Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #101
Akawa anazifanyia nini?Huyu j
Huyu jamaa kipindi cha nyuma alikuwa anaishi iringa eneo la wilokesi kazi yake kubwa ilikuwa kununua fedha za zamani.wengi walijua ni fbi
Kwani spy kazi yake nini?Unajua hebu tujiulize huyo bongo zozo kama ni spy anakuja tz kufanta nini?
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Uspy huo unaouhofia ushapitwa na wakati intelejensia ya dunia ushapitwa zama hizoHuyu jamaa huenda ni shushushu VIP , lakini sisi tunamchukulia poa huku tukijidanganya kuwa msemo usemao KIKULACHO KI NGUONI MWAKO umepitwa na wakati
View attachment 2129177
Kisa mzungu,si unajua tusivyojiamini,mzungu pori kesha ona upenyo na fursa, unadhani ingekuwa kwao angeweza kuwa na nafasi ya kumuona raisi wao, na sijui huyu ni mzungu pori kutoka nchi gani na anafanya kazi gani, watu kama hawa utakuta kakimbia kwao sababu ya mambo ya uhalifu, tuwe macho.Huyu jamaa huenda ni shushushu VIP , lakini sisi tunamchukulia poa huku tukijidanganya kuwa msemo usemao KIKULACHO KI NGUONI MWAKO umepitwa na wakati
View attachment 2129177
Huyo mzungu wewe sio mwenzako...Mi huwa najiuliza hizi gharama anazotumia kupuyanga ni nani anazisimamia?
Kukosa majibu inaweza kusababishwa na kutotaka kusema ukweli tu, lakini majibu unakuwa nayo!Hahah hahah hahahah kama tu hawana majibu ya maswali mepesi tutawezaje kuwaamini kwenye mambo magumu?
Naamini si wajinga, ila kuna mambo ambayo sometimes unaona kabisa outcome zake zisingekuwa kama hivyo IIF wapo makini kiasi ambacho mtu angetamani...Lakini so far wameonyesha kuwa wanauwezo wa kuilinda amani yetu...Ila kwenye kulinda rasilimali wanaonyesha ku pwaya sana....Kuna mambo ambayo usingetegemea yangeachwa kiasi cha level yanakofikia...Tukubali mataifa makubwa yanatuzidi, sasa unaona kabisa kuna alliances zinafanywa na watu ambao wanaaminiwa hadi kuzaa matunda na hadi kukomaa kiasi ambacho inatishia kwakua kinguvu katika stage hiyo lazima wao watashindwa yet wameshindwa kuvuruga na kuwawajibisha hao watu mapema kabisa kabla hawaja kita mizizi ambayo inazaa matunda ya uovu unao dumu kwa muda mrefu na ambao unalitafuna taifa hili kwa miongo kadhaa...TANZANIA na vyombo vya usalama sio wajinga kiasi hicho mnachodhani
Yaani wewe unaona hili ni ujinga! Kweli common sense is not common...Haya hayo yenye tija ni yapi kwamfano?Watanzania kuna mambo ya kujadili sio haya ya kijinga namna hii
Huo adui ujinga ndiyo bado nadhani anakuonea hata wewe...Nzalendo yes lakini uzalendo wake unakuwa persuaded na nini? Kwanini anatafuta nafasi ya kupenya mpaka vyumbani mwa nchi yetu, ili iweje?Muda mwingine middle class wa kitanzania mna push Ile line ya uwezo wa kawaida wa kufikiri, tupo more concern na mambo ya ajabu huku yanayotuathiri zaidi tunayakwepa au kuogopa vivuli vyetu.
Nchi hii Ina more pressing issues kuliko huyu mzalendo tuliyetofautiana rangi tu, maadui wetu bado ni ujinga, umasikini na maradhi SIO woga kuhusu usalama wa politicians wetu, budgets zao za kiusalama watanzania wengi hatuzijui and we can't ask them.
Ha ha ha..!wakija kutahamaki washadukuliwa.
Ndo hapo ninapojiuliza hao wenzake Ni Kuna nani?Huyo mzungu wewe sio mwenzako...
Watu wa usalama wapo kila mahali na wanajua wajibu wao ndio maana unaona tupo salama tunadunda tunatembea kifua mbele,, jaribu kuleta zako za kuleta uone moto utakaokuwakia, This is Tanzania my friend " !!!Mbona Bashite hamumtilii shaka leo hata hapo awali alipokuwa Mkuu wa Mkoa, na uhusiazno wake na WAARABU wakati huo alikuwa msiri wa Jiwe? Au Hawa wamanga mnawaamini sana hawana madhara kwa usalama wa nchi?
Issue ya usalama ni complex mno, kumsoma mtu historia haiwezi kukupa uhakika wa jinsi mtu alivyo....hata ndani ya CIA na FBI kuna mamluki....USSR ilipangaranyika kwa smart movement.Hili ni janga jipya la nchi yetu kuwa na ujuaji wa hovyo daraja la kwanza. Unafikili vyombo vya usalama havisomi motive za watu ambao wanatishia usalama wa nchi yetu ndio maana tuko salama mpaka sasa.
Hawajui kituKukosa majibu inaweza kusababishwa na kutotaka kusema ukweli tu, lakini majibu unakuwa nayo!
Hata huyu naye alituchezea sanaTumechezewa Sana Ndugu Zangu
Tumeliwa Sana Ndugu Zangu
Tumegongwa Sana Ndugu Zangu
Acha uboya wewe, kabla hata wakoloni hawajaja tulikaa kwa amani sana.Hii amani unayoiona unadhani ni nani wanaitengeneza!?
usikute una miaka ishirini hata mlio wa baruti hujawahi sikia
Vingekuwa active General Tyre isingekufaHili ni janga jipya la nchi yetu kuwa na ujuaji wa hovyo daraja la kwanza. Unafikili vyombo vya usalama havisomi motive za watu ambao wanatishia usalama wa nchi yetu ndio maana tuko salama mpaka sasa.
Huyu alikuwa anaenda kwa boss wakeTatizp si ujunga, jibu hoja kwmb ye ananufaikaje na izo pesa za kuzunguka anazitoa wapi alafu ndo turudiii kweny ni wajinga au si wajinga maana ata gobachev wa urysi alipenda adi white house sa sijui white house walikuwa wajinga?????
Kuleta watalii lazima uingie gharama. Waulize tour operators wanawalipa TripAdvisor na wengine kiasi gani kwa mwaka!!Hizo gharama anazozitumia na muda wake kwa taifa stars, hugharamiwa na nani?
Halafu nyie wenye EKSPODJA, mlifundishwa na nani? Kiwango chako cha exposure ni kipi?