Hili tatizo la kukosa usingizi usiku, ninalo peke yangu au?

Hili tatizo la kukosa usingizi usiku, ninalo peke yangu au?

Karibu kwenye uzi wa usiku wa manane , dakika nne tano zijazo utakuwa hewani , huko tupo wengi ambao usingizi unekuwa kitendawili kwetu achilia wale walio na shift za kazi za usiku.

Zaidi ya yote unaweza kuiweka simu mezani ukazima data ukajilaza kitandani haitazidi nusu saa usingizi una kuja , ila hivi hivi utashangaa saa tisa hii hapa .
 
Hivi ni vipi inafanya kazi ndugu yangu?
kutokana na nature yangu huwa nakoss usingizi sana, so daktari aka nambia uki meza Cetirizene 2 Ina upa mwili uchovu wa ghafla.

ila Kama we ni mkosa usingizi pro max, basi piga hizo tramadol 1 & cetirizene 2 nusu saa kabla ya kulala.
iko vizuri mno.
 
Back
Top Bottom