwa sana. Vita hivi vya Mashariki ndivyo vilikuwa sehemu ya umwagaji damu mkubwa zaidi wa vita hiyo (deadliest theatre of war), ambako zaidi ya Wasovieti milioni 25 walipoteza maisha. Wanazi walipoteza takribani wanajeshi milioni 8, huku Wachina wakiwa na vifo vya takribani milioni 20.Kwa mantiki hiyo, tunaweza kusema zaidi ya asilimia 75 ya gharama ya vita, kiuhai na kijeshi, ilijikita katika ukanda huo wa vita Mashariki na Asia. Wengine waliobaki, licha ya mchango wao , ni sehemu ya simulizi zilizojaa propaganda za Magharibi ambazo hazilingani na uhalisia wa historia ya vita yenyewe.
Hayo mambo yanakusaidia nini hata kama yakiwa ya kweli au uongo..... Think outside of boxHapa umeelezea vizuri, sio kama jamaa wanakuja na story za kuokoteza au kuweka ushabiki tu kwa ajili ya drama.
Halafu pia hakuna sehemu ambayo nchi za Magharibi zimedai kuwa Urusi haikuwa na mchango mkubwa, Urusi ndio alipoteza wanajejeshi wengi zaidi na hilo halijawa hata downplayed. Labda hii vita ya Ukraine na Urusi NATO inafanya watu kuleta ushabiki na kupotosha history
Kwani nataka msaada? Au kitu chochote ninachokifanya au kusema huwa nategemea kinipe msaada? We we yanakusaidia nini had I umefungua uzi na kunijibu?Hayo mambo yanakusaidia nini hata kama yakiwa ya kweli au uongo..... Think outside of box
Jamaa balaa walifika mpaka ndani ya urusi mamaeeee
☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️Kwani nataka msaada? Au kitu chochote ninachokifanya au kusema huwa nategemea kinipe msaada? We we yanakusaidia nini had I umefungua uzi na kunijibu?
Votu vyangu hivi. Thanks for sharing.. nitavitafuta niongeze kwenye maktaba yanguView attachment 3419729
LknHuyu bwana alianzisha vita ambayo hawezi kuimudu. Kupigana two frontlines kwa wakati mmoja ilikuwa ni kosa moja kubwa la kiufundi lililomgharimu. Atleast angepigana moja kwanza iishe.
Yaani upande wake wa magharibi hajamalizana na mbritish+mfaransa , akagawa vikosi vya jeshi lake vikapigane na Red army ya mrusi(OPERATION BARBAROSA) .hapa alifanya makosa makubwa sana.
Kilichotokea ni Ujerumani kuwekwa mtu kati. Akapigwa na mrusi akitokea upande wa mashariki akipitia poland huku magharibi yupo mfaransa na shosti yake mbritain wakiwa na backup ya mu U.S.A . Mjerumani Akawa amewekwa mtu kati kilichotokea ni History .View attachment 3418609
Laiti Hitler angekuwa anashaurika na kuwasikiliza washauri wake Ungekuta ulaya yote iko chini ya third reich.
Hitler alikuwa na makamanda bora na wazoefu kabisa na walikuwa wanaperform vyema kwenye field . Hapa nawazungumzia akina Johannes Blaskowitz na Alfred schlemm n.k. ila boss wao aliwa let down kwa kutoshaurika. Ilikuwa kosa kubwa sana.
Anyway natamani kupata Hardcopy ya hiki kitabu hapa.
View attachment 3418611
Lakini mwanzoni mwa vita Russia supported German,ns ndo maana Russioa iliingia vitani badaye sana ,1941 baada ya HitlerHuyu bwana alianzisha vita ambayo hawezi kuimudu. Kupigana two frontlines kwa wakati mmoja ilikuwa ni kosa moja kubwa la kiufundi lililomgharimu. Atleast angepigana moja kwanza iishe.
Yaani upande wake wa magharibi hajamalizana na mbritish+mfaransa , akagawa vikosi vya jeshi lake vikapigane na Red army ya mrusi(OPERATION BARBAROSA) .hapa alifanya makosa makubwa sana.
Kilichotokea ni Ujerumani kuwekwa mtu kati. Akapigwa na mrusi akitokea upande wa mashariki akipitia poland huku magharibi yupo mfaransa na shosti yake mbritain wakiwa na backup ya mu U.S.A . Mjerumani Akawa amewekwa mtu kati kilichotokea ni History .View attachment 3418609
Laiti Hitler angekuwa anashaurika na kuwasikiliza washauri wake Ungekuta ulaya yote iko chini ya third reich.
Hitler alikuwa na makamanda bora na wazoefu kabisa na walikuwa wanaperform vyema kwenye field . Hapa nawazungumzia akina Johannes Blaskowitz na Alfred schlemm n.k. ila boss wao aliwa let down kwa kutoshaurika. Ilikuwa kosa kubwa sana.
Anyway natamani kupata Hardcopy ya hiki kitabu hapa.
View attachment 3418611
kushambulia Russia`,ndege iliyoshambulia Russia inasemekana ilikuwa si ya German,ila iikuwa ya Englad ila ilipakwa rangi za German.Ilikuwaje?,inasemekana England waliomna ushauri kwa Myahudi mmoja (alikuwa Pro.of Military Science) akawapa wazo kwamba hawawezi kushinda vita kama German na Russia wakiwa pamoja,lazima wawagombanishe, na wakigombana,kwa kuwa Hitleralikuwa hajajiandaa kuoigana na Russia itabidi agawe jeshi na hivio kupunza nguvu,na hilo wazo aliwapa kwa sharti kuwa baada ya vita liundwe Taifa la Kiyahudi la Israel,mind you kipind hicho Uingereza ndo ilikuwa inatawala eneo hilo,na ndo maana mara baada ya vita takribani miaka mitatu,1948,Israel ilitangaza uhuru wake,na Russia ilichangia pa kubwa kwa Hitler kushindwa