Hili swali lina nitafakarisha sana?

Swali lako ni kuhusu watu walio single wanaishije? Au

Watu waliopo kwenye mahusiano wanaishije? 🤔
Hapana mdau, kama umenielewa vyema namanisha....kwanini nijiuliza maswali ya kushangaa watu kabla na baada ya kuingia kwenye mahusiano.
 
🤷🤷🤷🤷 Ni one among basic needs
Homie gal,kuchanika kwa jamvi sio mwisho wa maongezi 🤸🤸🤸🤸
😀😀😀nakwambia utakuja tu kuwa single ntakutesa km hivi
 
Masingo waendelee kuwepo Kwa jinsia zote,,huwaga wanachangamsha tulio ndoani na kwenye uchumba na uchumba sugu,,,Masingo wawe wanalipwa kazi wanayoifanya ni kubwa mnoo!!
Nakazia, masingo wanasaidia kuimarisha ndoa😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…