Hili swali kutoka kwa wanawake huwa limekaa kimtego Sana

Ok
 
Me npo kundi la mwisho hapo
 
Hivi unajua mtu hata kama alikuwa ana nia njema ukishaanza za 'what do you doing for a living' unamkata stimu..!?

Bro Evelyn Salt ana ukauzu wake flani ukimuiga unapotea nakuambia,

kheeeh' bibi shamba nikaachwa kwenye mataa na matikiti yangu huko Bagamoyo..!!😂😂
 
Bima ya mahusiano ni muhimu 😂😂😂 hutaki kusema kazi yako nenda bana aaah
 
Kipindi enzi hizo nilivyokuwa mhuni na kibaka hilo swali nilikua nalipenda sna, lilikua linanipa urahisi mno kwenye kazi yangu ya uhuni na ukibaka ,sasa nafikiri akili nimekua mno tofauti na kipindi hicho.
 
Mbona hilo la kawaida, kuna moja unsulizwa kwa mahutiano yetu mwisho wake ni nn?

Yani watu ambao mnapenda kona kona mnashangaza kweli.

Kuna ajabu gani mtu kujua lengo la mnachoanzisha???

Ofcourse, hakuna mahusiano yanaanza yakiwa na guarantee ya kufika mbali hukoo, but knowing kuna potential for that makes a lot of difference. Hamna haja yakupotezeana muda wala mmoja kuwa na expectations ambazo zinaweza kuleta makwazo/usumbufu baadae.
 
Mimi ni mweka hazina Pale BOT
 
Sema wengi huwa wanna pigo za kihuni anaakuliza hivyo ili aanze kukupiga vizinga kisawa sawa
 
Ukiweza Afford kujipatia mahitaji yako binafsi kwa 90%
Kula
Kuvaa
Kulipa bills ZOTE including house'rent ,electricity,water, and etc.

Then ukawa unasapoti Community kwa level yoyote including with ur FAMILY.

Ukiweza haya mambo hata mwanamke akikuuliza ukamjibu Mimi boda boda au mwalimu wa primary lazima atajua MAISHA yapo.

Hii ni kwa mwanamke au mwanaume assurance inaongeza ukaribu Sana.
 
Akiniuliza hivo mwanamke, nitamuuliza iwapo ATASHUGHULIKA NA KAZI YANGU,
We ukiulizwa unafanya kazi gani muulize unataka nigawie mshahara huku una tabasamu...🙂
Namjib please, deal with me, not my occupation, basi..
 
Upo sahihi Kbsa mkuu
 
Sema wengi huwa wanna pigo za kihuni anaakuliza hivyo ili aanze kukupiga vizinga kisawa sawa
Ni imani tu mmejiwekea.

Binafsi nikikutana na mtu aka-catch interest yangu (generally, that is), lazima ntamuuliza kwasababu ni sehemu ya kujua aina ya mtu nnaezungumza nae. Kwahiyo huwa nauliza, na naulizwa sana hata kwenye convo ya kwanza kabisa. Wala sijawahi kuchukulia vibaya kana kwamba huyo mtu ananichunguza zaidi ya vile inapaswa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…