Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Kwa hiyo Wana kazi yao special?Masingo waendelee kuwepo Kwa jinsia zote,,huwaga wanachangamsha tulio ndoani na kwenye uchumba na uchumba sugu,,,Masingo wawe wanalipwa kazi wanayoifanya ni kubwa mnoo!!