Hili taifa lina safari ndefu sana. Udini unakuja kwa kasi sana!

Hili taifa lina safari ndefu sana. Udini unakuja kwa kasi sana!

Wewe ni kobazi tushakugundua.
Kwanza mnaposema "kafiri" tayari nikuonesha chuki na ubaguzi dhidi ya watu ambao sio wa dini yenu.
Ukinichukia mimi kwamba nitakuwa masikini kama ukoo wenu?
 
Ukinichukia mimi kwamba nitakuwa masikini kama ukoo wenu?
Nikichukie wewe kwa lili mama???
Haf ukoo wenu Kama ni maskini sio wote ni maskini sisi tunajiweza sio nyie mnaoleta lawama hapa jukwaani,sawa mama??
 
Watu mna gombana kisa dini zilizo kuja kwa mitumbwi na boti??.

Haya nyie waislamu, nasikia ukifa una pewa mabikra 72- vipi wake, mama na dada zetu nao wata pewa vijeba 72 kila mmoja??

Haya na nyie wakristo, mnao sema yesu ni Mungu, vipi alipo kufa Dunia ili baki na nani??.
au alipo sema baba uni epushe na kikombe hiki, alikuwa ana igiza ehh 🤔
Tuache hoja zisizo faa Kila mmoja abaki na msimamo wa dini anayo amini Kwa maana wapo wanao abudu ng'ombe na kuku 🤔🤔
 
Nikichukie wewe kwa lili mama???
Haf ukoo wenu Kama ni maskini sio wote ni maskini sisi tunajiweza sio nyie mnaoleta lawama hapa jukwaani,sawa mama??
Endelea na umasikini wa kwenu huko achana na mimi!
 
Ukweli mchungu ni kwamba waislam pamoja na dini yetu tuna chukiwa sana hili lipo wazi sana sijajua kama ndio mafunzo wanayopewa huko chachi ama ni mafunzo maalum ila waendelee tu na chuki zao lakini waislam tupo sana na tutaendelea kuwepo sanaaa

ni kweli kabisa wewe angalia humu JF kila siku kuna nyuzi 2-3 zinahusu Uislamu au Waislamu. Na katika hizo nyuzi ajenda kubwa ni kukashifu dini yetu. Sijui hawa wenzetu wanawashwa na nini?

Ajabu ni kwamba sisi waislamu hatuna time na dini yao lakini wao kutwa kuchwa wapo busy na dini yetu
 
U
Kuhusu ukabila hilo halipingiki kweli hii nchi ina ukabila sana bila kupepesa macho lazima ukweli usemwe hili ni jukwaa huru japo sio kwa kiwango hicho ila kwa ground ukabila upo sana na hivi kuna mtu ana dharau kumshinda Mtanzania? Ila wanaishi kwa unafiki sana kwenye kiza cha uoga na unafiki

Kusema za ukweli udini umeshamiri sana na inakoelekea huko kutakuwa na hali mbaya sana sijui ninyi wenzangu kwenye majumba yenu ya ibada mnafundishwa dini na haina imani yoyote ile inayofundisha watu wachukiane sasa ninyi hizi chuki zinatoka wapi?ndipo tulipofikia hapa ndiyo tokea uhuru hii nchi ilikuwa na udini ila chini chini sana ila sasa unadhihirika kabisa kwa mfano jukwaani ambae ni muislamu akitokea kuisema vizuri dini yake basi atatokea mtu kutoka upande wa pili na kuikashifu dini ya kiislamu pasipo aibu ila vivyo hivyo kwa wakristo tuliofikia tunapaswa kujithamimi kama taifa this is too much.
Udini upo sana tumshukuru mwalimu Nyerere na waasisi wengine walijitahidi kuondoa udini na ukabila kwenye hili taifa
 
Kanisani wanafundisha Upendo na kuambiwa wawapeleke watu Kwa Yesu, hakuna kulazima unamhubilia mtu mpaka anakubali mwenyewe, sio ugomvi, na mtu akihama hapigwi magongo anaombewa mema tu.
 
Hii inaonyesha wenzetu wakristo hawana cha maana kwenye dini yao ndio mana hawaangaiki na dini yao.

Ila wanawaonea wivu waislamu ambao ndio wanaofuata dini yao kwa vitendo. Hiyo ni chuki na wivu

sasa jiulize kuswali naswali mimi, kufunga ramadhani nafunga mimi, hijabu navaa mimi, wewe unaumia kwa nini?

Wakristo wanampenda yule muislamu asiyeswali tu, na yule anayekunywa pombe kama wao na yule asiyevaa hijabu kama wao..

KUFENI NA UCHUNGU WENU NA TUTAONGEZA KUIFUATA DINI YETU ILI MUENDELEE KUUMIA ZAIDI
 
hakuna nchi duniani yenye utulivu na amani ka Tanzania. Wasio itakia mema Tanzania wanaumia sana kuona jinsi waTz wanavyo ishi kwa Amani na furaha. Mfano Mdogo wangu ni mkristu kamuoa binti wa kislamu na maisha yanaendelea bila wasi, hayo ndio maisha yetu,
Angalia waziri Mkuu kamuoa mkristu na maisha yanaendelea, hii ndio TZ, hatuna tabia ya kubaguana wala kuchukiana.
Kamwe tusikubali kuigiziwa chuki ambazo zitatugawa, tusikubali kugawanywa na maadui wasio itakia mema Nchi yetu.
Tuendelee kupendana na kushirikiana. Tuendelee kuungana kuliko jana, Sisi sote tuna taifa moja tu nalo ni Tanzania. Tanzania itajengwa na waislamu, wakeistu na wasio na dini......hivyo tushirikiane kwa pamoja, hakuna mwenye haki zaidi kumzidi mwengine, sote ni WA Tanzania.
Mungu ibariki Tanzania. Wabaya na wenye wivu wafe.
 
Ukweli mchungu ni kwamba waislam pamoja na dini yetu tuna chukiwa sana hili lipo wazi sana sijajua kama ndio mafunzo wanayopewa huko chachi ama ni mafunzo maalum ila waendelee tu na chuki zao lakini waislam tupo sana na tutaendelea kuwepo sanaaa
Ukisikiliza mihadhara 90% ni mafundisho za kulombana,chuki dhidi ya wasio waislamu na nguruwe.

Hata katika kurwan imeandikwa adui wa muislam ni myahudi na mkristo.
 
Ukisikiliza mihadhara 90% ni mafundisho za kulombana,chuki dhidi ya wasio waislamu na nguruwe.

Hata katika kurwan imeandikwa adui wa muislam ni myahudi na mkristo.
Baba yako na mama yako bila kulombana wewe ungepatikana? Halafu umeweka avatar ya mwanaume mwenzio hapo au wewe ni upinde?
 
Hii inaonyesha wenzetu wakristo hawana cha maana kwenye dini yao ndio mana hawaangaiki na dini yao.

Ila wanawaonea wivu waislamu ambao ndio wanaofuata dini yao kwa vitendo. Hiyo ni chuki na wivu

sasa jiulize kuswali naswali mimi, kufunga ramadhani nafunga mimi, hijabu navaa mimi, wewe unaumia kwa nini?

Wakristo wanampenda yule muislamu asiyeswali tu, na yule anayekunywa pombe kama wao na yule asiyevaa hijabu kama wao..

KUFENI NA UCHUNGU WENU NA TUTAONGEZA KUIFUATA DINI YETU ILI MUENDELEE KUUMIA ZAIDI
Are you unconscious???.
Nani anawivu au chuki na nyie???

Huwa mkifunga hio ramadhan mnakuwa hamtaki kuona wakristo Wanakula chakula hadharani,je hizo sio chuki na wivu kwa sisi wakristo???.

#fikilisha akili yako
 
Nyie mna dini basi hata haileweki
Ibada kila kanisa na ibada ya aina yake
Kufunga hamfungi, mavazi ndio balaa, dini isiyo na makatazo kila mtu anafanya anavyoona inafaa..
Sasa mkiona waislamu dini yao imenyooka kuanzia ibada, mavazi, kufunga n.k roho zinawakereketa kweli.

Muislamu anayependwa na nyie ni yule asiyefuata dini.
 
Huo udini na ukabila upo Kichwani kwako tu. Nje ya hapo hau exist
Kuhusu ukabila hilo halipingiki kweli hii nchi ina ukabila sana bila kupepesa macho lazima ukweli usemwe hili ni jukwaa huru japo sio kwa kiwango hicho ila kwa ground ukabila upo sana na hivi kuna mtu ana dharau kumshinda Mtanzania? Ila wanaishi kwa unafiki sana kwenye kiza cha uoga na unafiki

Kusema za ukweli udini umeshamiri sana na inakoelekea huko kutakuwa na hali mbaya sana sijui ninyi wenzangu kwenye majumba yenu ya ibada mnafundishwa dini na haina imani yoyote ile inayofundisha watu wachukiane sasa ninyi hizi chuki zinatoka wapi?

Ndipo tulipofikia hapa ndiyo tokea uhuru hii nchi ilikuwa na udini ila chini chini sana ila sasa unadhihirika kabisa kwa mfano jukwaani ambae ni muislamu akitokea kuisema vizuri dini yake basi atatokea mtu kutoka upande wa pili na kuikashifu dini ya kiislamu pasipo aibu ila vivyo hivyo kwa wakristo tuliofikia tunapaswa kujithamimi kama taifa this is too much.
 
Nyie mna dini basi hata haileweki
Ibada kila kanisa na ibada ya aina yake
Kufunga hamfungi, mavazi ndio balaa, dini isiyo na makatazo kila mtu anafanya anavyoona inafaa..
Sasa mkiona waislamu dini yao imenyooka kuanzia ibada, mavazi, kufunga n.k roho zinawakereketa kweli.

Muislamu anayependwa na nyie ni yule asiyefuata dini.
Nijibu swali langu

Mbona mkifunga ramadhan mnachukia kuona wakristo Wanakula chakula?
 
Back
Top Bottom