Hili nilishalijua kuhusu Harmonize...

Tuwaombee Mafanikio tu. Wote. Clouds, WCB, Harmo na wasanii wengine. Kukiwa na makundi makundi yanapimana nguvu muziki unakua mtamu kwasababu kila msanii atajaribu kuteka mashabiki.
Uzuri wa muziki sio kama siasa. Kwamba kama wewe CCM basi sera za CUF unaziona mbovu. Unaweza sikiliza nyimbo za Harmonize na kesho ukaenda show ya Alikiba au ukacheki Show za Wasafi.
 
Nakazia kwa miaka mi5 mbele hayupo.
 
Ninatabiri anguko kubwa Sana la clouds.
Pia natabiri anguko kubwa zaidi la harmonize.
Comment hii naomba ibaki hapa kwa mwaka m1 tu.
sana hao clouds hawajawahi kumbrand msanii akafanikiwa zaidi ya kumuharibia tu, aslay, bella, kiba
 
sanaaa
 
sio mtu mzuri yule mcheki kwenye yoppe mule
 
Clouds wanachojua wanakutumia baadae wanakutema Yuko wapi aslay? Sikuizi nimeona hata ngoma za kiba hawapigi.Ila safari hii clouds wameshikwa pabaya na wasafi naona kitendo Cha mondy kuwasajili kitenge na edo kumwembe kimewaharibu kisaikolojia
Ule usajili ,ni hatari kwa afya ya clouds ahaahaaaaaaa
 
wanga tu wale
 
Naona sasa clouds wamepata msanii halisi wa kumpigia promo na watatoboa,nilikuwa siwaelewi kabisa wanapojaribu kumfanya aslay au marioo kuwa staa kwa nguvu wakati uwezo wao mdogo.
 
Clouds wanachojua wanakutumia baadae wanakutema Yuko wapi aslay? Sikuizi nimeona hata ngoma za kiba hawapigi.Ila safari hii clouds wameshikwa pabaya na wasafi naona kitendo Cha mondy kuwasajili kitenge na edo kumwembe kimewaharibu kisaikolojia
Kwenye usajili hapo dah,nahisi shafii dauda kaumia zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…