marcus dedsec
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 944
- 987
"magufuri" ndio nini mbona "WCB" umeiandika vizuri?Hayo mawazo ni kwasababu katoka WCB? Au hajui kuimba na kutoa burudani!!? Au sababu kaimba kumsifu magufuri!!??
Nijibu tafadhar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"magufuri" ndio nini mbona "WCB" umeiandika vizuri?Hayo mawazo ni kwasababu katoka WCB? Au hajui kuimba na kutoa burudani!!? Au sababu kaimba kumsifu magufuri!!??
Nijibu tafadhar
Nakazia kwa miaka mi5 mbele hayupo."Yani wanaamini kabisa the guy is going to take over diamond. "
Toka Diamond atabiliwe kushuka ni zaidi ya miaka 5,bado yupo.Harmonize ni clone ya Diamond,ila Diamond ana kitu extra ambacho harmonize hana.
Mondi ni completely package ya Entertainer,Master Jay ana kauli yake anasema "ni rahisi kumfundisha mtu kuimba lkn huwezi kumfundisha kuwa entertainer",ndio maana Mondi ana show zaidi ya 90 kila mwaka kwa miaka mitatu mfululizo.
Sasa soko lake limehamia ktk nchi zinazoongea kifaransa,kwa kifupi baada ya mwaka huku ukitoa nchi za kiarabu,Mondi ameshapiga show karibia 95% ya nchi zote za africa .Kila mwaka ana achieve kitu kipya .
Mondi ataporomoka Muda na wakati wake ukifika kama wasanii wengine wakongwe ,lkn hamna atakayeweza kumshusha HAYUPO.
sana , huyo monize bila mondi wasingemjua leoWalijaribu kumpaisha kiba wameshindwa kwa diamond clouds watapata tabu Sana Mondy ngoma ngumu Kama ukuta wa Berlin.
sana hao clouds hawajawahi kumbrand msanii akafanikiwa zaidi ya kumuharibia tu, aslay, bella, kibaNinatabiri anguko kubwa Sana la clouds.
Pia natabiri anguko kubwa zaidi la harmonize.
Comment hii naomba ibaki hapa kwa mwaka m1 tu.
mamburura yale, mashga yamejaa muleYaani hiki kitendo cha clouds kumbrand msanii fulani ili kumshusha mwingine hua kinawaharibia sifa sanaa.
sanaaaDiamond mnamkosea heshima sana kumfananisha na mwanae harmonize au alikiba tunapozungumzia diamond platinum tunazungumzia kiumbe maarufu zaidi kuwahi kutokea Tanzania tokea Uhuru msisahau pia ndio icon ya taifa kwa sasa kimataifa hakuna anaeitangaza taifa kumzidi uyu kiumbe
"Yani wanaamini kabisa the guy is going to take over diamond. "
Toka Diamond atabiliwe kushuka ni zaidi ya miaka 5,bado yupo.Harmonize ni clone ya Diamond,ila Diamond ana kitu extra ambacho harmonize hana.
Mondi ni completely package ya Entertainer,Master Jay ana kauli yake anasema "ni rahisi kumfundisha mtu kuimba lkn huwezi kumfundisha kuwa entertainer",ndio maana Mondi ana show zaidi ya 90 kila mwaka kwa miaka mitatu mfululizo.
Sasa soko lake limehamia ktk nchi zinazoongea kifaransa,kwa kifupi baada ya mwaka huku ukitoa nchi za kiarabu,Mondi ameshapiga show karibia 95% ya nchi zote za africa .Kila mwaka ana achieve kitu kipya .
Mondi ataporomoka Muda na wakati wake ukifika kama wasanii wengine wakongwe ,lkn hamna atakayeweza kumshusha HAYUPO.
Ule usajili ,ni hatari kwa afya ya clouds ahaahaaaaaaaClouds wanachojua wanakutumia baadae wanakutema Yuko wapi aslay? Sikuizi nimeona hata ngoma za kiba hawapigi.Ila safari hii clouds wameshikwa pabaya na wasafi naona kitendo Cha mondy kuwasajili kitenge na edo kumwembe kimewaharibu kisaikolojia
We sio mungu fakiniNinatabiri anguko kubwa Sana la clouds.
Pia natabiri anguko kubwa zaidi la harmonize.
Comment hii naomba ibaki hapa kwa mwaka m1 tu.
wanga tu waleSizani hata kama unajua vizuri entertainment industry ya Tanzania kwa sasa,bado clouds wapo juu kwa kila kitu,
Ubunifu,weledi,umakini.
Hata ukiangalia haya matamasha mawili ,wasafi festival na fiesta ,bado fiesta iko juu Sana kwa kila kitu ,wasafi imejengwa kumzungumka diamond tu
Kuna sehemu nimejiita MUNGU?We sio mungu fakini
Wanaenda kumpoteza mtoto wa watu.sana hao clouds hawajawahi kumbrand msanii akafanikiwa zaidi ya kumuharibia tu, aslay, bella, kiba
Wanaenda kumpoteza mtoto wa watu.
Na sijasema ni rahisi Ila tujipe muda.Sio kirahisi kama unavodhani
Kuna mchezo unachezwa hapa clouds wanajua wanachokifanya na harmonize anaenda kuifanya kazi aliyotunwa.huyo kiba mwenyewe yupo shimoni saivi
Kwenye usajili hapo dah,nahisi shafii dauda kaumia zaidi.Clouds wanachojua wanakutumia baadae wanakutema Yuko wapi aslay? Sikuizi nimeona hata ngoma za kiba hawapigi.Ila safari hii clouds wameshikwa pabaya na wasafi naona kitendo Cha mondy kuwasajili kitenge na edo kumwembe kimewaharibu kisaikolojia