Hili swali lina nitafakarisha sana?

Hili swali lina nitafakarisha sana?

Hovering

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2018
Posts
275
Reaction score
912
Wadau salaam.

Naamua mpo safii kabisa, kwa wenye changamoto basi ni dua zangu Mungu akufanyie wepesi.

Kabla sijaingia katika mahusiano swali langu kichwani lilikua " hivi hawa watu wanaitana wapenzi, nini wanaenjoy na vipi wana feel kufuatana fuatana....!?!?!"

Sikupata jawabu zaidi ya kuona ni kupotezeana time na umakini wa kupambana na maisha.

Muda umeenda huku na huku nimejipata ndani penzi zito. Mind you ni serious relationship nikiwa na utimamu wa akili kama ilivokua awali kabla sijajiingiza huko.
Jinsi nimeishi na kuintertain mapenzi nikajipata narudia swali lilelile lakini katika muktadha wa tofauti kidogo. " Hivi hawa watu wanaoishi Single yani bila mpenzi wanaishi je?!? " Hapa nikasahau kama nilikua naona mapenzi ni upumbavu wa kupotozeana time tu na focus.

Hii issue ya kujiuliza Hivi kundi flani linaishije katika mazingira flani inafanya wakati flani nicheke huku nikitafakari nini hasa huwa sikielewi katika hali zote mbili.

Wadau Imekaaje hii...?
 
Binafsi siamini kama mtu anaweza kuishi single, dunia ilivyo na raha mkiwa wawili-wawili unakubali vipi kuishi single?

Sema nilisahau, wapo wale wanagonga(ngwa) na yoyote so sijui tuseme wapo single au nivipi.
 
Daaah,,,, aseee 😅😅😅 shida napenda wanawake wengi sijui nimchague nani aseee 😎😎😎😎
Kumbe hauko single wewe,kitanzi kimekupita....yaani wewe ni mzee kifimbocheza
 
Binafsi siamini kama mtu anaweza kuishi single, dunia ilivyo na raha mkiwa wawili-wawili unakubali vipi kuishi single?

Sema nilisahau, wapo wale wanagonga(ngwa) na yoyote so sijui tuseme wapo single au nivipi.
Hao wanaogongagonga ni vifimbocheza
Wanao(ngwa)ni vitenesi-jumping no position....
 
Back
Top Bottom