Hiyo so kukimbia Ni reatreat kurudi nyuma kujipanga kivitaHatari sana, kwa hiyo kwa wale walioko vitani na wakazidiwa na kukimbia, kwao inakuwaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo so kukimbia Ni reatreat kurudi nyuma kujipanga kivitaHatari sana, kwa hiyo kwa wale walioko vitani na wakazidiwa na kukimbia, kwao inakuwaje?
Ila walio kwenye kazi za kiraia wapo pale kwasababu ya ..........ha ha ha wengine wako kule kutokana na changamoto za ajira
ThubutuuuuuuIla kwa nchi kama yetu mwanajeshi ni full bata ndo maana wengi wanakimbilia. Unaweza staafu hujawahi kimbiza hata mwizi. Idumu amani yetu.
Sijuh ulikuwa una waza nini.?Nimejaribu kufikiria hivyo, baada ya kuona picha za wanajeshi walio-uwawa huko kwenye vita ya Ukraine na Urusi.
Naona vijana wameangamia, huku wakiwa wameacha tegemezi, watoto, wake n.k; huku wanaofanya maamuzi wakiwa ofisini wakipulizwa viyoyozi.
Inawezekana, wakuu? Uhai kwanza, mengine baadaye.
Una retreat peke yako ...Hiyo so kukimbia Ni reatreat kurudi nyuma kujipanga kivita
Nimejaribu kufikiria hivyo, baada ya kuona picha za wanajeshi walio-uwawa huko kwenye vita ya Ukraine na Urusi.
Naona vijana wameangamia, huku wakiwa wameacha tegemezi, watoto, wake n.k; huku wanaofanya maamuzi wakiwa ofisini wakipulizwa viyoyozi.
Inawezekana, wakuu? Uhai kwanza, mengine baadaye.
Nitakubali kwenda vitani endapo kama kweli Vita husika ni Vita ya HAKI, lakini Kamwe siwezi kukubali kwenda vitani endapo kama najua wazi kabisa kwamba VIta husika siyo vita ya HAKI hata kidogo.Unajua adhabu ya deserters? Kifo!
Ni nani huyo aliekudanganya askari si raia? Askari ni raia kama wengine but yeye ana mafunzo ya kijeshi na uvumilivu wa Kila hali.Kwanza ujue mwanajeshi si raia ila raia anaweza kuwa mwanajeshi na si kila raia anaweza kufuzu kuwa mwanajeshi. Inachukua mafunzo ya kipekee sana kumbadirisha raia kuwa mwanajeshi. Swali lako umeuliza kiraia ndiomana unashangaa inakuwaje amri inapotoka wanajeshi wanatii bila kupinga.
Just know that It takes special trainings to turn a civilian to be a SOLDIER and once a soldier will always be a soldier.
Tofautisha mission za kulinda amani waendapo wabongo kama huko Lebanon, na Congo .Wanaweza kabisa. Kama Lebanon wanagombania, Ukraine watashindwa?
Inabidi kwanza umueleweshe maana ya mwanajeshi asidhani ni kuvaa gwanda tuWewe siyo mwanajeshi ndiyo maana
Wenzako wanalilia kwenda vitani hao wewe unasema kujiuzulu
Kwa vita zinazoendelea sasa unaweza kutupa mfano ipi haki na ipi si hakiNitakubali kwenda vitani endapo kama kweli Vita husika ni Vita ya HAKI, lakini Kamwe siwezi kukubali kwenda vitani endapo kama najua wazi kabisa kwamba VIta husika siyo vita ya HAKI hata kidogo.
VIta ya Haki daima Wapiganaji huwa wanakuwa na Morali (Hamasa) ya kwenda kupigana vitani, lakini Vita isiyokuwa ya Haki daima Wapiganaji huwa wanakuwa HAWANA Morali (Hamasa) ya kupigana vitani.
"Yes, we need war. But not fracass war."
Barack Obama.
Mwanajeshi sio raiaNi nani huyo aliekudanganya askari si raia? Askari ni raia kama wengine but yeye ana mafunzo ya kijeshi na uvumilivu wa Kila hali.
Kwa maana ya sentensi yako ni kwamba hata mwalimu so raia kwasababu ya kazi yake!
Wazi?
Wanajeshi sio raia kwa maana wana majukumu na wajibu tofauti katika jamii, ndio maana wanatofautishwa.Ni nani huyo aliekudanganya askari si raia? Askari ni raia kama wengine but yeye ana mafunzo ya kijeshi na uvumilivu wa Kila hali.
Kwa maana ya sentensi yako ni kwamba hata mwalimu so raia kwasababu ya kazi yake!
Wazi?
Congo peace keeping ilimalizika mwaka Jana mwanzoni baada ya vikosi vya UN kuondolewa sahizi ni mapigano tu.Tofautisha mission za kulinda amani waendapo wabongo kama huko Lebanon, na Congo .
Ukraine Kuna operation za kivita.
Huko Lebanon Israel wakipiga kambi yenu ya UN peace keeping officers hakuna kujibu mnakaa kimya na mnasuburi UN walaani kama ilivyotokea mwezi wa 11 Kule Lebanon.
Nb hata ukiwa kamanda usililie vita, vita si lelemama nimekuwa nikiona na kufuatilia vita ya Ukraine hali ni mbaya makamanda wanalia bila haya.
Congo huko vijana wanakamatwa vijiweni waingizwe jeshini yaani unakamatwa ili uende ukalipwe mshahara.Ila kwa nchi kama yetu mwanajeshi ni full bata ndo maana wengi wanakimbilia. Unaweza staafu hujawahi kimbiza hata mwizi. Idumu amani yetu.
Maelezo yako haya kwa kiasi kikubwa Sana yamejikita katika Sheria, Kanuni, taratibu pamoja na tamaduni zilizopo Tanzania, lakini hayajihusisha kwa undani na masuala mtambuka ya kijeshi katika Mazingira ya kidunia kwa ujumla wake. Aidha, ukienda kwenye nchi zingine hali ipo tofauti kidogo na hivyo ulivyoeleza.Wanajeshi sio raia kwa maana wana majukumu na wajibu tofauti katika jamii, ndio maana wanatofautishwa.
1. Majukumu na Wajibu:
2. Sheria za nchi
- Wanajeshi: Jukumu lao kuu ni kuhudumu katika vikosi vya ulinzi ambavyo direct huhusisha mapigano, operesheni za kijeshi, na kulinda usalama wa taifa.
- Raia: Hata wakifanya kazi kwenye vikosi vya ulinzi hufanya kazi zisizo za kijeshi na shughuli zinazochangia utendaji wa kawaida tu kijamii.
3. Mafunzo na Ujuzi:
- Wanajeshi: Wao huendeshwa na sheria za kijeshi na kanuni za maadili, ambazo huongoza tabia zao ndani na nje ya kazi isipokuwa kwa baadhi ya makosa ya Jinai Kama Mauaji nje ya kazi, kubaka ila makosa mengine huwa wanahukumiwa na mahakama zao za kijeshi na wana polisi wao Kabisa.(KASOME NATIONAL DEFENCE ACT)
- Raia: Wao huendeshwa na sheria za kiraia na kanuni zinazotumika kwa watu wote.
4. Haki na Ulinzi:
- Wanajeshi: Hupata mafunzo maalum ya kijeshi ili kupata ujuzi katika mapigano, utunzaji wa silaha, mikakati, na maeneo mengine yanayohusiana na kijeshi mafunzo yao na mitaala ni Siri. Ndio maana vyuo na shule zao mitaala ya mafunzo ya kijeshi haisimamiwi na Nacte,necta wala Tcu pia hawaruhusu mtu mwenye kasoro yeyote hata mlemavu wa ngozi kuhudhuria mafunzo lakini Huwezi kuona haki za binadamu wakiingilia maana wale sio raia
- Raia: Wanamiliki ujuzi na utaalamu mbalimbali kuhusiana na kazi zao na maisha ya kila siku, ambayo yanaweza yasijumuishe mafunzo ya kijeshi na mtu yeyote anaweza kusoma,hakuna Siri
5. Ushiriki katika Mapigano:
- Wanajeshi: Ingawa wanajeshi wana haki, haki zao zinaweza kuwa na mipaka katika hali fulani kutokana na mahitaji ya kijeshi na mahitaji ya operesheni.
- Raia: Wao hupewa ulinzi mpana chini ya sheria za kiraia na sheria za kimataifa za kibinadamu, hasa wakati wa migogoro ya silaha.(google kitu kinaitwa mikataba ya Geneva iko mitatu au minne Kama sikosei)
- Wanajeshi: Wao wameidhinishwa kushiriki katika mapigano na kushiriki katika vitendo vya vita kama sehemu ya majukumu yao ya kawaida.
- Raia: Kwa ujumla wamekatazwa kushiriki moja kwa moja katika mapigano. Sheria ya kimataifa ya kibinadamu inapambana mno kulinda raia dhidi ya ushiriki na athari za vita.