vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Ninaipongeza klabu ya Yanga kwa kuendelea kufanya vizuri kwenye ku design jezi. Jana zimezinduliwa jezi za kiwango haswa mpaka mashabiki wa Simba wakizitamani. Lakini moja ya jambo ambalo kwangu ni tata ni ishu ya logo ya main sponsor wa mashindano ya Caf inter club ambaye ni total energies.
Ukiangalia logo ambayo Yanga wameiweka kwenye jezi mpya haina rangi halisi ya logo ya Tota energies kwenye nyekundu wameiweka zambarau hivi, kwa waliofanikiwa kuiona jezi live mnaweza kuliweka sawa hili pengine picha ya jezi imenipotosha kukawa na rangi sahihi ya main sponsor.
Kama ikiwa ni kweli ipo hivyo kama ilivyokuwa kwenye picha je hakutakuwa na shida yoyote? Viongozi wa Yanga waliomba ufafanuzi huko CAF na kuonekana hakuna shida? Isije jitihada zote zinazofanyika kwaajili ya michuano ya shirikisho ikaja kukwamishwa na jambo dogo la logo kwa kukwepa wekundu.