Hili ni swali langu kwenu mnaosema Israel ni ya wapelestina, Acheni kujitia upofu mtazame uhalisia

Aliesema Muhammad alipokwenda Jerusalem alikuta wapalestina ni wewe ama kuna mtu alidukua akaunti yako ya Jf?.
Alafu umeongeza vitu vingine vingi ambazo hata sijaviuliza.
 
karne gani ndugu, msikiti huo ulikuwepo wakati wa Yesu? wakati uislam na muhamad wamekuja karibia karne 5 baada ya Yesu (miaka karibia 500 huko). ndipo huo msikiti ulijengwa baada ya kuvunja hekalu la wayahudi alilojenga mfalme wao suleiman. na kwa sasa wapo kwenye maandalizi ya kuvunja ule msikiti ili kurestore hekalu mahali lilipokuwepo. soma historia na Biblia pia.
 
Sulaymaan alayhi ssalaam hakuwa mfalme pekee bali mtume wa allah na ndiye aliyeasisi msikiti huo, sasa unaposema haukuwepo nashindwa kukuelewa.

Ama mafunzo yake yeye na mitume waliotangulia kama musa alayhi ssalaam na waliokuja baada yake sio haya wanayoyafuata hawa wayahudi.
 
Aliesema Muhammad alipokwenda Jerusalem alikuta wapalestina ni wewe ama kuna mtu alidukua akaunti yako ya Jf?.
Alafu umeongeza vitu vingine vingi ambazo hata sijaviuliza.
Mkuu mimi sijasema alienda akakuta wapalestina bali nimesema alienda ardhi ya palestine, wewe ndio ukaleta habari ya birth and rebirth ambayo haikuwa msingi wa mjadala wetu.
 

Sehemu ya dola ya tawala zipi?mbona kama unataka kujitoa akili,hizo historia unazitoa wapi zaidi ya kwenye maandiko ya vitabu.
 
Udini, uislam, mara yaccoub, mara yushaa, mara Jacob, mara Joshua dah ujinga ujinga mwingi tu, wenye shida sana ni waislam hawa watu uwa nashindwa kuwaelewa kabisa

Wanataka wajimilikishe dini ya wayahudi na miji ya wayahudi.
 
Wengi ni wafia dini ya mudi,wanajitia uchizi ila ukweli upo wazi na historia ipo wazi kabisa.
Nyie ndo mmewasaliti wakristo wenzenu wa palestina, sisi mnaotuita wafuasi wa Mudi ndio tunaowatetea. Leo hii wanapigwa kama mbuzi mpaka mapadre.

Hii video wakati nyie mnasherehekea Pasaka wenzenu wanabaguliwa siku ya pasaka hapa masista wakitemewa Mate

Kanisani pia wanapangiwa

Fujo zote hizi wana deal na Mchungaji mzee tena miaka 85 wanamtoa kinguvu kanisani

Nyie msioelewa mnatoa mimacho wafuasi wa Mudi, ila uhalisia waisilamu, wakristo, wasio na dini wote waliopo palestine ni kitu kimoja.
 
Mkuu siku hizi ni rahisi kabisa kujua kama mtu sehemu fulani ni asili yake, watu hutumia carbon dating kupima mabaki ya maiti maelfu ya miaka nq dna za sasa.

Tafiti zote za kisayansi zinaonesha wapalestina lile ni Eneo lao


Hio report ya National Geography isome
 
What if Palestina ndio watu wa kanaani? Scientifically ipo proved

DNA from the Bible's Canaanites lives on in modern Arabs and Jews

Kazi kwenu waimba mapambio na one sided love yenu.
 
Viongozi wengi wa kupigabia uhuru wa Palestina ni Wakristo, huwezi Ongelea Palestina bila kumuongelea George Habash, Hapo Chile tu kuna Wapalestina 500,000 na majority ni wakristo.
 
Swali la bikra 72, sio kwamba wanawake hawana equivalent yake, ila ni kwamba haijasemwa wazi, Hekma yake ni kwamba wanawake wameumbwa na Haya/Aibu,

Ashakum sio matusi, ila imagine mwanamke aambiwe Peponi utapata mpingili una Nchi saba, huoni ingeleta dhihaka nyingi sana na wangetaniwa sana?

Mwenyezi Mungu yeye ndio ametuumba na yeye ndio anajua deep kwenye mioyo yetu tunatamani nini na yeye ndio atakaetulipa hio siku ya kiama, tuombe tu kwa mwenyez Mungu tuwe na mwisho mwema na wote tuingie Peponi.

All in All peponi kwa mujibu wa Dini ya kiisilamu utapata chochote nafsi yako inayohitaji, At minimum ni Ardhi yenye ukubwa sawa na Dunia mara 10, hao ma Hurs pia sio binadamu ni race maalum ku serve wanadamu peponi, so ukitaka playstation, Pombe, Nyama choma kila kitu utakipata, kuna Vitu vimekatazwa Duniani Peponi vitaruhusiwa.
 
Asante mkuu.
Umejuaje kuwa Mungu hakuliweka wazi suala la hao wanaokaba nafasi za bikira 72 kuwa ni busara na hekima za kulinda utu wao?
 
Waisrael walikua wakiishi Nchi mbalimbali za kiarabu na Middle east, Morocco, Tunisia, Iran, Iraq kote huko kulikua na waisrael. Wengine walikua Ulaya na maeneo mengine Wapo makundi mengi kuna
-Ashkenaz hawa ni weupe Blonde Hair na macho ya Blue wengi walikua Ulaya, Ashkenaz inamaanisha Ujerumani
-Sepharidic jews, Hawa waliishi Iberian Penisula sehemu kama Spain
-Mirzahi ama Arab jews hawa waliishi Nchi za kiarabu.

Kihistoria Wakati wakiuliwa huko Ulaya na maeneo mengine jews waliishi kwa amani Nchi za kiisilamu, unaposema jews golden Age ndio hio hio Islamic Golden Age, tuliwahifadhi na kuwatetea maelfu kwa maelfu ya miaka.

Ugomvi baina ya waisilamu na Jews unahusiana zaidi na Zionism, baada ya Mazionist kuja na kupora Palestina ndio wakaanza kutimuliwa wayahudi nchi za kiarabu ila hii ni chini ya miaka 100 iliopita.

Eneo la palestina linamilikiwa na Wote waisilamu, wakristo na wayahudi. Sababu mtu ni muisilamu ama Mkristo haimaanishi hakua muisraeli wa zamani, kuna waisrael kibao walisilimu ama kubatizwa.

Kama Comment za juu links nilizoeka kuna ushahidi wa kisayansi kwamba wapalestina wa sasa ndio wakaazi wa zamani eneo hilo,

Pia unatAkiwa ufahamu definition ya Uarabu ya sasa haimaanishi ethnicity ya mtu, Sudan ni weusi ila wanaitwa waarabu, Morocco na Algeria ni Amazingh/berbers wanaitwa waarabu, Iraq, syria, Lebanon etc kuna Ethnicity group nyingi wote wanaitwa waarabu, Egpty kopts wanaitwa waarabu etc. Ki asili waarabu ni wale wanaoishi Ghuba tu, Saudi, Yemen, Oman, part ya Iraq etc.

Ukiangalia by Appearence wapalestina hawafanani na waarabu, hivyo kusema walihamia toka nchi za kiarabu ni uongo mkubwa tu. Hawa wa sasa wanaoitwa levant arabs ndio wakazi halisi wa hilo eneo wapo Syria, lebanon, Palestina etc ni weupe wengine blonds, wana blue eyes etc. Hawapo kama waarabu wa kawaida. Ukichukua ushahidi wa kisayansi + appearence zao + culture zao kama upo open minded utaelewa vizuri hilo ni eneo la Palestine.
 
Asante mkuu.
Umejuaje kuwa Mungu hakuliweka wazi suala la hao wanaokaba nafasi za bikira 72 kuwa ni busara na hekima za kulinda utu wao?
Kama unavyoona kwenye Elimu ya kawaida kuna certificate, diploma, Degree, master, Phd hadi ma professor na kwenye dini ya uisilamu pia hivyo hivyo tuna stage za Elimu, Equivalent ya professor tunaitwa maulamaa, hawa ni watu waliosoma dini na kukubalika na wasomi wenzao wana equivalent ya research na papers kiasi kwamba wanaruhusiwa kutafsiri vitu.

Kupitia miongozo yao na vitabu vyao tunapata Explanation ya mambo mbalimbali. Nimetafuta mahala niliposoma hio Explanation sijapapata ila kama utahitaji zaidi nitaangalia zaidi.

Pia hio wanaume tutapata Hur ila namba kamili hakuna, hio Hadithi ya idafi kuwa ni 72 most of time hutumiwa tu na haters wa Uisilamu, ina debate sana ndani ya uisilamu kuhusu usahihi wake na Maulamaa wengi hawaitumii.
 
Nikajua labda yanapatikana ndani ya Quran mkuu,kumbe siyo?

Sasa hii Quran ni ya nini?
 
Pamoja mkuu.
Ninachokiona mimi hivi vitabu viwili (Quran & Bible) tofauti yake ni ndogo sana.
1 . Vyote vinalenga kukuza uchumi wa waliokaa na kuviandaa.
2. Kwakuwa ni plans za kiuchumi,hivyo viko kwenye ushindani vikishindania wateja kwa kujinadi kwa kila namna ya uzuri wa kipekee.
3. Kimoja kinapondea upande wa pili.
4. Kimoja kinajitetea ili kuirejesha thamani yake iliyokuwa ikididimia sokoni.

5 . Vyote vina mfumo wa kiunyonyaji either material or human resources.
 
Kwani Nabii Ibrahim alikua myahudi ?
 
Hua nikisoma maandiko Kama haya, ninaishia kucheka yaani MUNGU awaruhusu, waisraeli kuangamiza mataifa mengine bila sababu.

Hivi vitabu msipende kuvisoma kwa kuongozwa na hisia, sababu kina mapungufu mengi sana.
Wamemezeshwa na malengo ya wazungu waache tu wafate Iman bira akili , mwenyezi Mungu anapotaka kuwaangamiza waja wake anatumia malaika na wala si watu awaambie mukiingia huko uweni watu wote halafu mukai ninyi haya si maneno ya Mungu labda aseme ya mzungu . Kwahiyo ndio maana Israel inakuwa wasio na hatia sababu ndio Mungu wao kawaambia eeeh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…