Hili swali lina nitafakarisha sana?

Masingo waendelee kuwepo Kwa jinsia zote,,huwaga wanachangamsha tulio ndoani na kwenye uchumba na uchumba sugu,,,Masingo wawe wanalipwa kazi wanayoifanya ni kubwa mnoo!!
Kwa hiyo Wana kazi yao special?
 
Uje kuomba ushauri badae mpuuzi wewe
sasa hivi badala ukae na mapenzi yako huko we uko busy kuandika huku.
Ye anajua unachat na madem wengine .
 
Ni ajabu mtu anajitangaza yupo single ila bado ana mtu wa kulala nae.

Kwa maana nyingine kuwa single ni uhuni na umalaya Malaya... Single tu waachie wanaojielewa na wanaojua kutunza miili yao.

Mtu anapiga show kila week na bado anajiita single?!!!!
 
Masingle wa siku hizi wako kwenye mahusiano yasiyo rasmi.
 
Masingle wa siku hizi wako kwenye mahusiano yasiyo rasmi.
Sasa hiyo Sio Single..

Ni complicated relationship... Ambayo mtu haujakaa Kwa kutulia..

Wahuni ndio wanaojiita singles
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…