Hili suala la wanawake kusaka hela ya mchezo ya kuchangishana ni Tatizo sana

Hili suala la wanawake kusaka hela ya mchezo ya kuchangishana ni Tatizo sana

Kujitafutia ni sawa tatizo unaitafutiaje? Unakuta mwanamke anacheza mchezo wa kurejesha kila siku amemficha mme wake. Sasa akikwama inabidi akapigwe pumb* ili apate rejesho. Hii kitu imepelekea wanawake wengi kuharibiwa vinjeo mitaani
Kwahiyo unateseka bro?
 
Mkuu kwa uzoefu wako hali ya KE kujirahisisha kwa tamaa ya pesa hivi sasa unaionaje?

Ni mbaya kiasi, mbaya sana ama mbaya mbovu?

Sio kwenye VICOBA tu, hata mambo mengine.

Nauamini sana mchango wako mkuu, tafadhali nijibu.
Kwa macho yangu Mimi ninayokutana nayo mtaani na katika mizunguko yangu hali ni mbaya sana
 
vikoba/ Micheazo ni sawasawa na mtu kujiwekea akiba alf mbona kuna wanaume pia wanacheza kwanini lawama ziwe kwa mwanamke pekeake? kesho na kesho kutwa kuna mwingine ataanzisha uzi kuwasema wanawake wasio na michezo kwamba hawajitumi wamebweteka,, ifike mahali kila mtu aishi maisha yake jamani khaaa
Ingia kwenye michezo au vikoba kwa akiba ya biashara yako au mshahara wako, sio kwa kuombaomba pesa.
 
Hao wanaopigwa pumbu ni hobby zao binafsi, nazungumzia chanzo cha kuingia kwenye vicoba na michezo hapa!
Chanzo ni.... Kutafuta chanzo binafsi cha mapato ambacho hupelekea kuingia kweny chanzo kingine cha kutafuta marejesho ili kukidhi matakwa ya vikoba!!
 
A
Ukiona hivyo jua hutimizi mahitaji ya mwenza wako kikamilifu.

Na pia hamkai meza moja mkashauriana, kiufupi hamsikilizani.
ACheni kuhalalisha uzinzi na umalaya kwa kigezo, hamskilizani punguzeni tamaa asilimia kubwa wanawake wanatumia pesa nyingi kwenye vitu visivyo wasaidia hata wao wenyewe yaani ufahari wa kiduanzi sana hasa nywele za laki 5 ndio nini?
Stupidy
 
Back
Top Bottom