Hili suala la Bongo Zozo kujipenyeza kila mahali hadi chumbani kwa baba limekaaje?

Hili suala la Bongo Zozo kujipenyeza kila mahali hadi chumbani kwa baba limekaaje?

Rijamaa rinajitoreaa kwerikweri
Hekaheka zote anatumia pesa zake!
Inabidi sasa serikali imfikirieee

Ova
 
Hili ni janga jipya la nchi yetu kuwa na ujuaji wa hovyo daraja la kwanza. Unafikili vyombo vya usalama havisomi motive za watu ambao wanatishia usalama wa nchi yetu ndio maana tuko salama mpaka sasa.

Mbona Bashite hamumtilii shaka leo hata hapo awali alipokuwa Mkuu wa Mkoa, na uhusiazno wake na WAARABU wakati huo alikuwa msiri wa Jiwe? Au Hawa wamanga mnawaamini sana hawana madhara kwa usalama wa nchi?
 
Mbona huulizi irene uwoya anafanya kazi gani na anapata wapi pesa za kuzunguka dubai na kukaa kwenye 5 star hotels ?

Let him live his life ,acheni chuki na wivu si kila mtu yupo kwenye rat race, za kuamka asubuhi kuwahi kazini na kurhdi usiku huku akisubiri likizo ya siku 30 tu ndani ya mwaka mzima..kuna watu wameseti miradi yao inawaingizia pesa kila dakika huku wao wanaendelea kuyafurahia maisha
 
Tatizo huna exposure,huna ufahamu dunia unavyoendeshwa

Hapo ni ikulu sehemu ya Rais kupokea wageni

Huyo mzungu pori hakujipeleka,ameitwa

Dr Mwinyi ameona huyo jamaa kwa uchale wake atasaidia kuitangaza zanzibar kwa watalii wa huko kwao UK na duniani
Na ndio jamaa pia ananufaika hivyo ma Connection,jamaa kuvaa vazi hilo lenue bendera ni Tangazo tosha....Jamaa anatutangaza pia kimasuala ya Utalii.
 
Intelligence ya Tanzania iliyoasisiwa na Jiwe Magufuli inaangalia kulinda kit cha Rais aliyeko madarakani mengine hayawahusu.
Huyo Bongo zozo siku akiinua kinywa tu kuropoka jambo lolote kuhusu RAIS ataitwa uhamiaji na kupewa masaa 24 tu aondoke haraka
 
TANZANIA na vyombo vya usalama sio wajinga kiasi hicho mnachodhani
Vyombo hivi vya usalama vilivopo ilhali wazungu wanachukua madini kwa mgao wa 97% kwa 3%,vyombo hivi vya usalama vilivoshindwa kuwakamata wauaji wa Tundu Lissu,vyombo hivi vya usalama vilivyosimamia uchaguzi mkuu wa 2020?
 
Muda mwingine middle class wa kitanzania mna push Ile line ya uwezo wa kawaida wa kufikiri, tupo more concern na mambo ya ajabu huku yanayotuathiri zaidi tunayakwepa au kuogopa vivuli vyetu.

Nchi hii Ina more pressing issues kuliko huyu mzalendo tuliyetofautiana rangi tu, maadui wetu bado ni ujinga, umasikini na maradhi SIO woga kuhusu usalama wa politicians wetu, budgets zao za kiusalama watanzania wengi hatuzijui and we can't ask them.
Safi sana...

Hawa raia wanatakiwa kukumbushwa kwamba kuna mengi muhimu ya kujadili yanayotugusa kuliko la huyu jamaa.
 
Back
Top Bottom