Niliwahi kusoma mahali Hitler alikuwa mwanaharakati wa haki za Wafanyakazi. Alionekana kuungwa mkono na wajerumani wengi na majirani zake. Alikuwa. A ushawishi Mkubwa.Huyu bwana alianzisha vita ambayo hawezi kuimudu. Kupigana two frontlines kwa wakati mmoja ilikuwa ni kosa moja kubwa la kiufundi lililomgharimu. Atleast angepigana moja kwanza iishe.
Yaani upande wake wa magharibi hajamalizana na mbritish+mfaransa , akagawa vikosi vya jeshi lake vikapigane na Red army ya mrusi(OPERATION BARBAROSA) .hapa alifanya makosa makubwa sana. Kilichotokea ni Ujerumani kuwekwa mtu kati. Akapigwa na mrusi akitokea upande wa mashariki akipitia poland huku magharibi yupo mfaransa na shosti yake mbritain wakiwa na backup ya mu U.S.A . Mjerumani Akawa amewekwa mtu kati kilichotokea ni History .View attachment 3418609
Laiti Hitler angekuwa anashaurika na kuwasikiliza washauri wake Ungekuta ulaya yote iko chini ya third reich.
Hitler alikuwa na makamanda bora na wazoefu kabisa na walikuwa wanaperform vyema kwenye field . Hapa nawazungumzia akina Johannes Blaskowitz na Alfred schlemm n.k. ila boss wao aliwa let down kwa kutoshaurika. Ilikuwa kosa kubwa sana.
Anyway natamani kupata Hardcopy ya hiki kitabu hapa.
View attachment 3418611
Angetengeneza u tube kwa idadi mara mbili ya alizokuwa nazo angeshinda vita.Huyu bwana alianzisha vita ambayo hawezi kuimudu. Kupigana two frontlines kwa wakati mmoja ilikuwa ni kosa moja kubwa la kiufundi lililomgharimu. Atleast angepigana moja kwanza iishe.
Yaani upande wake wa magharibi hajamalizana na mbritish+mfaransa , akagawa vikosi vya jeshi lake vikapigane na Red army ya mrusi(OPERATION BARBAROSA) .hapa alifanya makosa makubwa sana. Kilichotokea ni Ujerumani kuwekwa mtu kati. Akapigwa na mrusi akitokea upande wa mashariki akipitia poland huku magharibi yupo mfaransa na shosti yake mbritain wakiwa na backup ya mu U.S.A . Mjerumani Akawa amewekwa mtu kati kilichotokea ni History .View attachment 3418609
Laiti Hitler angekuwa anashaurika na kuwasikiliza washauri wake Ungekuta ulaya yote iko chini ya third reich.
Hitler alikuwa na makamanda bora na wazoefu kabisa na walikuwa wanaperform vyema kwenye field . Hapa nawazungumzia akina Johannes Blaskowitz na Alfred schlemm n.k. ila boss wao aliwa let down kwa kutoshaurika. Ilikuwa kosa kubwa sana.
Anyway natamani kupata Hardcopy ya hiki kitabu hapa.
View attachment 3418611
Hilo tu ndilo lililomwangusha.. kama ni jeshi alikuwa nalo na mkamanda walikuwa wanampa support ya kutosha ila tu no EGO yake ilipelekea his DownfallNiliwahi kusoma mahali Hitler alikuwa mwanaharakati wa haki za Wafanyakazi. Alionekana kuungwa mkono na wajerumani wengi na majirani zake. Alikuwa. A ushawishi Mkubwa.
Hata hivyo tamaa ikamjaa akasababisha Majanga Dunia nzima
Umesema vyema kabisa . Imagine uingereza na ufaransa alikuwa ameshazikalisha ilibaki tu kidogo , yeye akaona ngoja agawe vikosi vyake vingine viende eastern frontline kumpiga mrusi.. ofcourse mrusi alipigwa hadi kwenye mji wa Stalingrad huko Russia ila sasa hali ya hewa ya barafu ya Russia ikawa inamkataa mjerumani . Imagine unapeleka magari na vifaru kwenye ardhi ambapo barafu yake ukitembea inakufika magotini.. hii ikasaidia mrusi kuji organise upya.. mwisho wa siku mjerumani alipigwa mpaka BerlinOverconfidence is nice, but if you are not too wise to control it then it'll lead to your fall.
Hitler alikua vzr kote, kilichomuumiza ni overconfidence.
SunTzu kwenye 'The art of war' anasema 'Respect your enemy' hamaanishi ukamsalimie, no anamaanisha usimu-underestimate adui yako. Overconfidence ya hitler ikafanya afanye underestimation ya maadui wake. Ukisoma vzr na ukaangalia data & statistics za kpmd kile ile vita hitler alipaswa kabisa Kuishinda
"Frostbite "hapo tu.Mussolini delayed Hitler's Soviet operation for almost a month. Hitler wanter to invade on May, but had to go in Greece and save Mussolini's army that was clobbered by Greeks and Brits.
The came June, and operation that was supposed to last for 3 weeks turned into four years, with Germans being manhandled by Soviet numerical advantage and frost-bites.
Actually, it's the Soviet Union that defeated Germany. A turning point was Stalingrad, not Normandy.
ofcoz.Umesema vyema kabisa . Imagine uingereza na ufaransa alikuwa ameshazikalisha ilibaki tu kidogo , yeye akaona ngoja agawe vikosi vyake vingine viende eastern frontline kumpiga mrusi.. ofcourse mrusi alipigwa hadi kwenye mji wa Stalingrad huko Russia ila sasa hali ya hewa ya barafu ya Russia ikawa inamkataa mjerumani . Imagine unapeleka magari na vifaru kwenye ardhi ambapo barafu yake ukitembea inakufika magotini.. hii ikasaidia mrusi kuji organise upya.. mwisho wa siku mjerumani alipigwa mpaka Berlin
Yeah . Mrusi ndio alimmudu mjerumani. Na ndio alimpiga hadi Berlin mjini😃Mussolini delayed Hitler's Soviet operation for almost a month. Hitler wanter to invade on May, but had to go in Greece and save Mussolini's army that was clobbered by Greeks and Brits.
The came June, and operation that was supposed to last for 3 weeks turned into four years, with Germans being manhandled by Soviet numerical advantage and frost-bites.
Actually, it's the Soviet Union that defeated Germany. A turning point was Stalingrad, not Normandy.
Kweli jamaa alitoa somo dunia nzima.ofcoz.
hata hivo jamaa katuachia somo kubwa sana kwenye maisha ya kawaida na biashara.
Mistake aloifanya hitler wanaifanya watu wengi sana kila siku iwe kwenye biashara au kwenye maisha ya kawaida.
Asante sana, nitafanya hivyo MkuuKaribu sana. Ukimuona mtu mwenye hicho kitabu hapo mwambie nahitaji hardcopy yake.
Yeah . Mrusi ndio alimmudu mjerumani. Na ndio alimpiga hadi Berlin mjini😃
Ni wazi kwamba Umoja wa Kisovyeti (Urusi ya wakati huo) ndiye aliyekuwa na mchango wa kipekee katika kuhitimisha Vita ya Pili ya Dunia. Mataifa mengine kama Uingereza, Marekani na Ufaransa walijiunga katika hatua za mwisho kabisa za vita, wakati ambapo Jeshi la Kisovyeti lilikuwa tayari limemshinda Mjerumani na lilikuwa linaelekea moja kwa moja hadi Berlin.Kilichotokea ni Ujerumani kuwekwa mtu kati. Akapigwa na mrusi akitokea upande wa mashariki akipitia poland huku magharibi yupo mfaransa na shosti yake mbritain wakiwa na backup ya mu U.S.A . Mjerumani Akawa amewekwa mtu kati kilichotokea ni History .
Huo ndio ukweli, pale Europe France alipigwa hadi akawa koloni, ukija kwa Britain ndio hivyo hakuwa na matumaini ya kuiweza Germany.. kwa sababu hadi mara ya mwisho Britain wanataka kuingia vitani walijitathimini wakagundua hawatoweza kuishinda Germany.... EU wababe wote walikalishwa na Nazi Germany...Upo sahihi 100%