M.fucvk you!!Go ask u'r mother,she knows everything I have done in this nation!
Ni nchi gani duniani unayoijua wewe ambayo ina uwezo wa kumuwekea vikwazo Marekani?
- Urusi ameshawekewa vikwazo
Iran ameshawekewa vikwazo
*Urusi alipovamia Ukraine Marekani alienda Ukraine, Vita ilithitishwa. Akatoa msaada wa silaha
- China ameshawekewa vikwazo, tena aliambiwa usithubutu kuigusa Taiwan. Akatulia
- North Korea ameshawekea vikwazo
*Israel anaichapa Gaza, Marekani kapeleka meli, wanajeshi na ndege. Hakuna nchi yoyote iliyotia pua Gaza au Israel. Iran, Uturuki, Misri, Saudia Arabia na wengine wanaongelea chini ya kitanda
Nchi inayotoa misaada kuliko nchi yoyote duniani ni Marekani. Urusi, Iran, Uturuki, Saudia Arabia na China hawatoi misaada
Shida yenu vijana wa zamani akili zenu zimekaa kiwivu,Baba yako akiwa shoga na wewe utakuwa shoga pamoja na watoto wako?
Shida yenu vijana wa zamani akili zenu zimekaa kiwivu,
Hamjui kuwa kuna ratiba,
Hapo usikute mtu kaweka ratiba yake fresh/katoka job lakin starehe yake ni mziki, so anaenda mpokea mwanamziki wake, ( matamasha na mapokezi ya wasanii hufanyika dunia nzima kuanzia USA) Ila niny wazee wa wivu mnaona vijana wana enjoyyyyyy mnaanza kuwafungulia uzi,
Katika siku 365 ni siku ngapi za kumpokea harmonize ?
Maisha sio kazi tu, yanahitaj refreshing pia, kama ambavyo huwa tunaacha kazi kwenda taifa kwenye mpira ndivyo na wengine wanaenda pokea wasanii wao, au kama niny wazee wa zamani mlivyokuwa mnaacha kazi ili muoe wake wengi, all in all hakuna aliekuja kukuomba buku, na nikuhakikishie vijana wa sasa wanafanya kazi kuliko vijana wa wakati wowote ule Tz hii
Nimegundua wewe ni kilazaMzee wako kama alikuwa shoga na wewe utakuwa shoga?
Ni Kweli mtupu umeongea kijna kutoka musoma ,MaraNsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Ukiona viongozi wa Serikali wana wang'ang'ania wazee kwenye nafasi nyeti tambua ya kwamba vijana watakuwa na matatizo ya kiakili,Vijana wengi waliopewa nafasi ili waonyeshe uwezo wao wamekuwa wapumbavu kuliko hata wazee waliochokaa!.
Hili Taifa la Tanzania ndilo Taifa linaloongoza duniani kwakuwa na Vijana wapumbavu kuliko Mataifa yote yanayotambulika na Umoja wa Mataifa (UN).
Hebu fikiria kijana anatoka nyumbani au kibaruani kwake kuelekea Airport (JKNIA) kumpokea msanii wa muziki wa kizazi kipya kisa kachukua tuzo huko Marekani,na kibaya zaidi huyo kijana anakimbiza gari lililombeba huyo msanii kitokea Airport hadi Kawe!.
Zaidi ya Km 22 huyu kijana anakimbiza gari kutoka JULIUS KAMBARAGE NYERERE INTERNATIONAL AIRPOT (JKNIA) hadi Kawe huku akitokwa jasho na kunuka kama mbuzi wakati huo huo huyo msanii akiwa anapigwa na AC (Air Condition)!.
Nimetafakari sana namna vijana wa nchi hii (Wengi) walivyo wapumbavu hadi nimekosa majibu!.
Hebu fikiria muda ambao huyo kijana kapoteza katika shughuli za uzalishaji mali!.
Kwanini vijana wasitumie muda kama walioutumia leo wakaandamana kuihoji serikali kuhusu ripoti ya CAG? Nilitamani kuona vijana wanahoji wezi wa mali na
wafuja rasilimali zilizotajwa kwenye ripoti ya CAG lakini hakuna anayehoji.
Mkuu hizo km ukikimbiza hazizidi masaa 3, hapo unatembea sio kukimbia,Mkuu ratiba ya kukimbiza gari kutoka Airport to kawe zaidi ya Km 22?
Hebu acha utani mkuu!
Ni Kweli mtupu umeongea kijna kutoka musoma ,Mara
Vijana wa Tanzania wengi Ni mambumbu na vichwa maji akili hawana na unaweza kufikiri Ni akili za kawaida hz au nn
Vijna ndio walio lifikisha taifa Hili Happ liliko wanawachekea mafisadi na kuudhuria mikutano Yao huku wakitapeliwa na wanasiasa
Mkuu hizo km ukikimbiza hazizidi masaa 3, hapo unatembea sio kukimbia,
Sasa unajua wale walikuwa na ratiba gani? Mbna huwa tunaua siku nzima kwenda kwenye mikutano ya siasa, au kwenda kwenye match ya simba na yanga,
Leo masaa matatu yafanye utokwe povu ?
Wew nae kilaza,Baba yako angeolewa na wewe ungekubali kuolewa?
Unafuatilia mziki wa USA, ? Au S.Korea .? Hicho kilichofanyika hapo ni kawaida sanaaa, sema tu wivu wenu wazee unawatesaMkuu hii kitu huwezi kuikuta kwenye mataifa ambayo vijana wanajitambua!
Haya mambo ya kijinga yapo Tanzania tu!
Sheria Kama ipi mkuu wa madaSheria zote za kipumbavu zimepitishwa wakati wa utawala wa jiwe,kwahiyo wewe ulikuwa bado unanyonya?
Duh.! This is too much.Ni Kweli mtupu umeongea kijna kutoka musoma ,Mara
Vijana wa Tanzania wengi Ni mambumbu na vichwa maji akili hawana na unaweza kufikiri Ni akili za kawaida hz au nn
Vijna ndio walio lifikisha taifa Hili Happ liliko wanawachekea mafisadi na kuudhuria mikutano Yao huku wakitapeliwa na wanasiasa
Tofautisha tamasha na uzumbukuku wa vijana wengiMbona yanga day au simba day sioni threads kama hizi
Mbona sijawahi kuona watu wakiponda watu wanaokesha kuangalia ligi za mpira za ulaya
Au tu watu wakiponda bar kujaa weekdays
Kwa nini ikija sekta ya burudani huwa kuna stigma ilhali hata michezo hususani mpira inapoteza muda vile vile
By the way, pamoja na libya kuwa na rasilimali pamoja na uongozi thabiti wa Ghadafi lakini haikuikaribia marekani zaidi ya kuboresha maisha ya wanachi wake. Hapo bado China na teknolojia, productive population na strong government institutions lakini bado haijafikia. Ndio iwe Tz, umekuza vitu mkuu
Mleta mada ni kilaza halafu anajiona smart kinomaWew nae kilaza,
Hii nchi matatizo mengi mmeleta niny vijana wa zamani, ni aibu kwa kijana wa zamani kujifanya et hii nchi vijana wa leo ndo wamefanya isiendelee wakati fika unajua upuuzi wa vijana wa zaman ndo umeharibu hii nchi