Umejuaje, au wewe ndo unawaharibu 🤔 Pac the DonMitaani wanawake wamehabika vinyeo kwa kutafuta marejesho
Umejuaje, au wewe ndo unawaharibu 🤔 Pac the DonMitaani wanawake wamehabika vinyeo kwa kutafuta marejesho
mkewangu huwa anacheza, basi nikaamua kuwa nampa hela za michezo yake kila akikwama, akipokea na yeye analeta.Michezo ya hela ni chanzo cha ukosefu Wa furaha/matatizo ya akili kwa wanawake!
ToaaaaNina ushuhuda juu ya hili ..
Duuh laki kwa siku hao ni WADANGAJI Pro ,wake zetu wa uswahilini michezo yao ni elfu 2 kwa siku au elfu 10 kwa wiki na wanachukua laki hadi laki na nusu.Hiii sijui Kila siku laki ya mchezo inachangia Umalaya kwa wanawake
Udanganyifu kwa wenza wao kutokana na Pesa wanazopewa
Presha kwao na kwa wapenzi wao
Ni Bomu kubwa sana tupo na mtaona kwenye jamii
Britanicca
Mkataze haraka sana na umfuatilie hili lishakuwa tatizo kwenye jamii, wanawawake wengi wanajiingiza kwenye mavitu kama hayo halafu wanaomba pesa Kwa wanaume na hapo jua pesa haitoki bureDah mdogo wangu wa kike wa mwisho kwenye familia ananisumbua sana yaani kila baada ya wiki mbili anataka nimkopeshe pesa akalipe mchezo.......
Umenena📌Hiii sijui Kila siku laki ya mchezo inachangia Umalaya kwa wanawake
Udanganyifu kwa wenza wao kutokana na Pesa wanazopewa
Presha kwao na kwa wapenzi wao
Ni Bomu kubwa sana tupo na mtaona kwenye jamii
Britanicca
Chief hii attachment sijaielewaYapo wanawake wanaodanga yan watanzania huku wanatusumbua sana kuwa pesa ya mchezo tuwasaidia na hapa kidogo Wauze Mali za mmewe kisa ye anadanga huku tukamuokoa
View attachment 3610687View attachment 3610688View attachment 3610691View attachment 3610689
Kuna Dada Mke wa Mtu alikuwa anacheza hii michezo hadi ya laki Mbili kwa siku ..Toaaaa
vikoba/ Micheazo ni sawasawa na mtu kujiwekea akiba alf mbona kuna wanaume pia wanacheza kwanini lawama ziwe kwa mwanamke pekeake? kesho na kesho kutwa kuna mwingine ataanzisha uzi kuwasema wanawake wasio na michezo kwamba hawajitumi wamebweteka,, ifike mahali kila mtu aishi maisha yake jamani khaaa
Mkuu kwa uzoefu wako hali ya KE kujirahisisha kwa tamaa ya pesa hivi sasa unaionaje?Tayari hili ni tatizo kubwa sana kwenye jamii.
Wanawawake wa siku hizi wameweka tamaa mbele
Daaa kumbe ndio Huwa inachezwa Kwa mfumo huo!! Sasa hapa faida Iko wapi.Nilichogundua watanzania wengi hatuna discipline ya kutunza pesa Kwa hiyo kinachofanyika kwenye hiyo michezo ni wapumbavu wasio na nidhamu ya pesa kumkabidhi mtu awatunzie ili aje awape baadae pesa ambayo wangeitunza wao wenyewe ila wameshindwa kuitunza(ujinga wa hali ya juu)Mi nikajua kwenye mchezo ukiweka laki 1 basi uje urejeshewe angalau 130000-150000 angalau Ina maanaHiyo michezo, vikoba, kausha damu na vingine vingi vya kufanana navyo ni betting ya kimtindo, haina faida yoyote zaidi ya kumfanya mtu 'busy for nothing' . Unakuta anatoa elf 10 kila siku, baada ya siku 10 anachukua elf 90 eti zingine posho ya kijumbe. Sitaki hata kuisikia
Anayeongelewa na mleta uzi ni mwanamke yupi?Kwani kila mwanamke aliyeko kwenye upatu na vikoba ana mwenza?
Azuma si zipo lakini auHaina haja ya kuwaua, mtakufa kwa UTI pro plus