Hili swali lina nitafakarisha sana?

Hili swali lina nitafakarisha sana?

Nikweli kabisa
Ukiwa masikini huna chochote kapuku unajiuliza : hivi hawa matajiri Ina maana wanaishi kwenye mansion za Pesa mingi km hii

Ukiwa Tajiri umejaza bank a/c za kila bank na biashara kibao unajiuliza : hivi hawa masikini wanaishije kwenye nyumba za kupanga hawafikirii kujenga ?

Mtazamo tu usijenge chuki
 
Binafsi siamini kama mtu anaweza kuishi single, dunia ilivyo na raha mkiwa wawili-wawili unakubali vipi kuishi single?

Sema nilisahau, wapo wale wanagonga(ngwa) na yoyote so sijui tuseme wapo single au nivipi.
Mdau we umekua una mpenzi tangu unazaliwa.
 
Ni kawaida kujiuliza hivo vijiswali...mtu anapopata kitu huwashangaa wasionacho,mimi nikiwa kwenye gari nawashangaa watembea kwa mguu,nikipata siti kwenye daladala nawashangaa waliosimama,nikila kuku nawashanga waliokula mihogo,nikivaa nguo mpya nashangaa waliovaa kukuu so that is life alienacho anamshanga asiyenacho.
Kabisa, naiona point yako.
 
Watu mfano wa mtoa mada Mara nyingi Ni madomo zege na huwa wanajichukulia Sheria mkknoni
 
Mkuu tuambie ulimuona nani na wapi amejichukulia sheria mkononi?
😅 😅 😅
 
Back
Top Bottom