britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Hiii sijui Kila siku laki ya mchezo inachangia Umalaya kwa wanawake
Udanganyifu kwa wenza wao kutokana na Pesa wanazopewa
Presha kwao na kwa wapenzi wao
Ni Bomu kubwa sana tupo na mtaona kwenye jamii
Britanicca
Udanganyifu kwa wenza wao kutokana na Pesa wanazopewa
Presha kwao na kwa wapenzi wao
Ni Bomu kubwa sana tupo na mtaona kwenye jamii
Britanicca