Hili swali lina nitafakarisha sana?

Ni kawaida kujiuliza hivo vijiswali...mtu anapopata kitu huwashangaa wasionacho,mimi nikiwa kwenye gari nawashangaa watembea kwa mguu,nikipata siti kwenye daladala nawashangaa waliosimama,nikila kuku nawashanga waliokula mihogo,nikivaa nguo mpya nashangaa waliovaa kukuu so that is life alienacho anamshanga asiyenacho.
 
Masingo waendelee kuwepo Kwa jinsia zote,,huwaga wanachangamsha tulio ndoani na kwenye uchumba na uchumba sugu,,,Masingo wawe wanalipwa kazi wanayoifanya ni kubwa mnoo!!
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Uwe single au uwe double , at the end of the day kila kitu ni ubatili kwa mujibu wa Suleiman [emoji848]
 
Daah umesema kweli,hujaona abiria alikaa kwenye newforce anavyo kuangalia wa chini kwa mshangao,achana Sasa na abiria kwenye daladala ya tegeta nyuki -ferry aliyepata siti hataki hata umguse kidogo wewe uliyesimama๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃYaani utasema ndio wameyapatia maisha moja kwa moja
 
Uwe single au uwe double , at the end of the day kila kitu ni ubatili kwa mujibu wa Suleiman [emoji848]
Usidanganyike,,mwenzio alishakula mema ya nchi ,alikuwa na wake 1000,,,hayo kayasema baada ya kumaliza starehe............ishi kwanza Maisha yako baadae utoe mrejesho๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Kabisaa yani...sijui kwanini inakuwa hivi [emoji28][emoji28]
 
Usidanganyike,,mwenzio alishakula mema ya nchi ,alikuwa na wake 1000,,,hayo kayasema baada ya kumaliza starehe............ishi kwanza Maisha yako baadae utoe mrejesho[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nakazia [emoji3578][emoji3578]
 
Kwahio umeamua kututambulisha mpenzi wako mpya Aya weka picha na namba za simu tumsalimie shemeji
 
Hii issue ya kujiuliza Hivi kundi flani linaishije katika mazingira flani inafanya wakati flani nicheke huku nikitafakari nini hasa huwa sikielewi katika hali zote mbili.
Ukiwa masikini huna chochote kapuku unajiuliza : hivi hawa matajiri Ina maana wanaishi kwenye mansion za Pesa mingi km hii

Ukiwa Tajiri umejaza bank a/c za kila bank na biashara kibao unajiuliza : hivi hawa masikini wanaishije kwenye nyumba za kupanga hawafikirii kujenga ?

Mtazamo tu usijenge chuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ