Hili ni kosa la kiufundi alilofanya Adolf Hitler

Hili ni kosa la kiufundi alilofanya Adolf Hitler

Kuhusu kuwa alikuwa ofisa wa juu wa jeshi la Nazi kishi kuwa ofisa wa juu wa NATO?

Sina uhakika sana, lakini nahisi jamaa hakuhusika na zile war crimes, au pengine alikuwa ni anti -Hitler wa siri (hapo kuja tuhuma alitaka kumuua Hitler)

Halafu pia vita baridi ilivyopamba moto, Marekani hakujali sana kuhusu watu waliohusika na war crimes bali alichojali zaidi ni kuona kama huyu atafaa kwenye kujiimarisha kijeshi na kiuchumi dhidi ya WaSovieti

Hii ilitokea pia Japan ambapo Marekanj ilipanga kuwashtaki kuwafunga au kuwanyonga wahusika wa uhalifu wa kivita wa jeshi la Japan, Ila baadae akawasamehe na kuwarudisha kwenye serikali ya Japan kwa ajili ya kupambana na Soviet
Hapo nyuma nilikuuliza, NATO inatekeleza mission ya Adolf Hitler ilifail 1945 kwa njia isiyo ya kijeshi?
 
Afu eti gazeti la  mfanyakazi mwaka 1989 likaandika front page yake kwa bold print Hitler yu hai. Wakaeleza kwamba alifanikiwa kutoraka na kwa wakati rule alikuwa huko Argentina...
 
Afu eti gazeti la  mfanyakazi mwaka 1989 likaandika front page yake kwa bold print Hitler yu hai. Wakaeleza kwamba alifanikiwa kutoraka na kwa wakati rule alikuwa huko Argentina...
Hizi ni conspiracy theory tu
 
The Fuhrer Adolf Hitler.. ila yule daktari wake Theodore Morrel yale madawa aliyokuwa anampa Hitler yalichangia The Fuhrer kuwa na bad decision sometimes, alikuwa hataki kusikia kitu inaitwa retreat, hii ilisababisha pia wanajeshi wake wengi kufa, na pia kuingilia decision za ma general wake kulimcost pia, all in all uko sahihi kabisa.

It's inner circle ya kina Joseph Goebbels (Minister of Propaganda) Herman Goring (Luftwaffe boss) Heinrich Himmler ( Head of SS) Martin Bormann ( Secretary), Wilhelm keitel ( Military General) Joachim Von Ribbentrop ( Foreign affair Minister) Baldur von Schirach, Rudolf Hess( aliyekimbia kujisalimisha Britain) , Puttkamer, Reinhard heydrich, na wengine wengi angeweza kuchukua ushauri wao lakini aliamua kuwa yeye ndo everything.
Himmler was bad....type of Idd Amin's Malyamungu's bad
 
kuna sehemu nyingine hawasemi Hitler invaded wanasema Hitler marched koz no resistance at all
 
Huyu bwana alianzisha vita ambayo hawezi kuimudu. Kupigana two frontlines kwa wakati mmoja ilikuwa ni kosa moja kubwa la kiufundi lililomgharimu. Atleast angepigana moja kwanza iishe.

Yaani upande wake wa magharibi hajamalizana na mbritish+mfaransa , akagawa vikosi vya jeshi lake vikapigane na Red army ya mrusi(OPERATION BARBAROSA) .hapa alifanya makosa makubwa sana.

Kilichotokea ni Ujerumani kuwekwa mtu kati. Akapigwa na mrusi akitokea upande wa mashariki akipitia poland huku magharibi yupo mfaransa na shosti yake mbritain wakiwa na backup ya mu U.S.A . Mjerumani Akawa amewekwa mtu kati kilichotokea ni History .View attachment 3418609
Laiti Hitler angekuwa anashaurika na kuwasikiliza washauri wake Ungekuta ulaya yote iko chini ya third reich.
Hitler alikuwa na makamanda bora na wazoefu kabisa na walikuwa wanaperform vyema kwenye field . Hapa nawazungumzia akina Johannes Blaskowitz na Alfred schlemm n.k. ila boss wao aliwa let down kwa kutoshaurika. Ilikuwa kosa kubwa sana.
Anyway natamani kupata Hardcopy ya hiki kitabu hapa.
View attachment 3418611
Hatuwezi kujua Hitler alikuwa ameplan nini kuanzisha vita hii, kwa hiyo hatuwezi-kumJudge.

Hebu jaribu kufatilia vita ya Israel na mataifa ya kiarabu mwaka 1967, je, Israel ilipigana warfronts ngapi kwa mpigo na mbona Israel ilihibuka mshindi?
 
Back
Top Bottom