Ni nchi gani duniani unayoijua wewe ambayo ina uwezo wa kumuwekea vikwazo Marekani?
- Urusi ameshawekewa vikwazo
Iran ameshawekewa vikwazo
- China ameshawekewa vikwazo, tena aliambiwa usithubutu kuigusa Taiwan. Akatulia
- North Korea ameshawekea vikwazo
*Urusi alipovamia Ukraine Marekani alienda Ukraine, Vita ilithitishwa. Akatoa msaada wa silaha
*Israel anaichapa Gaza, Marekani kapeleka meli, wanajeshi na ndege. Hakuna nchi yoyote iliyotia pua Gaza au Israel. Iran, Uturuki, Misri, Saudia Arabia na wengine wanaongelea chini ya kitanda
Nchi inayotoa misaada kuliko nchi yoyote duniani ni Marekani. Urusi, Iran, Uturuki, Saudia Arabia na China hawatoi misaada