Hili suala la Bongo Zozo kujipenyeza kila mahali hadi chumbani kwa baba limekaaje?

Hili suala la Bongo Zozo kujipenyeza kila mahali hadi chumbani kwa baba limekaaje?

Kuna kupata mapato pia kupitia hicho anachokifanya, tuache kukariri.

Watu hujiajiri kwa ubunifu, tupo dunia ya utandawazi Wazee.

Kuna Jamaa (Mzungu)huko mitandaoni yeye huzunguka Nchi mbalimbali (haswa za asia) akionesha Madanguro na Dada poa....ana wafuasi wake wa kutosha kwa you tube maisha yanasonga.
 
Muda mwingine middle class wa kitanzania mna push Ile line ya uwezo wa kawaida wa kufikiri, tupo more concern na mambo ya ajabu huku yanayotuathiri zaidi tunayakwepa au kuogopa vivuli vyetu, nchi hii Ina more pressing issues kuliko huyu mzalendo tuliyetofautiana rangi tu, maadui wetu bado ni ujinga, umasikini na maradhi SIO woga kuhusu usalama wa politicians wetu, budgets zao za kiusalama watanzania wengi hatuzijui and we can't ask them.
Umeongea kwa uchungu sana mkuu!

Yani ukifuatilia vitu wanavyokomalia watz, unajipa jibu kabisa kwamba ni halali yetu kuwa hapa tulipo.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Tatizp si ujunga, jibu hoja kwmb ye ananufaikaje na izo pesa za kuzunguka anazitoa wapi alafu ndo turudiii kweny ni wajinga au si wajinga maana ata gobachev wa urysi alipenda adi white house sa sijui white house walikuwa wajinga?????
bahati mbaya mi si msemaji wake....... mpaka kafika pale wanajua kila kitu
 
Tunajua kila anachofanya,tunampima mpaka ishara,mavazi,chakula,tabasamu na vitendo vyake vyote.
Hivi kicheko na mashamsham aliyonayo mbona haya Wiyani na alivyo. Yaani kuna vitu usoni havina ushirikiano
 
Huyu jamaa huenda ni shushushu VIP , lakini sisi tunamchukulia poa huku tukijidanganya kuwa msemo usemao KIKULACHO KI NGUONI MWAKO umepitwa na wakati
View attachment 2129177
Tatizo huna exposure,huna ufahamu dunia unavyoendeshwa

Hapo ni ikulu sehemu ya Rais kupokea wageni

Huyo mzungu pori hakujipeleka,ameitwa

Dr Mwinyi ameona huyo jamaa kwa uchale wake atasaidia kuitangaza zanzibar kwa watalii wa huko kwao UK na duniani
 
Kati ya watu nisiowaamini kiusalama ni huyu mshangiliaji asiye na faida.
Hakuna ushushushu hapo huyo anapenda publicity tu na kutalii, hizo pesa anazotumia huku third world ndio tunaziona nyingi, huko kwao ni pesa ndogo sana,

Ukiniambia huyo jamaa anatafuta umaarufu ili autumie katika fursa zilizopo za kupiga pesa hapo itamake sense.
 
Afu huwa anajinasibu eti amestaafu kufanya kaz zake kwahyo sahv n mwendo wa kula bata tu
 
Back
Top Bottom