Hiyo kabla ya hakukuwa na taifa fulan ni hoja yenye kibyongo. G
Hata 1891 kurudi nyuma hakukua na nchi inayoitwa Tanganyika sasa sijui why kwa upande wa Israeli unapata hoja.
Turudi kwenye swali langu:- hao waisrael, kwao ni wapi kabisa!! mbona wanajadiliwa as if walishuka toka mawinguni tu wakafikia hapo middle east. Why jamii zote ziwe na maeneo yao ya asili but ikifika kwa waisrael inaonekana wameibuka tu from no where around 1949's?.
Waisrael walikua wakiishi Nchi mbalimbali za kiarabu na Middle east, Morocco, Tunisia, Iran, Iraq kote huko kulikua na waisrael. Wengine walikua Ulaya na maeneo mengine Wapo makundi mengi kuna
-Ashkenaz hawa ni weupe Blonde Hair na macho ya Blue wengi walikua Ulaya, Ashkenaz inamaanisha Ujerumani
-Sepharidic jews, Hawa waliishi Iberian Penisula sehemu kama Spain
-Mirzahi ama Arab jews hawa waliishi Nchi za kiarabu.
Kihistoria Wakati wakiuliwa huko Ulaya na maeneo mengine jews waliishi kwa amani Nchi za kiisilamu, unaposema jews golden Age ndio hio hio Islamic Golden Age, tuliwahifadhi na kuwatetea maelfu kwa maelfu ya miaka.
Ugomvi baina ya waisilamu na Jews unahusiana zaidi na Zionism, baada ya Mazionist kuja na kupora Palestina ndio wakaanza kutimuliwa wayahudi nchi za kiarabu ila hii ni chini ya miaka 100 iliopita.
Eneo la palestina linamilikiwa na Wote waisilamu, wakristo na wayahudi. Sababu mtu ni muisilamu ama Mkristo haimaanishi hakua muisraeli wa zamani, kuna waisrael kibao walisilimu ama kubatizwa.
Kama Comment za juu links nilizoeka kuna ushahidi wa kisayansi kwamba wapalestina wa sasa ndio wakaazi wa zamani eneo hilo,
Pia unatAkiwa ufahamu definition ya Uarabu ya sasa haimaanishi ethnicity ya mtu, Sudan ni weusi ila wanaitwa waarabu, Morocco na Algeria ni Amazingh/berbers wanaitwa waarabu, Iraq, syria, Lebanon etc kuna Ethnicity group nyingi wote wanaitwa waarabu, Egpty kopts wanaitwa waarabu etc. Ki asili waarabu ni wale wanaoishi Ghuba tu, Saudi, Yemen, Oman, part ya Iraq etc.
Ukiangalia by Appearence wapalestina hawafanani na waarabu, hivyo kusema walihamia toka nchi za kiarabu ni uongo mkubwa tu. Hawa wa sasa wanaoitwa levant arabs ndio wakazi halisi wa hilo eneo wapo Syria, lebanon, Palestina etc ni weupe wengine blonds, wana blue eyes etc. Hawapo kama waarabu wa kawaida. Ukichukua ushahidi wa kisayansi + appearence zao + culture zao kama upo open minded utaelewa vizuri hilo ni eneo la Palestine.