Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
- Thread starter
-
- #81
Ukinichukia mimi kwamba nitakuwa masikini kama ukoo wenu?Wewe ni kobazi tushakugundua.
Kwanza mnaposema "kafiri" tayari nikuonesha chuki na ubaguzi dhidi ya watu ambao sio wa dini yenu.
Nikichukie wewe kwa lili mama???Ukinichukia mimi kwamba nitakuwa masikini kama ukoo wenu?
Tuache hoja zisizo faa Kila mmoja abaki na msimamo wa dini anayo amini Kwa maana wapo wanao abudu ng'ombe na kuku 🤔🤔Watu mna gombana kisa dini zilizo kuja kwa mitumbwi na boti??.
Haya nyie waislamu, nasikia ukifa una pewa mabikra 72- vipi wake, mama na dada zetu nao wata pewa vijeba 72 kila mmoja??
Haya na nyie wakristo, mnao sema yesu ni Mungu, vipi alipo kufa Dunia ili baki na nani??.
au alipo sema baba uni epushe na kikombe hiki, alikuwa ana igiza ehh 🤔
Endelea na umasikini wa kwenu huko achana na mimi!Nikichukie wewe kwa lili mama???
Haf ukoo wenu Kama ni maskini sio wote ni maskini sisi tunajiweza sio nyie mnaoleta lawama hapa jukwaani,sawa mama??
Umasikini upi wewe pimbi??, au unataka nije kutoa msaada kwenu??Endelea na umasikini wa kwenu huko achana na mimi!
Ukweli mchungu ni kwamba waislam pamoja na dini yetu tuna chukiwa sana hili lipo wazi sana sijajua kama ndio mafunzo wanayopewa huko chachi ama ni mafunzo maalum ila waendelee tu na chuki zao lakini waislam tupo sana na tutaendelea kuwepo sanaaa
Udini upo sana tumshukuru mwalimu Nyerere na waasisi wengine walijitahidi kuondoa udini na ukabila kwenye hili taifaKuhusu ukabila hilo halipingiki kweli hii nchi ina ukabila sana bila kupepesa macho lazima ukweli usemwe hili ni jukwaa huru japo sio kwa kiwango hicho ila kwa ground ukabila upo sana na hivi kuna mtu ana dharau kumshinda Mtanzania? Ila wanaishi kwa unafiki sana kwenye kiza cha uoga na unafiki
Kusema za ukweli udini umeshamiri sana na inakoelekea huko kutakuwa na hali mbaya sana sijui ninyi wenzangu kwenye majumba yenu ya ibada mnafundishwa dini na haina imani yoyote ile inayofundisha watu wachukiane sasa ninyi hizi chuki zinatoka wapi?ndipo tulipofikia hapa ndiyo tokea uhuru hii nchi ilikuwa na udini ila chini chini sana ila sasa unadhihirika kabisa kwa mfano jukwaani ambae ni muislamu akitokea kuisema vizuri dini yake basi atatokea mtu kutoka upande wa pili na kuikashifu dini ya kiislamu pasipo aibu ila vivyo hivyo kwa wakristo tuliofikia tunapaswa kujithamimi kama taifa this is too much.
Ukisikiliza mihadhara 90% ni mafundisho za kulombana,chuki dhidi ya wasio waislamu na nguruwe.Ukweli mchungu ni kwamba waislam pamoja na dini yetu tuna chukiwa sana hili lipo wazi sana sijajua kama ndio mafunzo wanayopewa huko chachi ama ni mafunzo maalum ila waendelee tu na chuki zao lakini waislam tupo sana na tutaendelea kuwepo sanaaa
Baba yako na mama yako bila kulombana wewe ungepatikana? Halafu umeweka avatar ya mwanaume mwenzio hapo au wewe ni upinde?Ukisikiliza mihadhara 90% ni mafundisho za kulombana,chuki dhidi ya wasio waislamu na nguruwe.
Hata katika kurwan imeandikwa adui wa muislam ni myahudi na mkristo.
Are you unconscious???.Hii inaonyesha wenzetu wakristo hawana cha maana kwenye dini yao ndio mana hawaangaiki na dini yao.
Ila wanawaonea wivu waislamu ambao ndio wanaofuata dini yao kwa vitendo. Hiyo ni chuki na wivu
sasa jiulize kuswali naswali mimi, kufunga ramadhani nafunga mimi, hijabu navaa mimi, wewe unaumia kwa nini?
Wakristo wanampenda yule muislamu asiyeswali tu, na yule anayekunywa pombe kama wao na yule asiyevaa hijabu kama wao..
KUFENI NA UCHUNGU WENU NA TUTAONGEZA KUIFUATA DINI YETU ILI MUENDELEE KUUMIA ZAIDI
Nyie mna dini basi hata hailewekiAre you unconscious???.
Nani anawivu au chuki na nyie???
Huwa mkifunga hio ramadhan mnakuwa hamtaki kuona wakristo Wanakula chakula hadharani,je hizo sio chuki na wivu kwa sisi wakristo???.
#fikilisha akili yako
Kuhusu ukabila hilo halipingiki kweli hii nchi ina ukabila sana bila kupepesa macho lazima ukweli usemwe hili ni jukwaa huru japo sio kwa kiwango hicho ila kwa ground ukabila upo sana na hivi kuna mtu ana dharau kumshinda Mtanzania? Ila wanaishi kwa unafiki sana kwenye kiza cha uoga na unafiki
Kusema za ukweli udini umeshamiri sana na inakoelekea huko kutakuwa na hali mbaya sana sijui ninyi wenzangu kwenye majumba yenu ya ibada mnafundishwa dini na haina imani yoyote ile inayofundisha watu wachukiane sasa ninyi hizi chuki zinatoka wapi?
Ndipo tulipofikia hapa ndiyo tokea uhuru hii nchi ilikuwa na udini ila chini chini sana ila sasa unadhihirika kabisa kwa mfano jukwaani ambae ni muislamu akitokea kuisema vizuri dini yake basi atatokea mtu kutoka upande wa pili na kuikashifu dini ya kiislamu pasipo aibu ila vivyo hivyo kwa wakristo tuliofikia tunapaswa kujithamimi kama taifa this is too much.
Nijibu swali languNyie mna dini basi hata haileweki
Ibada kila kanisa na ibada ya aina yake
Kufunga hamfungi, mavazi ndio balaa, dini isiyo na makatazo kila mtu anafanya anavyoona inafaa..
Sasa mkiona waislamu dini yao imenyooka kuanzia ibada, mavazi, kufunga n.k roho zinawakereketa kweli.
Muislamu anayependwa na nyie ni yule asiyefuata dini.