Hili suala la Bongo Zozo kujipenyeza kila mahali hadi chumbani kwa baba limekaaje?

Hili suala la Bongo Zozo kujipenyeza kila mahali hadi chumbani kwa baba limekaaje?

Tatizo huna exposure,huna ufahamu dunia unavyoendeshwa

Hapo ni ikulu sehemu ya Rais kupokea wageni

Huyo mzungu pori hakujipeleka,ameitwa

Dr Mwinyi ameona huyo jamaa kwa uchale wake atasaidia kuitangaza zanzibar kwa watalii wa huko kwao UK na duniani
Hizo gharama anazozitumia na muda wake kwa taifa stars, hugharamiwa na nani?

Halafu nyie wenye EKSPODJA, mlifundishwa na nani? Kiwango chako cha exposure ni kipi?
 
Muda mwingine middle class wa kitanzania mna push Ile line ya uwezo wa kawaida wa kufikiri, tupo more concern na mambo ya ajabu huku yanayotuathiri zaidi tunayakwepa au kuogopa vivuli vyetu.

Nchi hii Ina more pressing issues kuliko huyu mzalendo tuliyetofautiana rangi tu, maadui wetu bado ni ujinga, umasikini na maradhi SIO woga kuhusu usalama wa politicians wetu, budgets zao za kiusalama watanzania wengi hatuzijui and we can't ask them.
Sawasawa
 
Hii amani unayoiona unadhani ni nani wanaitengeneza!?
usikute una miaka ishirini hata mlio wa baruti hujawahi sikia
Watanzania kiasili ni waoga, na sio kwamba kuna watu wanahenya kwa ajili ya amani tuliyonayo. Uchaguzi unafutwa, watu wanapigwa risasi, watu wanaiba pesa za umma n.k kuna mtanzania ashawahi kusimama juu ya upuuzi huu????

Tofautisha watu kutumia nguvu kulinda amani na watu kuwa waoga. Amani watu wanahangaikia huko Israel, Urusi n.k sio huku kwetu tulojaa uoga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kicheko na mashamsham aliyonayo mbona haya Wiyani na alivyo. Yaani kuna vitu usoni havina ushirikiano
Labda nikueleze kwa upana kidogo, Kuna mission ili ufanikiwe mnakubariana wewe na wenzako kuwa ikitokea nimefanikiwa kufika na nikacheka jueni Hali ni mbayaa, au nikifika nikakohoa eleweni hivi na vile,fanyeni hiki na kile, au nikampa mkono wa kulia, kushoto, nikavaa barakoa mlegezo, nikavaa viatu hivi and the same.

NI ngumu kumgundua ila hizi mbinu zipo.
 
Watanzania kiasili ni waoga, na sio kwamba kuna watu wanahenya kwa ajili ya amani tuliyonayo. Uchaguzi unafutwa, watu wanapigwa risasi, watu wanaiba pesa za umma n.k kuna mtanzania ashawahi kusimama juu ya upuuzi huu????

Tofautisha watu kutumia nguvu kulinda amani na watu kuwa waoga. Amani watu wanahangaikia huko Israel, Urusi n.k sio huku kwetu tulojaa uoga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeadhiriwa na siasa pakubwa Sana.
 
unaujua ubunifu wewe?
Ndio huo ushangiliaji wake. Umeshawaona watanzania wakifanya vitu kama hivyo?. Tunajua kulalamika tu.

Nenda Nigeria, Nenda Spain nenda dunia yote yenye kujielewa, utawakuta vichaa wa mpira wenye uchungu wa kuona mafanikio ya timu zao za taifa.

Watanzania tumelala, uwezo wetu ni kuanzisha nyuzi za malalamiko na kejeli kwa uongozi unaokuwa pale ikulu magogoni.
 
Hii amani unayoiona unadhani ni nani wanaitengeneza!?
usikute una miaka ishirini hata mlio wa baruti hujawahi sikia
Huu ni utulivu sio amani.na kimsingi hii hali inatokana na nature ya watanzania wenyewe walivyo.Sasa sijajua unamaanisha kwamba hizo nchi ambazo zina machafuko nikwasababu hawana hao watu unaowataja au nikwasababu wananchi wao ni tofauti na sisi.au uko mbele nasisi tukibadilika hao watu watakua hawapo.Fikiria mara mbili.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hawa watu wapo vizur Kwenye Kusaka pesa popote ilipo wenzetu wanatumia pesa kutembea nchi nyingi duniani nakuweka YouTube na Kwenye mitandao mbali mbali sisi YouTube yetu mambo ya umbea hatari sana,tusimlaum sis wenyewe tumemfanya awe femous jamaa alikua anasafir zake kuchek mpira na stail yake ya kiduku mara kaweka bendera ya TZ wabongo walivyoona Mzungu anafagilia Tz hao shobo zikaanza sasa anakula shavu tunalalamika haha mwachen sasa ale mema ya nchi nae
 
Back
Top Bottom