Hili nilishalijua kuhusu Harmonize...

Hili nilishalijua kuhusu Harmonize...

Tuwaombee Mafanikio tu. Wote. Clouds, WCB, Harmo na wasanii wengine. Kukiwa na makundi makundi yanapimana nguvu muziki unakua mtamu kwasababu kila msanii atajaribu kuteka mashabiki.
Uzuri wa muziki sio kama siasa. Kwamba kama wewe CCM basi sera za CUF unaziona mbovu. Unaweza sikiliza nyimbo za Harmonize na kesho ukaenda show ya Alikiba au ukacheki Show za Wasafi.
 
"Yani wanaamini kabisa the guy is going to take over diamond. "

Toka Diamond atabiliwe kushuka ni zaidi ya miaka 5,bado yupo.Harmonize ni clone ya Diamond,ila Diamond ana kitu extra ambacho harmonize hana.

Mondi ni completely package ya Entertainer,Master Jay ana kauli yake anasema "ni rahisi kumfundisha mtu kuimba lkn huwezi kumfundisha kuwa entertainer",ndio maana Mondi ana show zaidi ya 90 kila mwaka kwa miaka mitatu mfululizo.

Sasa soko lake limehamia ktk nchi zinazoongea kifaransa,kwa kifupi baada ya mwaka huku ukitoa nchi za kiarabu,Mondi ameshapiga show karibia 95% ya nchi zote za africa .Kila mwaka ana achieve kitu kipya .

Mondi ataporomoka Muda na wakati wake ukifika kama wasanii wengine wakongwe ,lkn hamna atakayeweza kumshusha HAYUPO.
Nakazia kwa miaka mi5 mbele hayupo.
 
Ninatabiri anguko kubwa Sana la clouds.
Pia natabiri anguko kubwa zaidi la harmonize.
Comment hii naomba ibaki hapa kwa mwaka m1 tu.
sana hao clouds hawajawahi kumbrand msanii akafanikiwa zaidi ya kumuharibia tu, aslay, bella, kiba
 
Diamond mnamkosea heshima sana kumfananisha na mwanae harmonize au alikiba tunapozungumzia diamond platinum tunazungumzia kiumbe maarufu zaidi kuwahi kutokea Tanzania tokea Uhuru msisahau pia ndio icon ya taifa kwa sasa kimataifa hakuna anaeitangaza taifa kumzidi uyu kiumbe
sanaaa
 
sio mtu mzuri yule mcheki kwenye yoppe mule
"Yani wanaamini kabisa the guy is going to take over diamond. "

Toka Diamond atabiliwe kushuka ni zaidi ya miaka 5,bado yupo.Harmonize ni clone ya Diamond,ila Diamond ana kitu extra ambacho harmonize hana.

Mondi ni completely package ya Entertainer,Master Jay ana kauli yake anasema "ni rahisi kumfundisha mtu kuimba lkn huwezi kumfundisha kuwa entertainer",ndio maana Mondi ana show zaidi ya 90 kila mwaka kwa miaka mitatu mfululizo.

Sasa soko lake limehamia ktk nchi zinazoongea kifaransa,kwa kifupi baada ya mwaka huku ukitoa nchi za kiarabu,Mondi ameshapiga show karibia 95% ya nchi zote za africa .Kila mwaka ana achieve kitu kipya .

Mondi ataporomoka Muda na wakati wake ukifika kama wasanii wengine wakongwe ,lkn hamna atakayeweza kumshusha HAYUPO.
 
Clouds wanachojua wanakutumia baadae wanakutema Yuko wapi aslay? Sikuizi nimeona hata ngoma za kiba hawapigi.Ila safari hii clouds wameshikwa pabaya na wasafi naona kitendo Cha mondy kuwasajili kitenge na edo kumwembe kimewaharibu kisaikolojia
Ule usajili ,ni hatari kwa afya ya clouds ahaahaaaaaaa
 
Sizani hata kama unajua vizuri entertainment industry ya Tanzania kwa sasa,bado clouds wapo juu kwa kila kitu,
Ubunifu,weledi,umakini.
Hata ukiangalia haya matamasha mawili ,wasafi festival na fiesta ,bado fiesta iko juu Sana kwa kila kitu ,wasafi imejengwa kumzungumka diamond tu
wanga tu wale
 
Naona sasa clouds wamepata msanii halisi wa kumpigia promo na watatoboa,nilikuwa siwaelewi kabisa wanapojaribu kumfanya aslay au marioo kuwa staa kwa nguvu wakati uwezo wao mdogo.
 
Clouds wanachojua wanakutumia baadae wanakutema Yuko wapi aslay? Sikuizi nimeona hata ngoma za kiba hawapigi.Ila safari hii clouds wameshikwa pabaya na wasafi naona kitendo Cha mondy kuwasajili kitenge na edo kumwembe kimewaharibu kisaikolojia
Kwenye usajili hapo dah,nahisi shafii dauda kaumia zaidi.
 
Back
Top Bottom