Mwaka Jana mwezi December nilibahatika kupata ajira ya muda mfupi na mojawapo ya hizi micro finance zilizotapakaa kila Kona ya nchi.Location ikawa bunda mjini.Kutokana na maslahi kidogo nilipata chumba kinachoendana na mshahara wangu kilichonigharimu 25000/- kwa mwezi.Sasa kutokana na kuwa single suala la kupika likawa kipengele.Jirani na nilipopanga Kuna ustaadhat mmoja kajaaliwa makalio ya haja ndie alikuwa mmiliki wa huo mgahawa.Sasa ikawa kuanzia chai,chakula cha mchana na cha usiku nikawa nakula pale.Mmewe ni fundi mmoja wa decorations za nyumba hivyo huwa Kuna nyakati yupo au hayupo nk.
Sasa huyu mama aged 40-42,nilikuja kubaini ni mtu wa hivi vikundi vikundi vilivyotapakaa mitaani vya marejesho.Ana mashoga zake kama sita hivi na wote wa hizi mishe mishe za vikundi hivi vya kausha damu.
Siku moja nilisafiri safari binafsi sehemu moja inaitwa Manchimweru,mpakani mwa Bunda na wilaya ya Serengeti.Jioni hiyo hiyo akanipigia simu "Beka(siyo jina langu halisi) leo umesusa kunichangia umepata chimbo jipya la kula?"Nikajibu hapana nimekimbia Bush kuna kondoo zangu niliwekesha kwa wataturu.Akajibu kimkato tu ,ok!
Usiku akanitext ndugu yangu nina shida na 40000/- nadaiwa za kikundi naomba unikopeshe.Nikajibu Sasa dhamana yako ni ipi mpaka mtu akupe hicho kiasi cha pesa?Akajibu ana smart phone,ambayo ataiweka kama dhamana!Sasa kutokana na majanga ya hizi smart phone nikamuuliza kama Ina risti au box lake akajibu haina,kwa maana nayo aliinunua kwa mtu ikiwa used.Nikamwambia kwa hilo haitakuwa rahisi otherwise angalia mbinu nyingine mbadala(atafute dhamana nyingine)
Muda wa majaribu;
Yule mama akaendelea kunilalamikia sana kwamba nimekataa kumsaidia na hizi shida zinampata yeyote hivyo hata mimi naweza pata changamoto akanisaidia.Sikumficha nikamweka wazi sitaweza kumpa pesa kwa makubaliano ya mdomoni tu anaweza nidhulumu na hasa ukizingatia ni Mrs someone inaweza kuniletea shida.Akajibu basi sawa haina shida!Story zikawa kama zimeisha!
Baada ya dakika 20-30 nikawa nimeingiwa na roho ya huruma nikamtext basi leta tu hiyo simu.Akajib "Sasa si haina risti?" Nikamwambia nimekuamini tu wewe ilete.Ghafla story zikawa tofauti tena,mara mme wangu asipoiona atanisumbua kutaka kujua ipo wapi!(Hawa wanawake ni hatari )Nikamwambia kwa hiyo basi tusitishe.Akasema we si mtu mzima kabisa Ina maana hili linakushinda kama mwanamme kulisimamia na kulitatua?Mpaka hapo nikajua anachohitaji ni kuliwa,ghafla uchu wa ngono ukanijaa.Nikamwambia sawa kwa hiyo upo free muda gani?Akasema ni wewe tu ila isiwe usiku maana Jamaa atakuwa karudi toka kwenye shughuli zake.Nikamweleza anipe lisaa nitakuwa nimerudi mjini.Hamuwezi kuamini yule dada aliingia Guest House iliyopo mitaa ya Balili,saa nane mchana akiwa kavaa sijui ndio hijab au juba.Nikawa nimefanya nae mapenzi huo mchana!
Maisha yakaendelea nikaja kulala nae tena siku moja nyakati za saa mbili mmewe akiwa kasafiri.
Maajabu sasa:
Siku moja nyakati za usiku nipo baa fulani ya kifichoni maarufu kwa jina la Isamo yule dada alipita speed kuingia mpaka chumbani na hakujua kama nilikuwemo,maana nilikuwa nimevaa hizi kofia za pama.Baada ya muda akaibuka dogo mmoja dreva boda kwenda kumkaza mle chumbani.Katika kuchunguza nikabaini kumbe alikuwa hachiti na mimi tu Bali na yule dreva boda, Mzee mmoja maarufu kwa kutengeneza artifical garden au sijui ndio mnaita maua ya kupamba kwenye mahotel pamoja na jamaa mmoja wa buchani.Life style ya wale rafiki zake wote ni ileile afadhali na yeye!
Onyo:Vicoba hivi kausha damu ni hatari sana kwa ndoa zenu na kwa sasa wanaoingia wanajua purposeful kabisa kwamba kule Kuna njia mbadala ya kupata pesa