Hili ni kosa la kiufundi alilofanya Adolf Hitler

Hili ni kosa la kiufundi alilofanya Adolf Hitler

Mwanzoni kabisa mwa vita USSR alikuwa kitu kimoja na Hitler, Hitler akamgeuka baada ya kumuona kama hamuhitaji tena, hapo alishapigana na France, Poland, yupo na Britain
Unaongea vitu gani wewe? Mwanzoni mwanini? September 1, 1939 Nazi wanaanza vita rasmi kuivamia Poland, Ujeruman ya Nazi haikuwa mshirika wa USSR ila walikuwa na mkataba ambao ulipiga marufuku kushambuliana.

June 1941 Nazi walianza kuishambulia USSR kupitia Poland, wakati huu upande wa Magharibi walikuwa wameshaudhibiti wote huku upande wa mashariki mwa Poland ukiwa uoande wa USSR, December 1941 USSR inaanza kufanya counteroffensive kwa Nazi, 30 Aprili 1945 Adolf Hitler alijiua.

2 Mei 1945 Jeshi la USSR linaiteka Berlin, 7 Mei 1945 Ujerumani ilisalimisha rasmi kwa Uingereza na Marekani mjini Reims, Ufaransa. Kwa jinsi uharifu wa kibinadamu waliokaufanya kwenye miji ya USSR wakati wanaivamia Ujeruman hawakutaka ata kujasilimisha kwa USSR cos walihofia USSR watalipa visasi, mrithi wa Adolf Hitler alijitahidi kufanya makubaliano na upande wa France na Uingereza akafanikiwa kujisalimisha kwa upande uo, wakati uo Uingereza na Ufaransa na US walikuwa washirika vita baridi haijaanza hapo.

May 7 vita ya inaisha rasmi kati ya USSR na Ujerumani, August 8 Stalin anatangaza vita dhidi ya Japa, August 9 Redy Army anaingia mzigoni kwenye makoloni ya Japan nchini China, August 9 hiyohiyo US anatumia tena bomu la pili la Atomic Nagasaki, August 15 Japan anakubali yaishe! September 2, 1945 unasainiwa mkataba rasmi wa kumaliza kila mashambulizi.

Baada ya hapa Dunia inaingia kwenye Cold War! Wamagharibi ni kama walikuwa wanaombea USSR ashindwe! Waliogopa sana uwezo wa jeshi la USSR.
 
USSR alikuwa na makubaliano na Hitler ya non aggression pact, na pia walikubaliana kugawana nchi za Eastern Europe, wakati Hitler anavamia Poland upande wa Magharibi, USSR nae alivamia Poland Mashariki, pia alivamia kuzichukua Lithuania, Latvia, Estonia, na alitaka kuichukua na Finland ila kwa Finland alipata kipigo cha aibu, ndipo Hitler akamuona USSR dhaifu na kumvamia.
So USSR na Germany ni kama majambazi wawili waliokuwa na makubaliano kisha wakasalitiana

Wanasema "there's no honor among thieves"
 
Huyu bwana alianzisha vita ambayo hawezi kuimudu. Kupigana two frontlines kwa wakati mmoja ilikuwa ni kosa moja kubwa la kiufundi lililomgharimu. Atleast angepigana moja kwanza iishe.

Yaani upande wake wa magharibi hajamalizana na mbritish+mfaransa , akagawa vikosi vya jeshi lake vikapigane na Red army ya mrusi(OPERATION BARBAROSA) .hapa alifanya makosa makubwa sana.

Kilichotokea ni Ujerumani kuwekwa mtu kati. Akapigwa na mrusi akitokea upande wa mashariki akipitia poland huku magharibi yupo mfaransa na shosti yake mbritain wakiwa na backup ya mu U.S.A . Mjerumani Akawa amewekwa mtu kati kilichotokea ni History .View attachment 3418609
Laiti Hitler angekuwa anashaurika na kuwasikiliza washauri wake Ungekuta ulaya yote iko chini ya third reich.
Hitler alikuwa na makamanda bora na wazoefu kabisa na walikuwa wanaperform vyema kwenye field . Hapa nawazungumzia akina Johannes Blaskowitz na Alfred schlemm n.k. ila boss wao aliwa let down kwa kutoshaurika. Ilikuwa kosa kubwa sana.
Anyway natamani kupata Hardcopy ya hiki kitabu hapa.
View attachment 3418611
SSH sio Adolf ,mtafyekwa wote
 
USSR alikuwa na makubaliano na Hitler ya non aggression pact, na pia walikubaliana kugawana nchi za Eastern Europe, wakati Hitler anavamia Poland upande wa Magharibi, USSR nae alivamia Poland Mashariki, pia alivamia kuzichukua Lithuania, Latvia, Estonia, na alitaka kuichukua na Finland ila kwa Finland alipata kipigo cha aibu, ndipo Hitler akamuona USSR dhaifu na kumvamia.
So USSR na Germany ni kama majambazi wawili waliokuwa na makubaliano kisha wakasalitiana

Wanasema "there's no honor among thieves"
Kuwa na haina maana kuwa ni marafiki, USSR pia alikuwa na makubaliano na Japan yakutoshambuliana! Lakini angalia mara baada ya kumpiga Ujeruman alienda kuivamia Japan. Ukiangalia kipindi wameingia katika mkataba kutovamiana kati ya USSR na Nazi kilikuwa almost mwaka mmoja mpaka uvamizi wa Nazi nchini Poland. Ni kusema wazi USSR aliingia makubaliano kitokana na trend ya Ujeruman kujitanua kuelekea USSR so ili USSR kujihami akaingia katika mkataba wa kutoshambuliana.

Ni kweli USSR ye alichukua mashariki mwa Poland lakini mara baada ya kuichukua alitoa sababu kuwa anawalinda eneo ambalo alilipoteza wakati wa WW1 na ndiyo maana mara baada ya kuichukua Poland Mashariki alitengeneza Buffer Zone kati ya mashariki na Magharibi mwa Poland yote inaonesha kutokuwa na imani na Adolf Hitler.
 
Hawa walikuwa wameshakubaliana jinsi ya kuipiga kugawana Ulaya, sema walikuwa hawaaminiani, ni kama majambazi wawili wanavyokubaliana kwenda kupora ila hawamianiani, kila mmoja anamshuku mwenzie anaweza kumgeuka muda wowote. Vingine ni ushabiki
 
Mara baada ya kuanguka USSR ni kweli kulikuwa na makubaliano kati ya NATO NA RUSSIA kuwa Russia haitojitanua tena kuelekea Magharibi na Nato haipaswi kujitanua kuelekea mashariki yaani kuifuata Russia! Vipi nini kinaendelea kwasasa? nchi za NATO zinaifuata approach ya chama cha NAZI? kwanini wanapambana kuisambaratisha Russia kama alivyopambana Adolf?
 
Tulikuwa tunajadili fact za vita kuu ya pili ya dunia, ilivyokuwa mwanzo, pande zilizohusika na zilihusikaje, hii unayoleta ni mada mpya...na sipo interested kwenye ushabiki wa East vs West
 
Tulikuwa tunajadili fact za vita kuu ya pili ya dunia, ilivyokuwa mwanzo, pande zilizohusika na zilihusikaje, hii unayoleta ni mada mpya...na sipo interested kwenye ushabiki wa East vs West
Hii nimeochomekea sababu tumeangalia sababu za vita kuu ya 2 na yule tuliyeaminishwa mbaya na dictator basi zinatumika sababu zilezile za dictator wa WW2 leo kuziendeleza huku kukiwa na hofu ya kuibuka kwa WW3.
 
Sababu za WW2 ni zipi?
 
Cha ajabu Western propaganda wanadai eti turning point ya "WW2 ilikuwa ni Normandy" waongo wakubwa hawa lengo lao nikutaka kupindisha historia ya kweli ya WW2 ndani ya Continental Europe, ukweli utabaki pale pale kwamba Russian "Red Army" ndiyo ili vunja uti wa mgomgo WA jeshi LA Hitler - watasema mengi na kutaka kupindisha historia ya WW2 lakini wakumbuke kwamba ukweli utabaki pale pale kwamba Red Army under Field Marshal Zhukov lilikuwa "forminable"
Germany Army (The Wehrmacht) had a major structural problems which hindered their fight with an ideological, disciplined and unified adversary like the Red Army.

Traditionally, since 1699, the time of Frederick The Great, the Germany/Prussian Army has always been under the leadership of the Germany Generals Staff, a formidable military fraternity which produced brilliant military strategists and theorists like Helmuth Von Moltke, Clausewitz and Paul Hindenburg.

All world military leadership structures, including that of Tanzania, US and Russia are a replicas of The Germany Generals Staff (The Truppenamt). But unfortunately, Hitler in his Hubris and lack of acumen decided to create another Generals' Staff, The Oberkommando Der Wehrmacht (OKW) to replace both the Ministry of War and The Generals Staff, as Supreme Military Command.

During the entire course of war, the OKW and The Generals Staff were embroiled in a bitter struggle, that Hitler failed to form a solid unified command. The Army High Command (OKH) was given The Western Front, while the OKW was given the Eastern Front, Africa and some parts of Asia.

Meanwhile, the Red Army's supreme command was unified like a swarm of bees. The army was working directly in unison with the Communist Party, The Intelligentsia (NKVD), The Industry, and Ordinary Civilians. Hitler did not have this advantage. The Army (The Wehrmacht) hated the NAZI Party, The Schutzstafel (SS) was hated by the ABHWER (Germany Military Intelligence) and The Army in itself was divided as i had earlier pointed out.

They were doomed to fail, as Kissinger once mocked "Poor old Germany, too big for Europe but too small for the world"​
 
Mbona Russia ya Putin na Nazi ya Kuna utofauti. NATO ya Sasa ndio USSR Soviet.webabilisha sera na itikadi
 
Kosa la Hitler ni kutoridhika. Baada ya kuanguka kwa Ufaransa tayari alikua anaitawala Continental Europe. Alitakiwa kuridhika na alichokua nacho. Kutaka kuitawala Urusi kulimkost pakubwa. Angeeudi nyuma na kujifunza kilichomtokea Napoleon alivyotaka kuiteka Moscow.
Moscow Inaulinzi wa asili wa majora ya baridi. Move yeyote ya kutaka kuingia Moscow lazima uifanye kabla ya October. Ukiona hesabu zako zimekufikisha October hujaingia Moscow Rudi nyuma kajipange tena.
Alistahili kuingia na kuchoma vyakula vilivyokua shambani pale Ukraine na kurudi mwaka unaofuata.
Pia bada ya Dunkirk alistahili kuivamia Uingereza muda ule ule. Uingereza ulifanikiwa kuokoa wanajeshi wake lakini ilipoteza vifaa vita vyote maana ilibidi waviache Ufaransa. Huo ndio ulikua muda muafaka wa kuvuka Chanel straight na kutua Dover. Kumpa Winston muda likikua kosa la kimkakati ya Himler na Hitler wake. May be kwa sababu lengo kuu la Hitler likikua ni kuwaua Wahahudi ambao iliwaona kama sio Aryan race.
 
Huo ndio ukweli, pale Europe France alipigwa hadi akawa koloni, ukija kwa Britain ndio hivyo hakuwa na matumaini ya kuiweza Germany.. kwa sababu hadi mara ya mwisho Britain wanataka kuingia vitani walijitathimini wakagundua hawatoweza kuishinda Germany.... EU wababe wote walikalishwa na Nazi Germany...

Hadi hapo Germany alikuwa ameimaliza EU.. alipojichimbia kaburi Hitler ni kwenda kuanzisha vita na USSR..
Lakini tukumbuke USSR aliwaambia west na EU mwanzoni kabisa kwamba wajiunge wajenge nguvu dhidi ya Germany... wakakaidi kwa sababu walimuona USSR ni mjamaa.. lakini USSR walikuwa na intelligence nzuri waliona mbali...

Baada ya west kumkataa USSR, USSR anakwenda kujiunga na Germany kwenye makubaliano waliita Molotov-Ribbentrop Pact.. mwaka 1939... wanakubaliana kutoshambuliana bali kuivamia Poland na kugawana...

Baadae Nazi Germany ilivunja Mkataba wa Molotov-Ribbentrop kwa kuvamia USSR kwa ghafla na ikawa mwanzo wa anguko la Germany....

Ile nguvu liyoitumia kupambana na USSR angepambana na Britain angeichukua pia kama France, kwa maana hata pale Dunkirk askari wa Britain na France walizingirwa na Nazi Germany...
Watu mna madini na historia sio hawa kina mondi
 
naukubaliana na wewe lakin in addition one of major set back for germany during ww2 is inigma secret code kuwa bypassed ilikuwa cracked. inigma ilikuwa encription code ambayo ndio ulikuwa mfumo wa code za kimawasiliano. point no 2 ni uungwaji mkono waliofanya germany kwa japan kama germany isingeunga mkono japan, USA asingetoa msaada kwa allies kitu ambacho kiliwaongezea nguvu sana russia, and england japan. point no 3 hitler asingeingilia stratergic tactical decision za jeshi. to me nilipenda perfomance ya majenerali kadhaa ya wanazi 1.Hans guderian( the father of blitz) 2. erwin rommel ( desert fox) 3.paulis ( six army in stalin grade
Jamaa alikuwa na the best military generals ambao mpaka sasa kwenye vyuo vya kijeshi husomwa kama case study ila tu Hitler ali wa let down
 
US_Army_WWII_field_artillery.jpg
 
Mkuu nimekutana kitu hiki uko Duniani! Una maoni gani hapa?
View attachment 3422993
Kuhusu kuwa alikuwa ofisa wa juu wa jeshi la Nazi kishi kuwa ofisa wa juu wa NATO?

Sina uhakika sana, lakini nahisi jamaa hakuhusika na zile war crimes, au pengine alikuwa ni anti -Hitler wa siri (hapo kuja tuhuma alitaka kumuua Hitler)

Halafu pia vita baridi ilivyopamba moto, Marekani hakujali sana kuhusu watu waliohusika na war crimes bali alichojali zaidi ni kuona kama huyu atafaa kwenye kujiimarisha kijeshi na kiuchumi dhidi ya WaSovieti

Hii ilitokea pia Japan ambapo Marekanj ilipanga kuwashtaki kuwafunga au kuwanyonga wahusika wa uhalifu wa kivita wa jeshi la Japan, Ila baadae akawasamehe na kuwarudisha kwenye serikali ya Japan kwa ajili ya kupambana na Soviet
 
Reader digest kitabu kilielezea vizuri.ina matukio na tarehe kwa picha.ni kweli vita ilikuwa kati ya mrusi na germany nakumbuka pia usa na japan naye ilikuwa mechi kali sana.
Jeshi la German halikuwa la moto kama Japan, neno Kamikaze ilikuwa ni Slogan kali sana kwa Jeshi la Japan.

Wale ndo walikuwa wanatoa roho kweli kwa ajili ya vita. Pasipo ile Nuke, yamkini US angeweka matako chini.
 
Back
Top Bottom