Hili Tamasha la kufunga Kizimkazi Kuna Tambiko kubwa linafanyika muda huu? Kweli nchi haiendeshwi na katiba.

Kila jamii ina utamaduni wake. Mbona wewe unakwenda kutambika kanisani na hela unatoa ?. Ya kwao hayakuhusu kabisaaa
 
Haituzuia kuirudisha tanganyika 2025
 
Kila jamii ina utamaduni wake. Mbona wewe unakwenda kutambika kanisani na hela unatoa ?. Ya kwao hayakuhusu kabisaaa
Naiunga mkono hoja ya kufanyika kwa matambiko ya kiutamaduni. Kuna Mzee mmoja mwanajeshi mstaafu alikua ananiambia ushindi wa Vita ya Kagera serikali ilitumia utamaduni kwa zaidi ya asilimia 90% kushinda vita ile.
 
Baada ya hapo wakaanza kuvunja nazi , mayai na kupiga vibuyu vyao mikia ya fisi.
Ghafla mama akashuka stejini na kwenda kwenye lile eneo lenye vibuyu na kuweka hela na bahasha na kurudi mezani kuu. Kwa hakika hili ni tambiko la aina yake😂😂😂😂😂😂
Mwaka huu tutaona mengi sana.
 
Mdogo wangu alishiriki vita vile mwanzo hadi mwisho.
Vita vina mambo mengi sana. Si tambiko tu, upo utaalam mwingi sana kutoka Afrika lakini wazungu wakatukandia kuwa ni kishenzi.
Mdogo wangu anaweza kuongea na wewe bila kumuona lakini ukaambulia sauti tu.
Afrika is great.
 
Tupe elimu kidogo Mkuu.
 
walioita watu weusi washenzi ni waarabu na siyo wazungu, maana na asili ya neno mshenzi ni muislamu mweusi wa tabora, aliitwa mshenzi na mwarabu ndiyo asili ya hilo neno mshenzi, ni tusi na dharau kwa muislamu mweusi aliloitwa na mwarabu, huo wa kizimkazi ndiyo ushenzi wenyewe aliomanaanisha mwarabu …
 
Kabisa huyu Mzee mwanajeshi mstaafu anasema Kuna sehemu huko Uganda walizungukwa na maadui basi mmoja wa wanajeshi waliokua nao msukuma akawakusanya wenzake katikati akwaambia fungeni macho atakaefungua bila ruhusa atakufa ghafla wakajikuta wapo pembeni kabisa mwa adui wakaanza kufanya mashambulizi upya ndio nikajua kuwa haya mambo hata vitani yapo.
 
Kwahiyo unamponda mwarabu na unajisikia fahari kwa mzungu? Akili za mwafrika Bado ni za kishenzi tu hata baada ya miaka zaidi ya 60 ya kupata uhuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…