Hili suala la wanawake kusaka hela ya mchezo ya kuchangishana ni Tatizo sana

Hili suala la wanawake kusaka hela ya mchezo ya kuchangishana ni Tatizo sana

Michezo/vicoba haina tatizo kabisa. Tatizo ni pale mtu anaingia huku hana chanzo cha mapato, anategemea hela ya kupewa
Hiyo michezo ni tatizo na hata hao wanaoendesha hiyo michezo na kutoa mikopo ya kausha damu wanajua kabisa hawana chanzo cha kipato. Hela itapatikana kwa kudanga.
 
Ikishafika jioni ni usumbufu tu mara nitumie 50k nadaiwa. Sasa unajiuliza huyu madeni yake yote huwa mida ya jioni kumbe ni mchezo. Kuna single mama moja namaliza kibingwa sababu ya hela za mchezo.
Haha
 
Hiyo michezo ni tatizo na hata hao wanaoendesha hiyo michezo na kutoa mikopo ya kausha damu wanajua kabisa hawana chanzo cha kipato. Hela itapatikana kwa kudanga.
Mkuu, heshima kitu cha bure. Unamaamisha watu wote wanaocheza michezo wanadanga? Sisi kazini kwetu tuna mchezo wa kila mwisho wa mwezi na wanaume waliomo ni wengi kuliko wanawake...kwa hiyo nao wanadanga?
 
Hata wanaofanya kazi pia wapo wanaotegemea hela ya marejesho waipate kutoka kwa mwanaume. Wanawake hela yenu mnaionea uchungu sana hata kuitumia kwa mahitaji yenu wenyewe. Ni suala gumu kwako kuelewa kwa sababu hizo hela za michezo hamuombani nyie kwa nyie.
 
Kama kawaida accountability inawashinda. Mkishafanya maamuzi mabovu lazima mtafute angle ya kurusha lawama kwa mwanaume
Nimemshangaa sana, nimewaza atakua anawaza kwa kutumia nn nimekosa majibu
 
Kiukwel mm huwa nawapelekea moto TU hakuna hela ya mwanaume italiwa Bure

Hyo financial freedom wanayoitafuta na sehemu zao za Siri tunazifumua haswaa

Unatafuta financial freedom kupitia makebo na matundu yote mawili

Utasikia mbele tsh kadhaa nyuma tsh kadhaa ila sijawah nakupa wewe tu
 
Mkuu hili Jambo Hadi umelileta hapa basi limekukera saana
 
Back
Top Bottom