Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 2,255
- 2,825
Swali umeuliza mwenyewe ili tupate jibu unaleta mada nyingine usiponijibu basi sikulazimishiLabda twende kwenye mfano halisi kwa sababu naona logic unataka kuiweka kando.
Ushahidi wa kihistoria mamlaka ya zanzibar yana maeneo mpaka huku kwetu bara.
Unafahamu kuwa Kigamboni ni ya Zanzibar? Na haikuishia hapo, mpaka bandari ya bara Dar es Salaam ni ya wazanzibar. Upo tayari kuwapa eneo lao?
Wazanzibar wakidai hayo maeneo kwa kitumia huo ushahidi wa kihistoria upo tayari kuwapa hayo maeneo?
Sasa wewe unatafuta ubishani.Swali umeuliza mwenyewe ili tupate jibu unaleta mada nyingine usiponijibu basi sikulazimishi
Sio wazima hata kidogoMtu anaishi Tukuyu na mwingine Tandahimba mna ongea in details habari za ardhi iliyopo huko middle east....na bendera za nchi hizo mnapeperusha....utasema mmerogwa
Mungu gani huyo unayemzungumzia hapa?? Mungu wa Yakobo??Kanaani ndio nchi waliyopewa wayahudi, waisrael na Mungu wao baada ya kutoka Misri.
Kabla hawajaingia ktk ile nchi, wakiongozwa na Yoshua mwana wa nuni baada ya Musa kufa. Mungu aliwaambia wana wa Israel, mtakapoingia ktk hiyo nchi, waangamizeni wenyeji wote.
Wana wa Israel wakaacha wakanaani na wengine pia. Mungu alikasirika, akawaambia wana wa Israel, hayo mataifa mliyoacha kuyaangamiza yote. Hakika yatakuwa kama mwiba ktk maisha yenu yote.
Palestina ni kama mwiba ktk maisha yote ya Taifa la Israel, na hiyo ni nchi halali kabisa ya Israel sababu Baba yao Ibrahim alikaa hapo na aliimiliki hata.
Baada ya Ibrahim kufa, wakaja watu wengine kuishi hapo, hiko ndicho kipindi cha wana wa Israel walipokuwa utumwani kwa miaka 430 nchini Misri.
Hahahahahahahahaha halafu unakuta wanabishana mpaka wanatukaniana mama zao, wa Africa weusi kama tumerogwa hiviiMtu anaishi Tukuyu na mwingine Tandahimba mna ongea in details habari za ardhi iliyopo huko middle east....na bendera za nchi hizo mnapeperusha....utasema mmerogwa
Ukiwauliza history za makabila Yao hawajui....kabisa kazi kujitoa ufaham Kwa makabila ya watu ambao hawana undugu nao kabisaHahahahahahahahaha halafu unakuta wanabishana mpaka wanatukaniana mama zao, wa Africa weusi kama tumerogwa hivii
Mungu alivyo wa ajabu alimtimua yule kijakazi na mwanaye wakaenda maporini huko hadi ukamilifu wa dahari na dini zote zinajua hivyo!Wengi ni wafia dini ya mudi,wanajitia uchizi ila ukweli upo wazi na historia ipo wazi kabisa.
Hahahahahahahahaha sahihi kabisaa, wabongo tuna safari ndefu mnooo ya kujitambuaUkiwauliza history za makabila Yao hawajui....kabisa kazi kujitoa ufaham Kwa makabila ya watu ambao hawana undugu nao kabisa
Hahahaha mkuu nipumzishe sina nguvu za kucheka.Wamarekani wa Nzega.
kwa hivyo na nyinyi wabantu murudi tu Cameroon kwenye asili yenu.Wewe na huyo mwenzako mjibu vitu kwa facts,
Africa ni ardhi ya asili ya waafrika kama ilivyo Israel kuwa ardhi ya asili ya wayahudi, hapo wahindi wanahusikaje sasa ?
jitahidi uelewe kabla ya kubisha , story za wayaudi sio tu za kidini bali kihistoria piaKwa misingi hiyo Wahindu wakisema kwa mujibu wa vitabu vyao vya kidini mungu wao amewaambia Tanzania ni nchi yao ya ahadi watanzania wote kuanzia sasa hamna haki na nchi yenu wewe utakubali kuondoka kwenye hii ardhi na kumuachia Mhindu hii nchi?
ndivyo hujib ukikosa hoja?[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
What a waste of time
maswala ya israel sio kidini tu bali kihistoria pia ambapo hata wapalestina pia wanaamin hivyo , kwann unalazimisha tuitizame kidini zaid?Hawezinjibu Hilo swali kilogically
Ataishia kukuletea nukuu za Biblia tu
Mkuu umeuliza swali lenye tafakuri kubwa sana sijuwi kama utajibiwa.Kwa misingi hiyo Wahindu wakisema kwa mujibu wa vitabu vyao vya kidini mungu wao amewaambia Tanzania ni nchi yao ya ahadi watanzania wote kuanzia sasa hamna haki na nchi yenu wewe utakubali kuondoka kwenye hii ardhi na kumuachia Mhindu hii nchi?
kasomeni hata story za falme za jiran na hapo Israel , mjifunze maana dini zimewatia upofu wakati waliowaletea dini wanawatambua uwepo wa waisrael hapo middle east , sio persia au warumi wala mesopotania kote huko wanaitambua israel kuwai kuwepo hapoTunamsubiri tuone jawabu lake litakuwaje!