Pepo langu ukiliambia shindwa ndo linadinda😝mwake mwake linasaka tundu layoyoShindwa pepo
Pepo langu ukiliambia shindwa ndo linadinda😝mwake mwake linasaka tundu layoyoShindwa pepo
Nikifanya hivyo bado usingizi haujiKaribu kwenye uzi wa usiku wa manane , dakika nne tano zijazo utakuwa hewani , huko tupo wengi ambao usingizi unekuwa kitendawili kwetu achilia wale walio na shift za kazi za usiku.
Zaidi ya yote unaweza kuiweka simu mezani ukazima data ukajilaza kitandani haitazidi nusu saa usingizi una kuja , ila hivi hivi utashangaa saa tisa hii hapa .
Hivyo si utalala masaa mengi sasa?kutokana na nature yangu huwa nakoss usingizi sana, so daktari aka nambia uki meza Cetirizene 2 Ina upa mwili uchovu wa ghafla.
ila Kama we ni mkosa usingizi pro max, basi piga hizo tramadol 1 & cetirizene 2 nusu saa kabla ya kulala.
iko vizuri mno.
nusu saa kabla ya kulala, halafu pia huwa Ina weza kaa hadi siku 3 muda wa kulala uki fika una sinzia tu.Hapo nakuwa nameza kila nikitaka kulala?
Wewe umwagiwe maji ya upakoPepo langu ukiliambia shindwa ndo linadinda😝mwake mwake linasaka tundu layoyo
Kesho ntazinunua hizinusu saa kabla ya kulala, halafu pia huwa Ina weza kaa hadi siku 3 muda wa kulala uki fika una sinzia tu.
Japo sipendi kulala, ila kwenye kuchoka Zaid ndo huwa naitumia.
Asante ndugu yangu, nasumbuka sana na kukosa usingizi, ni vile muda umeenda kidogo nigezifuata hata sasa, barikiwa bro.kutokana na nature yangu huwa nakoss usingizi sana, so daktari aka nambia uki meza Cetirizene 2 Ina upa mwili uchovu wa ghafla.
ila Kama we ni mkosa usingizi pro max, basi piga hizo tramadol 1 & cetirizene 2 nusu saa kabla ya kulala.
iko vizuri mno.
Mbinu nayo tumia ni kusikiliza nyimbo laini RNB, zile za miaka ya 80's na 90's za kina Lionel Richie, boys to men, Marcus GarveyNikifanya hivyo bado usingizi hauji
Pole mkuu umeshauzoesha hivyo mwiliMimi bila kufika saa nane au tisa sijalala, na nikijichanganya kulala saa tatu au nne, saa tano nimeamka hapo hadi asubuhi
Ngoja niweke gospel nione kama ntalalaMbinu nayo tumia ni kusikiliza nyimbo laini RNB, zile za miaka ya 80's na 90's za kina Lionel Richie, boys to men, Marcus Garvey
Utakumbuka kipindi tukiwa watoto wazazi walituimbia nyimbo hadi tukalala
Hata usipo kuja usiirudie simu.Nikifanya hivyo bado usingizi hauji
Hiyo tabia mbaya na yeye akisema abadili futari utakubali?Futari sio viaz tu kila siku
Ntajaribu japo ngumuHata usipo kuja usiirudie simu.
kukosa usingizi ni ishara ya kukosa amani baada ya kulimbikiza mambo mengi akilini na moyoni hususani ya matarajio katika maisha.Hili tatizo la kukosa usingizi usiku kama hivi haswa nikiwa na bando kwenye simu, hivi ninalo mimi peke yangu au?
Asante sana mkuu nawezaje kuepuka hii hali sasa?kukosa usingizi ni ishara ya kukosa amani baada ya kulimbikiza mambo mengi akilini na moyoni hususani ya matarajio katika maisha.
Upweke ni kitu serious mno kinatesa watu wengi na kuwakosesha usingizi kabisaa. Na wengi wakiulizwa kwanini huna usingizi, hana hajui ni kwanini.
Kumbe ni mawazo mengi sana yanamzonga katika hali ya upweke 🐒
Pole sana 🐒
Ni kweli mimi pia ni mmoja wa wanaokutana na tatizo hili. Ningependa kusikia kutoka kwa members wengine — kwa upande wa kisayansi hili jambo linaelewekaje na sababu zake ni zipi? Hebu mtu atueleweshe kwa kina ili sote tufaidike kwa maarifa.Hili tatizo la kukosa usingizi usiku kama hivi haswa nikiwa na bando kwenye simu, hivi ninalo mimi peke yangu au?
pamoja sana, natumai hata MastaKiraka ata Iona na kujaribu.Asante ndugu yangu, nasumbuka sana na kukosa usingizi, ni vile muda umeenda kidogo nigezifuata hata sasa, barikiwa bro.
ni muhimu sana kua na mwenza wa kukufariji karibu, na hata akiwa mbali basi neno lake moja tu atakalokupa litakupa amani na uhakika wa usingizi ikiwa mtaweka agano la kweli na la uaminifu baina yenu 🐒Asante sana mkuu nawezaje kuepuka hii hali sasa?
Yaani wewe haupo hata kwenye list yangu ya watu 1000, walio wabovu kichwani.kukosa usingizi ni ishara ya kukosa amani baada ya kulimbikiza mambo mengi akilini na moyoni hususani ya matarajio katika maisha.
Upweke ni kitu serious mno kinatesa watu wengi na kuwakosesha usingizi kabisaa. Na wengi wakiulizwa kwanini huta usingizi, hana hajui ni kwanini.
Kumbe ni mawazo mengi sana yanamzonga katika hali ya upweke. Ni muhimu sana kua na wa kukufariji karibu 🐒
Pole sana 🐒