Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
- Thread starter
- #21
Daah aiseeWe bwana utakua uliuziwa jini la Handeni Tanga basi ongea na watu vizuri kule wanakopesha majini unalipia taratibu taratibu ukipata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah aiseeWe bwana utakua uliuziwa jini la Handeni Tanga basi ongea na watu vizuri kule wanakopesha majini unalipia taratibu taratibu ukipata
Hata Nyerere alikua anatambika haya ni mambo ya kawaida kabisa.Ameibiwa hapo Mama Yenu😂😂
Kila jamii ina utamaduni wake. Mbona wewe unakwenda kutambika kanisani na hela unatoa ?. Ya kwao hayakuhusu kabisaaaHili kundi la hawa wazee waliovaa nguo nyeusi na nyekundu sijawaelewa maana wamepiga Ngoma zao na mikia ya kiganga kwa zaidi ya dakika 40.
Baada ya hapo wakaanza kuvunja nazi , mayai na kupiga vibuyu vyao mikia ya fisi.
Ghafla mama akashuka stejini na kwenda kwenye lile eneo lenye vibuyu na kuweka hela na bahasha na kurudi mezani kuu. Kwa hakika hili ni tambiko la aina yake.
Haituzuia kuirudisha tanganyika 2025Hili kundi la hawa wazee waliovaa nguo nyeusi na nyekundu sijawaelewa maana wamepiga Ngoma zao na mikia ya kiganga kwa zaidi ya dakika 40.
Baada ya hapo wakaanza kuvunja nazi , mayai na kupiga vibuyu vyao mikia ya fisi.
Ghafla mama akashuka stejini na kwenda kwenye lile eneo lenye vibuyu na kuweka hela na bahasha na kurudi mezani kuu. Kwa hakika hili ni tambiko la aina yake.
Mababu wa kuzimu wameshakataa ni mama mpaka 2030Haituzuia kuirudisha tanganyika 2025
Naiunga mkono hoja ya kufanyika kwa matambiko ya kiutamaduni. Kuna Mzee mmoja mwanajeshi mstaafu alikua ananiambia ushindi wa Vita ya Kagera serikali ilitumia utamaduni kwa zaidi ya asilimia 90% kushinda vita ile.Kila jamii ina utamaduni wake. Mbona wewe unakwenda kutambika kanisani na hela unatoa ?. Ya kwao hayakuhusu kabisaaa
Baada ya hapo wakaanza kuvunja nazi , mayai na kupiga vibuyu vyao mikia ya fisi.Hili kundi la hawa wazee waliovaa nguo nyeusi na nyekundu sijawaelewa maana wamepiga Ngoma zao na mikia ya kiganga kwa zaidi ya dakika 40.
Baada ya hapo wakaanza kuvunja nazi , mayai na kupiga vibuyu vyao mikia ya fisi.
Ghafla mama akashuka stejini na kwenda kwenye lile eneo lenye vibuyu na kuweka hela na bahasha na kurudi mezani kuu. Kwa hakika hili ni tambiko la aina yake.
Baada ya hapo wakaanza kuvunja nazi , mayai na kupiga vibuyu vyao mikia ya fisi.Hili kundi la hawa wazee waliovaa nguo nyeusi na nyekundu sijawaelewa maana wamepiga Ngoma zao na mikia ya kiganga kwa zaidi ya dakika 40.
Baada ya hapo wakaanza kuvunja nazi , mayai na kupiga vibuyu vyao mikia ya fisi.
Ghafla mama akashuka stejini na kwenda kwenye lile eneo lenye vibuyu na kuweka hela na bahasha na kurudi mezani kuu. Kwa hakika hili ni tambiko la aina yake.
Mdogo wangu alishiriki vita vile mwanzo hadi mwisho.Naiunga mkono hoja ya kufanyika kwa matambiko ya kiutamaduni. Kuna Mzee mmoja mwanajeshi mstaafu alikua ananiambia ushindi wa Vita ya Kagera serikali ilitumia utamaduni kwa zaidi ya asilimia 90% kushinda vita ile.
Hakuna kutambika mama ni Muoga sana saiv anajidai anakaa karibu na machiefu sijui nini.We ushamuona JK au Magu akifanya upuuzi huu?Hata Nyerere alikua anatambika haya ni mambo ya kawaida kabisa.
Tupe elimu kidogo Mkuu.Mdogo wangu alishiriki vita vile mwanzo hadi mwisho.
Vita vina mambo mengi sana. Si tambiko tu, upo utaalam mwingi sana kutoka Afrika lakini wazungu wakatukandia kuwa ni kishenzi.
Mdogo wangu anaweza kuongea na wewe bila kumuona lakini ukaambulia sauti tu.
Afrika is great.
Mdogo wangu alishiriki vita vile mwanzo hadi mwisho.
Vita vina mambo mengi sana. Si tambiko tu, upo utaalam mwingi sana kutoka Afrika lakini wazungu wakatukandia kuwa ni kishenzi.
Mdogo wangu anaweza kuongea na wewe bila kumuona lakini ukaambulia sauti tu.
Afrika is great.
Kabisa huyu Mzee mwanajeshi mstaafu anasema Kuna sehemu huko Uganda walizungukwa na maadui basi mmoja wa wanajeshi waliokua nao msukuma akawakusanya wenzake katikati akwaambia fungeni macho atakaefungua bila ruhusa atakufa ghafla wakajikuta wapo pembeni kabisa mwa adui wakaanza kufanya mashambulizi upya ndio nikajua kuwa haya mambo hata vitani yapo.Mdogo wangu alishiriki vita vile mwanzo hadi mwisho.
Vita vina mambo mengi sana. Si tambiko tu, upo utaalam mwingi sana kutoka Afrika lakini wazungu wakatukandia kuwa ni kishenzi.
Mdogo wangu anaweza kuongea na wewe bila kumuona lakini ukaambulia sauti tu.
Afrika is great.
Tena magu ndo balaa Bora JK alikua anafanya kwa kujifichaHakuna kutambika mama ni Muoga sana saiv anajidai anakaa karibu na machiefu sijui nini.We ushamuona JK au Magu akifanya upuuzi huu?
Kwahiyo unamponda mwarabu na unajisikia fahari kwa mzungu? Akili za mwafrika Bado ni za kishenzi tu hata baada ya miaka zaidi ya 60 ya kupata uhuru.walioita watu weusi washenzi ni waarabu na siyo wazungu, maana na asili ya neno mshenzi ni muislamu mweusi wa tabora, aliitwa mshenzi na mwarabu ndiyo asili ya hilo neno mshenzi, ni tusi na dharau kwa muislamu mweusi aliloitwa na mwarabu, huo wa kizimkazi ndiyo ushenzi wenyewe aliomanaanisha mwarabu …
Vita vya Kagera uchawi ulitumika sana. Nyerere alikua muumini mkubwa wa matambikoTupe elimu kidogo Mkuu.