Hili suala la Bongo Zozo kujipenyeza kila mahali hadi chumbani kwa baba limekaaje?

Bongo zozo ni youtuber kama walivyo wengine ila syle yake ipo kivyengine ,kuna wengine wao ni vyakula tu na hutembea kila nchi,ila uyu ni kibaka yupo na wadanganyika .
 
Acha uboya wewe, kabla hata wakoloni hawajaja tulikaa kwa amani sana.
Nenda vijijini huko ndani kabisa, hamna polisi wala mgambo lakini amani imetawala
Ww kiazi kabisa unafananisha wakatit wa ukoloni na nyakati hizi!!?
ugumu wa maisha na uwingi wa watu ni chanzo cha migogoro na uvunjifu wa amani hujui hilo
 
Ni kweli
 
Watu wa usalama wapo kila mahali na wanajua wajibu wao ndio maana unaona tupo salama tunadunda tunatembea kifua mbele,, jaribu kuleta zako za kuleta uone moto utakaokuwakia, This is Tanzania my friend " !!!
Kua kila mahali alafu kiongozi mkubwa wa nchi anasikika akisema nchi imeibiwa sana rasilimali nisawa na kutokuwepo.Inawezrkana ukawa huna mgogoro wowote ila ukawa shamba la bibi wakawa wanakuchora tu.Usalama wa nchi ni zaidi ya unavyofikiria.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
nakubaliana na wewe. Bongo kwanz ni mshemej ameoa machame.na pia hiv kuna kitu gan west wasiwe nacho wakiamua tu wanabonyez setalait chaa dar nzima hio hapo.unaambiw pale msassn jamaa wa ubaloz walikua wametulia wanaona mwiz wa simu njia alizopitia mpk alipoend kujificha jaamaa wwametulia tu wanamchek kupitia saterait yao ambayo iliend kufungwa katika sayar ya mwezin ambayo ma ulaya wanayo so wakitaka ishu yoyot inabonyezwa tu. acha mawazo ya kwemy series zinatuharibu sana kujiona tuna juaa interijensia
 
Muandiko wako mgumu kuuelewa makosa mengi mno sijui tatizo simu au mwenyewe .Halafu usipende kufipisha maneno inafanya makosa yawe mengi zaidi.
 
Pros and Cons...

Tuna kipi cha kuficha humo chumbani kwa so called Baba ?

Ki-utalii mzungu kuzumgumzia na kujivika Utanzania na kuipenda Tanzania ni Tangazo la Tanzania kwa hao so called mashushu wanzake ili nao waje kutumia dollar zao...

Wakitaka kuiba siri / nyaraka hawatatumia huyo so called shushushu, watatumia hata mke wako, wewe mwenyewe mawaziri wako au hata huyo anayekufagilia chumbani
 
Umemaliza game mkuu !
 
Huyo upo kwa maslai ya uingereza( mpelezi) juz juz mtt wa malikia anasema wafriika wanazaa sana na inahatarisha usalama wa wanyama hatuja kaa sawa tunaambia wamasai wamezid ngorongoro na wanatakiwa waondoke....!!! Akili mtu wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…