britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
HakikaNina ushuhuda juu ya hili ..
But you canβt get all at onceI want money, the cars, the clothes, the hoes, I suppose
I just wanna be successful
NaamNa wanaume wanaumia na mute sema ndani ya ndoa sababu ya hili
π₯²
I am struggling broBut you canβt get all at once
Hayo yapo mpaka huko URUSI??Hiii sijui Kila siku laki ya mchezo inachangia Umalaya kwa wanawake
Udanganyifu kwa wenza wao kutokana na Pesa wanazopewa
Presha kwao na kwa wapenzi wao
Ni Bomu kubwa sana tupo na mtaona kwenye jamii
Britanicca
Hiii sijui Kila siku laki ya mchezo inachangia Umalaya kwa wanawake
Udanganyifu kwa wenza wao kutokana na Pesa wanazopewa
Presha kwao na kwa wapenzi wao
Ni Bomu kubwa sana tupo na mtaona kwenye jamii
Britanicca
Kwenye vikoba huko hatari wanakaribia kutupiku πMbona wanaume nao wanacheza sana michezo siku hizi.
Pia wanakabia kwa juu kwenye mchezo wa kutunzanaKwenye vikoba huko hatari wanakaribia kutupiku π