Hili swali kutoka kwa wanawake huwa limekaa kimtego Sana

Binafsi siulizi, ila sioni tatizo mtu kuuliza au kuniuliza!

Ni part ya kufahamiana, mi naweza nisiulize ila eventually nitafahamu tu.
 
Sasa pana mtego gani hapo Mkuu?
Mbona swali la kawaida sana aiseeh! Mnafanya kumtongoza mwanamke lionekane jambo ziiiito.
Kumbe ni simple like that na wengine hawana mpango hata wa kujua hizo kazi zenu.
Relax
Kutongoza ni sanaa.
 
Napambana! πŸ˜…πŸ˜…

Napopambania huwa silipwi na hata nikilipwa huwa wanachelewa sana, na ikinifikia yote inaishia kwenye πŸ₯‚
Hongera sana,nipe pesa rafiki ili nimpatie mchumba asipate nguvu ya kuniuliza kazi gani nafanya.
 
Ninachojishughulisha nacho ni private hivyo haipaswi kuwa openly kila stranger... Hadi tujuane na nikuamini kwamba unafaa kuwa msiri wangu, By the way ushaniudhi kwani unauzaje?
 
Sasa mbona hiyo mifano yako hao watu kazi zao hazina maokoto ya maana!
 
Kwanza kabisa hilo swali lina kera sana, lina punguza nguvu ya muendelezo wa kutongoza, hata kama mwanaume ulikuwa na lengo la kuchukua kabisa jiko mpango una badilika hapo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…